Habari ya muda huu wakuu?
Nina kajumba kangu ambako nilikuwa nimemaliza kupaua jana. Nilipanga jumatatu nikafate mabati ili nije kumalizia lakini naona leo mvua inanyesha, jambo ambalo...
Nimejaribu kufuatilia kauli za waliojenga nyumba. Huwa wanapenda kuwaogopesha waliopanga kuwa ujenzi ni gharama.
Huwezi kutana na mtu akakutia moyo hata kidogo. Lengo la wengi waliojenga ni ku...
Amani iwe nanyi.
Natafuta mtaalam wa kuchora ramani anayeishi Dodoma. Kuna eneo nataka kujenga vyumba vichache kwa akili ya biashara.
Kwa mwenye sifa hizo tuchekiane inbox.
Habari wadau wa ujenzi,naomba ufafanuzi juu ya tiles/vigae,ni criteria zipi/au kipimo gani/tunaangalia nini na nini kujua tiles hii ni bora?
Hapa nazungumzia tiles za sakafuni especially za...
Wakuu habari.
Tumezoea kuona maeneo mengi nchini wakitumia aina mbalimbali za matofari katika shughuli nzima za ujenzi..kuanzia matofari ya tope yale ya kuchoma na pia matofari ya simenti au...
Eti wakuu, bongo kuna wataalamu wa kujenga na mawe namna hii, wakatoa nyumba imara? Pia naomba kujua faida na hasara za nyumba ya mawe. Gharama zake zikoje?
Mafundi na wataalamu wote wa ujenzi mliomo humu JF,
Naombeni MSAADA juu ya MAKADIRIO ya ujenzi wa eneo lenye urefu wa mita 31na upana wa mita 26.
Upande wa Saruji, mchanga na kokoto kwa ajili...
Habarini waja JF,
Wote tunajua vitu ni bei juu kwa sasa, mfano, mchele, ngano, mafuta, petrol, sabuni, gharama za usafiri, vifaa vya ujenzi, nk
Lakini fundi bei yake palepale, tell me why.
Kwa...
Nimezunguka kote Tanzania. Kila nikipita hospital na shuleni nakuta mabati mengi yana kutu.
Ninavyojua majengo ya serikali hutumia gauge 28.
Inakuwaje yapate kutu wakati gauge 30 za mwaka uleule...
Nina 5,500,000 tu. Kiwanja ninacho.
Sitaki tena kulipa Kodi mie. Nitafanikiwa kweli vyumba vitatu vya kulala na sebule?
Vitatu Kwa Sababu Nina watoto wa kiume na kike. Au nijenge kibanda cha...
Habarini wakuu, naomba kama kuna mwenye uzoefu anipe makadirio ya gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba vi 3 (chumba kimoja self na viwili vya kawaida), sitting, dinning, jiko, (choo na bafu...
Wataalam wa Ujenzi naomba kujua utofauti wa EPS Panels na EPS Cement Sandwhich Pannels. EPS panels nimeona zimeanza kutumika kujengea Tanzania na kampuni ya Mega Panels Tanzania.
Kati ya...
Unakuta mtu uko city centre kulingana na ubora wa nyumba yako anatokea mpangaji anakwambia sijui mbona kwa OMARY anapangisha chumba 50000 na vina umeme na maji wewe tu ndo unapangisha 60000.
kwa...
INTER LOCK BLOCK
Ukipenda ujenzi wa tofari hizi na firnishing utazipata kwa 650 kila tofari moja ikiwa imekufikia site kwako kwa bei hiyohhiyohiyo
0676774956 call+whatssap