Leo saa 10,Bunge la katiba litamchagua mwenyekiti wa kudumu wa bunge la KATIBA,Wadau mnaombwa kuzingatia uzoefu,uadilifu,ujasiri na DIRA ya mgombea husika.
Hadi sasa tayari watu wawili zaidi wamejitokeza kumvaa Samwel Sitta kuwania nafasi ya uenyekiti wa kudumu katika Bunge la Katiba hapa mjini Dodoma.
Aliyekuwa Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa...
Wanabodi,
Kile kitendawili cha chaguo kati ya kura ya siri au kura ya wazi, kitapatiwa ufumbuzi wiki hii, ambapo waheshimiwa wabunge wetu, wa Bunge Maalum la Katiba, watapiga kura kuamua kama...
Mapinduzi ya zanzibar ilikuwa tarehe 12 january 1964 na baada hapo wakataka kumwngusha karume walikuwa wadundane pemba na unguja karume akaomba jeshi 300 kwa nyerere ili kumlinda karume na...
Ndugu wadau, mimi naomba nichokoze hoja ya muundo wa serikali ya Tanzania. Napendekeza iwe na serikali moja na wala si mbili wala tatu. Tumeona jinsi kero za muungano wa Jamhuri wa Tanzania...
Wana jamvi.
Nichukue Fursa hii kwanza Kuishukuru Kamati ya Kanuni ambayo imefanya Kazi kubwa sana huku Utundu Mkubwa wa Kujisomea na utaalam wa Hali ya Juu wa Tundu Lissu ukijionesha Bungeni(...
Salaam kwa wote.napenda kuchukua nafasi hii kulipongeza bunge la katiba kwa kazi nzuri waliofanya kwa moyo wote na nguvu zao zote mpaka kukamilisha zoezi la kutengeneza kanuni.ni katika mchakato...
Baada ya kutangazwa kwa wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba napendekeza wabunge hao wamchague Mh, Sitta kuwa Mwenyekiti kwa kuwa alionesha kulimudu vyema bunge la JMT haswa katika mambo yenye...
Leo mh sitta akiwa sambamba na paul makonda na hamis kigwangala wameandamana kuchukua fomu hiyo;ila mizingwe na mkakati wa kumkwamisha sitta ume anza kubainika unao fanywa kwa siri sana na...
Mhe. Rais
Pole na majukumu
Naomba uzingatie ushauri wangu na watakaopenda kutumia njia hii kukushauri.
1.Jaza nafasi zilizowazi mpaka sasa za wajumbe ambao hawaripoti.
ZINGATIA...
Serikali Mbili hazihepukiki,,, " Mimi ni Muumini wa Serikali 2 hivyo kamwe sitaweza kuusaliti msimamo na mtazamo wangu juu ya Serikali mbili na Muungano wetu" - Mhe JOHN M. SHIBUDA (MB) Kupitia...
Ukiangalia mwenendo mzima wa CA mpaka sasa, ni dhahiri CCM imeshindwa hoja. Ingekuwa Katiba ni kampeni ya uchaguzi, CCM wangeshaiba kura au kupiga wapinzani mabomu. Ila kwa sababu hakuna polisi...
Nimesikia vituko vya CCM ,majibu na sababu zao ila sijapata majibu ya maswali haya..na pia ktk sababu zao nimepata maswali haya.NApata shida
1.Ikiwa wale pale bungeni sasa hivi ni...
Wajumbe kutoka zanzibar walipwa 420,000/= ili wakubali kurudi katika serikali mbili, hii imetokana na kuwepo kwa nguvu kubwa kutoka znz ikitaka serikali tatu.
salaam wanajamvi,
ninatabiri ugonjwa kwa mmoja wa wagombea cheo cha mwenyekiti anayetazamwa na wengi kua mshindi adi kusababisha uchaguz kuahirishwa ama kuendelea bila uwepo wake. Tumuombee...
Wadau heshima kwenu
Napenda kujua kesho kura ya kumchagua mwenyekiti wa kudumu wa bunge la katiba itakuwaje?? maana nimeona watu wakishabikia kuahirishwa kwa kifungu cha kanuni kinachoelekeza...
Wananchi wangu wa Vunjo na wananchi wengine wanachotaka ni suluhu ya utatuzi wa matatizo yao wingi Serikali hauwasaidii kitu. Hii kudai serikali tatu haisaidii katika kutatua matatizo ya...
Wadau heshima mbele. Kamati kuu ya ccm imemaliza kikao muda si mrefu usiku huu chini ya uenyekiti wa Dr. Kikwete, ambapo pamoja na mambo mengine mkuu wa kaya amehimiza msimamo wa chama wa matumizi...
Kwa takribani siku sita,kulikuwa na mjadala juu ya Vifungu vya 37 na 38 vya Kanuni za Kudumu za Bunge la Katiba.Vifungu husika vinahusu namna ya kufikia uamuzi Bungeni kwa njia ya kupiga kura pale...
Habari zenu wadau.
Leo nina utimiza usemi kuwa kuuliza si ujinga. Nikiwa kama mtanzania nisiye na ufahamu wa kutosha ktk siasa yetu ya bongo ningependa kufafanuliwa mambo yafuatayo ambayo...