Mbunge Martha Mariki - Kukamilika kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya Kutakuza Uchumi Halmashauri ya Mpimbwe.
WANANCHI katika Kijiji Cha Chamalendi halmashauri ya Mpibwe Wilaya ya Mlele Mkoa wa...
Habari ndugu zangu,
Naomba kufahamu ukubwa wa nyumba ya bati 32 ina vyumba vingapi na vipimo vya vyumba vinakuaje kwa muundo wakupaua wa mgongo wa tembo?
Naomba kuwasilisha.
Pia naomba kujua...
Waungwana mambo vipi?
Hapo chini nimepata ramani mtandaoni tu na haina vipimo sahihi.
Naomba msaada kwa uzoefu wenu katika ujenzi moja wapo kati ya hizi ramani zinaweza kutosha kwenye kiwanja cha...
Habari wana JF
Juzijuzi tu tumesikia taarifa mbaya ya watu kugongwa na gari wakiw wanafanya mazoezi barabarani.
Maoni ya wadau yakawa mengi mbalimbali.
Mi nina swali kwa wapangao miji. Kutokana...
Wataalamu wa ujenzi, ni ukubwa gani wa dirisha unatosha kiafya achilia mbali suala la mwonekano wa nyumba.
Nimejaribu kuzitazama nyumba za Sudan Khartoum kutokana na hii vita, nimeona nyumba zao...
Habari zenu wakuu, niliwahi kulala kwenye hoteli moja jijini mwanza ambayo ni miongoni mwa hoteli kubwa jijini mwanza kitu nilichovutiwa nacho ukiachilia mbali mambo mengine ni kitanda kwani...
CHILO: HUDUMA YA MAJI 🚰 💦 SAFI NA SALAMA ITAFIKA KILA PAHALA KATIKA JIMBO LA UZINI
Mbunge wa Jimbo la Uzini KHAMIS HAMZA CHILO amewahakikishia Wananchi wa Jimbo la Uzini kua HUDUMA YA MAJI SAFI...
Tunajenga ofisi ya kikundi chetu na tunahitaji kuweka vigae kwenye sakafu.
Hapa kwetu udongo ni mwekundu ambao ukipata maji unakuwa tope na unateleza sana. Naomba ushauri wa vigae vya sakafu...
Habarini mafundi mlioko Morogoro naomba mje inbox na gharama za kunijenege nyumba ifuatayo kutoka msingi hadi boma.
Master 1, vyumba viwili kimojawapo ni self, dining, jiko na store kiwanaj ni...
MBUNGE DANIEL SILLO ASHIRIKI UZINDUZI WA JENGO KITUO CHA POLISI KATA YA GALLAPO
Mbunge wa Babati vijijini na mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daniel Sillo Julai 18...
Fundi ukimpata kanjanja utajenga hata nyumba iliyopaswa kugharimu milioni 50 iwe milioni 80, ndio maana huwa sishangai mtu anaposema kajenga nyumba kwa milioni 100 wakati nyumba hio hio mwengine...
Habari za leo, nilikua nahitaji ushauri wenu.
Mm pamoja na mdogo wangu tulijenga nyumba kwa kutumia savings zetu kwa ajili ya investment kwenye real estate. Kwa bahati mbaya tulikwama kiuchumi...
Waungwana naomba kujua bei ya jumla ya nondo sasa hivi maana sisi tunaoishi mbali mafundi wanatupiga sana. Natanguliza shukrani.
Ndugu zangu naomba msaada wa kujua bei za jumla za nondo Dar
MBUNGE DAVID KIHENZILE ACHANGIA MILIONI KUMI UJENZI WA OFISI YA KATA YA IGOWOLE- MUFINDI KUSINI
Mbunge wa Mufindi Kusini David Kihenzile amefanya Kikao cha pamoja kilichojumuisha Viongozj wote wa...
Wakuu heshima yenu,
Mimi ni kijana ambaye bado nipo kwenye 20s ambaye bado najitafuta kwenye gurudumu hili la maisha. Naomba mnisaidie kunipa makadirio ya gharama za ujenzi muundo L chumba sebule...