Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Habari wakuu. Hapa nimeleta mchanganuo wa KuJenga Apartment yenye nyumba Tano (mbili za vyumba viwili, sebule, jiko na Choo na Tatu za chumba kimoja, sebule, jiko na choo) Tofali za msingi =...
15 Reactions
40 Replies
8K Views
Huku maeneo ya kwetu Kibaha -Visiga nyumba zilizokuwa zinaota kama uyoga miaka miwili iliyopita sasa zimebaki maboma tu na waliokuwa wanazijenga haijulikani wamepotelea wapi. Sasa hivi ujenzi...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Nyumba hii ni ya tope yenye jumla ya vyumba sita linta yake ina mbao lakini inauwezo wa kuhimili paa la kisasa.
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa yeyote anaaeuliza ni wapi atapata AC na vifaa vyake vyote na mafundi wazuri wa kufunga AC awasiliane na sisi. 0685843224 tunatoa warranty ya mwezi mmoja kwa mashine used.
0 Reactions
4 Replies
913 Views
Kwema wadau Naomba kuuliza ni wapi hapa jijin Dsm naweza pata vile vibao vya posti kodi vilivyo kuwa poa kama vile vya awamu ya kwanza (vile vya enzi ya Mama Tibaijuka) Maana hapa mtaan kuna...
0 Reactions
5 Replies
851 Views
Niko under 30 nimechoka kupanga, nina kipato cha kati ila hakipo constant kulingana na ninachokifanya. Nimedhamiria kujenga contemporary ya room 2 jiko na sebule bila dinning. Kianzio milioni 10...
20 Reactions
63 Replies
7K Views
Jamani waliofatilia bajeti..kwenye vifaa vya ujenzi kama mabati, nondo etc..kuna kitu kimezungumziwa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari, Nina shida na milango ya Aina hii, Frameless vipimo vya mlango wangu UREFU Ft 7.7 Upana Ft 7.9 naomba kujua na Bei kwa wahusika, DSM.
1 Reactions
3 Replies
669 Views
Nimeweka floor plan, ni kajumba kadogo dogo 1-master, 1-single Public toilet, Kitchen with 2 verandah, msaada ninunue bati ngapi wakuu?
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Kama kuna mtu anayejua ubora wa mabati na kampuni ipi inazalisha bati bora nomba kufahamishwa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeikuta sehemu hii floor plan na nimeipenda... Mwenye nayo ameniambia mjengo ni contemporary house. Wataalamu naombeni makadirio ya ujenzi kama nikiitumia hii ramani na inatosha kwenye Kiwanja...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nyufa zinazo tokea kwenye jengo zipo za aina mbili. 1 Nyufa za kawaida hizi ni nyufa ndogo ndogo zinazosababishwa na jinsi tofali zilivyo jengwa (bonding) /Resho ya kujengea na mitikisiko midogo...
0 Reactions
6 Replies
964 Views
Ndugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo. Karibuni.... Inaonekana pia ramani ina option kwamba unaweza...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari za jioni waungwana, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nnashida na dawa ya kukausha zege haraka. Mwenye kujua inapopatikana gharama zake na muda inayotumia hadi zege kukauka.
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu habari za jioni? Kwa anaefahamu naomba kwa anaefahamu bei za vifaa vya maji vifuatavyo kwa mkoa wa Tanga anifahamishe na sehemu duka lilipo. 1. IPS PIPE 1/2" 2. IPS ELBOW 1/2" 3. IPS TEE...
1 Reactions
16 Replies
11K Views
Kujenga kanyumba ka aina hii Maeneo ya Mwanza, kahama au Bukoba inaweza gharimu kiasi gani cha pesa. Asante
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu, Zile sama za kukomaa kwenda kujenga huko chanika mara sijui bunju zimepitwa Na wakati. Kama una hela Yako ya Maana nunua nyumba kwenye hizi Gated community! Ni njema sana. Leo...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wataalam naomba mchango wenu wa mawazo. Hivi kiwanja chenye ukubwa wa futi 40 kwa futi 50 kinaweza kutosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu sebule public toilet na jiko. Naomba mwenye uzoefu...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
Ndugu zangu tunajaribu kupambana na maisha ili siku ziende, ukishika hapa unajaribu na pengine, naomba wenye kujua namna ya kupata vifaa vya kucholea marembo kwenye nguzo na madirisha anisaidie...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba kupata uzoefu wenu Kwa wale waliowekeza au kufuatilia uwekezaji wa apartments huko Dubai na miji mingine, naomba kujua hii biashara inaendeshwaje hasa ukiwa mbali na namna ya kuwekeza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…