Jk kwa mtazamo wangu binafsi pamoja na hasara kwa taifa iliyokwisha patikana tafadhali vunja bunge hili kwa sababu zifuatazo;
1> Taratibu na kanuni nyingi juu ya uendeshaji wake zilikuwa...
Sasa hivi hoja inayotawala ni juu ya hotuba ya Jaji Warioba na jinsi alivyojega hoja za nguvu kuhusu haja ya kuwa na Serikali 3 kwa sasa na hasa ikizingatiwa ya kwamba Katiba ya Zanzibar imevunja...
Ni kule mjengoni dodoma, ambapo Amosi Wako katika presentation zake kuhusu katiba ya kenya, anaulizwa maswali kwa lugha ya kiswahili, anayaelewa na kuyajibu kwa kimombo. Naona hali hiyo imeleta...
Baadhi ya wananchi, wasomi na wanasiasa huko visiwani Zanzibar wamesema muundo wa Serikali tatu uliopendekezwa katika rasimu ya pili ya katiba utachangia kuudhofisha Muungano wa Tanzania na...
Wakati tupo busy na mijadala ya Muungano naona ni bora nikumbushe watu kuhusu Bili zitazokuja na uwepo wa serikali tatu ambazo kwa bahati mbaya mimi na wewe ..ndio na wewe (usishangae) itabidi...
Wapendwa,
kwa wale waliomsikiliza Mzee Warioba mtakumbuka kuwa kidogo hali ya hewa bungeni ichafuke pale Warioba aliposema kuwa tume yake inapendekeza suala la uraia libaki kuwa la muungano...
takwimu za haraka nilizonazo ni kuwa watanganyika 61% walipendekeza serikali 3
wazanzibari 60% walipendekeza serikali ya muungano.
kwa mantiki hii kuweka serikali 3 ni kupuuza hoja za wazanzibar...
Kila nikiangalia upeo wa kufikiri wa mzee warioba nathubutu kusema ni moja ya masiha na mzalendo pekee atakayetuokoa na mashetani wanaotufanya tuendelee kuwa watumwa katika taifa letu maana kila...
inaelekea wanasiasa kuna vitu vingi wanafaidi kwenye Huu muungano wa kishenzi ndo mana wanaung'ang'ania hotuba ya jaji warioba ndiyo hayo wananchi wanayotaka ole wao watakaolazimisha serikali 2...
Hotuba ya Warioba: Wabunge 9 wa Zanzibar watishia kujitoa CCM baada ya kikao cha usiku
Habari kutoka chanzo chetu cha kuaminika ni kuwa kulikuwa na kikao cha CCM siku ya Jumanne usiku baada ya...
Zitto ameonekana Kufurahishwa na ufafanuzi wa Jaji Warioba na hata Kupelekea kuwashawishi Wajumbe wenzake kwamba, hawana budi kujadili namna ya Kuuboresha zaidi muundo huo wa Serikali tatu badala...
Ndugu zangu,
Katika kuamini kwangu juu ya uwepo wa Serikali Tatu, hivyo basi, uwepo wa Tanganyika, naamini ni katika kuchangia kuwepo kwa Muungano usiokuwa na maswali mengi huko tuendako...
Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa Bunge Maalum jana na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,kupitia kwa aliyekuwa Mwenyekiti wake Jaji Joseph S Warioba, inapendekeza kuwe na mfumo wa Serikali...
Hatimaye mwenyekitiwa bunge Samwel Sitta amekutana na viongozi wa UKAWA na kuwaomba radhi kwa ubabe aliotaka kuutumia jana hatua iliyosababisha bunge jusambaratika na Warioba kushindwa kuwasilisha...
Serikali Tatu na Zimwi Likujualo
Hatimaye Jaji Warioba amelihutubia Bunge Maalum la Katiba. Ule mzozo wa nani aanze kuhutubia kati yake na Rais Kikwete sasa ni historia. Kwa umahiri mkubwa...
Jana mzee huyu ameweka historia mpya ktk taifa letu,amejibu maswali mengi sana ambayo kwa vizazi vijavyo watakuja kutuuliza.Tafadhali mwenye link ya kutuwezesha kupata audio/video ya hotuba yake...