Habari Wana jamvi naomba kuuliza kwa Ramani ya vyumba vitatu kimoja master, sitting room, jiko na dining itachukua bati ngapi.
Ramani Ni hii apa chini
NB . Mabati ya kawaida urefu ft 10.
Asante.
Wasalaam wakuu.
Naomba wataalam wa kuezeka nyumba wanijuze kuna umuhimu gani kutumia bati gauge 28 badala ya gauge 30?
Je, nikitumia gauge 30 kuna tofauti yoyote itakayokuwepo kimuonekano...
Wakuu, site yangu ipo pembeni kabisa ya mji, ambako makazi ya watu ni scattered (mji mpya).
wiki Mbili zilizopita, jirani mmoja ameng'olewa madirisha mawili ya grill ambayo yana siku nne tangu...
Habari wakuu, poleni kwa majukumu.
Naomba ushauri wa kuhusu kujenga nyumba na matofali ya interlocking blocks.
Wazo la nyumba: nyumba ya room mbili isiyokuwa sebule jiko na public toilet
Naomba...
Dear Team,
Introduction:
Nimefika kwenye slub stage ili niendelee na floor ya kwanza,
What do I need? Ninahitaji kupunguza gharama za materials kwa kupata twiga cement 42.5 (200 bags) direct...
Naomba msaada wa makadirio kama vile idadi ya tofali, simenti ya kujengea, idadi ya nondo kufungia msingi na lenta, kokoto msingi na lenta, n.k.
Kiwanja kiko kwenye muinuko, kimlima.
Habari wana JF naomba kama kuna wataalam wanipe makadirio ya gharama ya kujenga boma la vumba vi 3 na sebule jiko stoo kwa Mwanza inaweza fika bei gani mpka hela ya fundi?
Wadau wa ujenzi napenda kujua kwanza kabisa gharama (affordability) na pili ubora (uimara) kati ya msingi wa mawe na tofali kama malighafi zote zinapatikana kwenye eneo la ujenzi.
Msingi upi...
Habari za jumapili Wadau.
Kuezeka nyumba ya 11×12 inaweza kughalimu shingap?
Kama atapatikana mtaalam nikamtumia na ramani itakuwa nzuri ili aiangalie then anipe mrejesho wa kila kitu na...
Sijajua kiundani hii AirBnB inafanyaje kazi. Nimesikia ipo kama Uber kwenye nyumba. Kwamba unakuwa na nyumba na watu wanabook kupitia hiyo app/kampuni. Nimeona malipo yake kwa siku ni makubwa...
Salaam kwa wanajukwaa.Naamini tuko poa kabisa.
Kwenye mada hapo naombeni ushauri juu ya geji ya bati ya kupaua kutoka kampuni ya Alaf.
Nimezunguka kwenye maduka nakutana na za geji 30 tu hizi ni...
Peace Be Upon Y’all
Husika na kichwa Cha Habari
Kuna site kimeoteshwa kibanda sasa uwani kumebaki nafasi ambayo plan ikawa iwekwe stand ya kubeba tank la maji la 10,000 ambayo litabebwa na stand...
Habari za muda huu wapendwa wana JF.
Kama maada inavyosema hapo juu ningependa kujua utofauti uliopo kati ya plot number, house number na block number mfano tu mdogo unavyotaka kusajiri business...
Wakuu habari za leo,
Ni imani yangu nyote ni wazima, la kama kuna ambaye si mzima Mwenyezi Mungu amjalie apate afya njema. Leo nimekuja tena hapa jukwaa mahiri la Ujenzi na Makazi nikiamini kua...
Nataka kujua gharama za ujezi choo cha aina hiyo napatikana shelui,Singida ,kama kuna expert yeyote aliyeko karibu na shelui anaweza nicheki WhatsApp 0742961750 tuzungumze.