Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Kwema wazee? Jamani natafuta pipe za plastic za 10mm lakini kwenye ma kardware kyna za 12mm na zaidi. Je pipe za plastic za 10mm naweza pata wapi dar? Na je zinatimika kwa kazi gani?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI, MATOFALI 500 NA TSH. 400,000 KWAAJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe...
0 Reactions
2 Replies
707 Views
Najenga nyumba yenye ukubwa wa square mita 300.naomba kujua makisio ya mbao za kupaua 2x2 . 2x4. Firsher bod.misumari ya bati.misumari ya kupaua.idadi ya bati za kupaua zenye urefu wa mita 3...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Napatikana kwa namba 0743257669 TUMEKABIDHI KAZI PANDE ZA KIGOGO MABIBO NYUMBA INAUKUBWA WA MITA 4.6 KWA 12M Mbao 4×2 pcs 80×5500= 440,000 Mbao 2×2 pcs 60× 2800= 168,000 Mbao 10×1 pcs...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu, mimi nina swali. Hivi mtu hawezi kutengeneza rough floor kabla ya kuezeka nyumba? Maana kwa hesabu zangu kuezeka ni november au december. Lakini hapa katikati ela nayopata haiwezi fanya...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
NAIBU WAZIRI MHE. MASANJA ACHANGISHA MILIONI 43 ZA UJENZI KITUO CHA MAFUNZO CHA WANAWAKE, WATOTO NA VIJANA CHA KANISA LA AICT Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Habari zenu wana jamii naomba mnisaidie bei za hivi vifaa vya umeme kwa Daresalaam. Na kama naweza kuelekezwa duka specific linalouza jumla.
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari, Nahitaji kujua gharama za makadirio ya kujenga nyumba ya vyumba viwili (self), flat top . Note:~ Estimated prices
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba kujua bei ya kibarua wa kubomoa sakafu ya concrete ya kama metre 2 kwa tatu natakiwa kumlipa shilingi ngapi kwa kawaida.
0 Reactions
2 Replies
390 Views
Wakuu, Natumai mko vyema na mmejiandaa kikamilifu kuhesabiwa. Unaambiwa upange maisha yako kwanza, uhakikishe unakuwa kwenye mstari wa mafanikio kisha uwaze kuhusu maisha ya ndoa. Uki-vise verse...
6 Reactions
111 Replies
58K Views
Habari wadau, Najua Kuna mada nyingi kuhusu bati ila hebu tushauriane hapa. Kwasasa naelekea Hatua ya upauaji ila nimejikuta napata shida niangukie wapi BATI ZA RANGI Wengi wanashauri ALAF...
2 Reactions
43 Replies
15K Views
WANAKIJIJI WAMEAMUA KUFUFUA MRADI WA UJENZI WA ZAHANATI YAO - MBUNGE ACHANGIA SARUJI MIFUKO MIA MBILI (200) Kijiji cha Chimati cha Musoma Vijijini ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya Makojo...
0 Reactions
2 Replies
488 Views
Naibu Waziri Dugange aipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Festo Dugange ameipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya ujenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
628 Views
MBUNGE CHEREHANI AKABIDHI MADIRISHA 15 (MILIONI 4) KUKAMILISHA NYUMBA YA KATIBU WA UWT WILAYA YA KAHAMA Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe.Dkt Emmanuel Cherehani amekabidhi Madirisha 15 yenye thamani...
0 Reactions
2 Replies
527 Views
MAKAMU MWENYEKITI UWT TAIFA ZAINAB SHOMARI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI. Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa, Zainab Shomari ameipongeza Serikali ya awamu ya 6 kwa...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
VISIMA 10 VYA MAJI KUCHIMBWA WILAYA YA KALIUA, KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI Taarifa kutoka Ofisi ya Meneja RUWASA Wilaya ya Kaliua imethibitisha kuwa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kaliua...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Wakuu nina mifuko kama 9 ya Nyati cement toka 2017, leo nimekuta imeganda. Nikawaza nipige floor kwenye kibanda. Je, naweza itumia vipi?
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Miaka yangu 26 ( me).. 1. Kiwanja ninacho 1 2. Bank nina mil 3 3. Tayari nimeshatoka nyumbani kitambo (najitemegea) 3. Nimeajiriwa kwenye N.G.O ( afya) kwa mkataba wa miaka 3. Je, naweza...
37 Reactions
172 Replies
12K Views
TAMISEMI NA WIZARA YA UJENZI KUFANYA TATHIMINI YA KUPANDISHA HADHI BARABARA ZA MKOA WA KILIMANJARO Kama lilivyotakwa la kisheria vikao vyote vinavyokaa katika ngazi ya Wilaya na Mkoa zinafikishwa...
0 Reactions
1 Replies
597 Views
Kama una uwezo hakikisha umewekeza kwenye haya maeneo. 1. Chimba kisima uwe una uhakika wa maji. 2. Funga umeme wa solar uwe na uhakika wa umeme na sio huu wa TANESCO unaokatika katika kila saa...
20 Reactions
61 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…