Nawasalimu wakuu.
Naomba kwa wanaofahamu wanieleweshe kuhusu kuweka system ya gas ya kupikia katika jiko. Katika pitapita zangu nikawasikia jamaa wanaongelea kuwa kuna mfumo ambao mtungi wa gas...
Jamaa yangu tupo naye kazini kitambo sana. Si haba vijicent vipo. Shida kubwa ya jamaa ni ubabe na unyanyasaji sababu ya vijicent.
Huwa namwambia asiwe na lugha za kibabe, dharau na unyanyasaji...
Habari wakuu;
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina nyumba yangu yangu ambayo niliijenga mfululizo (non stop) hadi nahamaia, na sasa imetimia mwaka mmoja.
lakini jambo la kushangaza...
Habari zenu wakuu,naomba msaada wa kujua kwa uzoefu wenu idadi ya material yatakayohitajika kwa ramani hii ya nyumba na kama kuna chochote chakuongeza/kupunguza.
Fundi maiko wa kitaa atatumika...
Habari wadau wa jukwaa la ujenzi.
Mimi ni mama wa watoto wadogo watatu.
Ninaishi katika jiji la Dar es Salaam mitaa ya Temeke. Yaani huwa natamani kuwapeleka watoto wangu sehemu ya kucheza...
Wanajf mwaka huu nilifanikiwa kupata kibanda changu cha kuishi, tatizo nilipiga bati mwezi wa 9 mwaka Jana. Leo mvua zinanyesha kwa wingi, ninavujiwa kwenye zile "angles"za miinuko ya mabati Kama...
Wakuu habari zenu, nataraji kufanya finishing kwenye kibanda changu nipo hatua ya skimming na rangi sasa iv, nilikua naitaji kueleweshwa kuhusu hatua za hio stage na material bora kwa ajiri ya...
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu... nimejenga fence nishapiga plasta bado rangi ... ambao mushajenga nipeni ushauri rangi ya kupaka ili ukuta uwe na muinekano mzuri na rangi isibambuke...
Natumaini wote mko poa Wana Jf..
Nataka kuanza ujenzi ila eneo la kiwanja maji ni changamoto. Naombeni ushauri ninunue simtank au nijenge Kalo ili niweze kuhifadhi maji na ipi hautakuwa na gharama?
Habar zenu. Nimefanya leveling mwez January mwaka huu kwenye kiwanja kilichokuwa na mteremko. Kama haitoshi nimemwaga vifusi kadhaa vya udongo ili kusawazisha kiwanja kile kwan hata baada ya...
Mbao zenye dawa treated zisizoliwa na wadudu zinapatikana kwetu kwa bei za jumla na reja reja.
Tunatoa ofa za Misumari ya Bure 10kg na Ofa ya Usafiri wa kukupelekea mzigo sait Bure!
Tunapatikana...
Wakuu habari zenu.
Naombeni msaada nina kisima ninachovuna maji ya mvua, naona kama kinavuja ndani kwa ndani kwani maji hayajai tena, nilijaribu nikatoa maji yote, nikasafisha na kusakafia tena...
Nina miaka 34, Mke na watoto 2,Mwaka Jana nilikua na shauku ya ujenzi kiwanja nilisha nunua kina tofali kama 4000,Kokoto mende 3, mchanga mende 3, Tank za maji lita 4000. Nikatafuta mtaalam...
Natafuta namna ya kurudisha bathtub ambayo imechakaa. Nahitaji kuirudia maana naona imepata kutu.
Nliwaza hizi rangi za ku spray za kopo nyeupe.sijui kama zinafaa au kuna ambazo zinapatikana kwa...
Nikikumbuka 2015 kurudi nyuma kule nilikuwa nikinunua nondo 12mm kwa 20,000/- sasa nakuta ni 27,000/- Bando bati za kawaida zile 250,000/- sasa 380,000/-, misumari imepanda jero kwenye kila kilo...