Habari wadau wote wa Mtandao Pendwa Tanzania, mtandao wa kila mtu bila kujali itikadi zake za kisiasa, kidini, umri na jinsia, Mtandao wa JamiiForums.
Ni matumaini yangu kuwa Mwenyezi Mungu...
Wanabodi,
nimepita mjini tunduma leo, kwenye highway inayoelekea sumbawanga kushoto naona bango/tangazo kubwa linaloonekana na kusomeka vizuri limeandikwa "KATIBA MPYA NI YA WANANCHI SI YA...
Sitta amekuwa mtu wa kutilia shaka kwa mtu yoyote. Katika picha hiyo anaonekana akimkumbatia mtu anayeweza kutafisiriwa kama adui yake namba moja hasa kama ulifuatilia suala ugonjwa wa Mwakyembe...
Kwanza nikupongeze kwa ushindi wa kishindo ulioupata kwa kukalia kiti cha Uenyekiti wa Bunge la Katiba, hii ni ishara kubwa kuwa si tu wabunge bali watanzania wengi wameweka matazamio makubwa...
Swali: Unafikiri nini sababu ya kuandaa Katiba Mpya?
Jibu: Katiba nzuri ni dawa ya kuua sheria mbovu. Moja yatatizo la Katiba tuliyonayo sasa ni kuacha mianya na hivyo watu kujifanyiamambo...
Awali ya yote napenda nitumie nafasi hii kukupongeza kwa ushindi wa jana,wewe ndiye MWENYEKITI mteule wa BUNGE la KATIBA.
Katika hoja zako, ukiwa unajinadi ulisema maneno mawili
1."mkinipa kura...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira amesema ni vyema Watanzania wakafikiria kudumisha Muungano kwa kutazama kero zilizoonekana miaka 50 iliyopita ikiwemo kero za...
Pamoja na Bunge Maalumu la Katiba kupitisha kanuni zote 87 za uendeshaji wake, bado kuna sintofahamu miongoni mwa wananchi kuhusu nini kilikubaliwa katika utaratibu wa upigaji wa kura...
Sita kasema atapambana na wanaotaka kuvunja muungano kwa kiasi Fulani sawa ila isijekuwa anataka kupinga serikali tatu ambalo ni ombi lawananchi wengi waliotoa maoni.
mara baada ya mbunge mmoja kusimama na kumuomba Mwenyekiti wa Bunge Pandu Ameir Kificho awatake watendaji wake wagawe vikaratasi vya kura ili ipigwe kura ya siri wachaguwe aidha siri au wazi na...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amempongeza Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, kwa kile alichokiita kuwa ni kuwa na kifua kipana cha kujali masilahi ya Taifa...
Sijui wewe, lakini mimi nakerwa sana na hili wajumbe wa Bunge la Katiba na Watanzania wengi kutaka kugeuza Katiba kama chombo/document ya kisera. Katiba ni sheria. Kwa mantiki hiyo, mambo ya sera...
Hodi Hodi Wadau wote wa Mtandao wetu pendwa, mtandao nambari one Tanzania, mtandao usio na mafungamano yoyote, Mtandao wa Jamiiforums! Natumaini kuwa leo mmeamka salama bukheri wa afya njema. Wale...
Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema amesema watu wanaotaka kura ya siri bungeni ni wanafiki huku Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wassira akiahidi...
Kumekuwa na malumbano makali juu ya majina ya wajumbe wa PCT yaliyo pelekwa ofisi ya Ikulu lakini yakatupwa.
Utafiti unaonyesha kuwa kutupwa kwa majina hayo kulifanyika kwa makusudi lakini baada...
sasa nimeamini juu ya usemi unaosema usimdharau usiyemjua. mimi na kificho wote ni watanzania lakini nikiri kwamba sikumfahamu uwezo wake wa kuongoza kwa sababu yeye ni speaker wa baraza la...
Sitta, ninakupa ushauri wa bure, baada ya kuwa umechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge Maalum la Katiba. Tatizo lako kubwa, ni kwamba, you talk too much! Kificho ameweka standard mpya ya...
1.wana Jf naomba wataalamu wa masuala ya kisiasa especially uchaguzi; kunafaida gani na hasara gani kwa kutokuwa na tume huru ya uchaguzi?
2.kwanini katiba mpya haizungumzii time guru ya...
M. M. Mwanakijiji
Bunge la Katiba linaweza kujikuta linatumia fedha nyingi na muda na mwisho likakwama kwenye suala la Muundo wa Muungano kwenye sura ya sita ya rasimu ya Katiba. Lakini hili peke...