Natafuta Watu wa kung'oa visiki shambani kwangu Mlandizi, shamba halina visiki vikubwa ni visiki vya miti size ya mkono wa mtu mzima.
Ukubwa ni Heka Mbili, Mtu au Watu watakaofanya hii kazi ni...
Amani iwe kwenu wanazengo.
Naendelea kukamilisha ujenzi niko hatua ya mwisho ya kuweka milango, kila nikizunguka nakutana na mbao Kwa macho ni nzuri lakini hazina majina kama Mkongo, mninga nk...
Hizo veranda 2 ya nyuma na mbele ninaplan kumwaga zege juu sio kuezeka!
Pia kama kuna makosa kuhusu mpangilio wa vyumba au choo, au jiko tafadhali toa ushauri wako!
Foor Plan yake ni hii hapa chini:
Habarini wanajamvi? Hongera kwa uhai, naombeni ramani ya vyumba vitatu ramani ya kisasa yenye,
• Sebule kubwa ya kiasi chake na dainng
• master yenye dressing room na toilet
• room moja iwe...
Zoezi la upimaji wa viwanja na uwekaji wa namba katika nyumba , kibinafisi zoezi hili halijatolewa ufafanuzi katika jamii , katika mtaa wangu jamii naona haelewi na haijajua makakati wa jambo hili...
Habar wakuu!!
Kama nilivyosema hapo juu naitaji msaada wa kujua rangi gani za/ya faha kupwaka kwenya nyumba ususan kwenye vyumba,siting room,jikon na dyining room!
MSAADA wakubwa.
Nahitaji kujua bei za rangi za emulsion lita 20, silk lita 20,oil paints zile za makopo ya lita nne gypsum powder,hizi ni kwa maeneo ya Dar tu kwasasa nipo nje ya Dar, bei zinabadilika najua ila...
Bado unajiuliza unaanzaje ujenzi?
Unaweza kuanza na ramani kama hii ya vyumba vitatu (master, self, na plain bedroom) kujenga.
KUJENGA BOMA
tofali (jumla) ...... Tsh. 3,100,000
mchanga ...
Wadau kichwa tajwa hapo juu
Niko na 26 Years Jijin Dar income 200k per month na 30k allowance per week ktk harakati za maisha Mungu amenisaidia kuwa na nidhamu kubwa sana ya kutimiza malengo...
Wakuu habarini za majukumu?
Kama kichwa cha habari kinavosema je, kwa ukubwa wa kiwanja hicho naweza jenga nyumba ya vyumba vinne kimoja masta public toilet pamoja na store kisha nikapata nafasi...
Wakuu habari,
Muda siomrefu natarajia kuanza ujenzi maeneo ya kigamboni. Ramani nilishapata hadi kibali sasa imebaki mimi tuu kuanza. Kuna fundi mmoja nilimtafuta anikadirie gharama na gharama za...
Helo wakuu nahitaji fundi mzuri wa ujenzi, na awe na utaalamu wa kujenga hizi nyumba za kuficha paa.
Kwa sasa nahitaji kupandisha boma kwanza, nyumba ni vyumba 2, kimoja self, jiko seble dining...
Habari!
Wana Jf Nina boma langu style hii inayoonekana pichani naipenda sana kwani haijaingia sana mtaani hasa maeneo niliosimika boma langu af pia kutokana na kipato changu 200k naona...
Habari wakuu,
Kuna jengo nilikuwa nimejenga kwa ajili ya ofisi, ila katika umwagaji wa 'slab' sikuweka bomba kwa ajili ya umeme.
Kwa sasa imenipelekea kuweka mfumo wa umeme, kupitia sakafuni na...