Nimefuatilia kwa karibu sana mchakato na fukuto lililopo nchini hivi sasa na kugusa hisia za karibu kila mtanzania mpenda maendeleo na demokrasia..nikiwa kama mdau mkubwa tu katika maendeleo ya...
Ndugu zangu naomba msome ibara hii niliyoinukuu kutoka kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Angalieni ibara ya 54(5) na mnisaidie kuielewa,hainiingii akilini.
Katiba ya Jamhuri ya...
katika uongozi sifa mojawapo kuu ya kiongozi ni kuamua. Maamuzi ya kiongozi yanaweza tokana na namna kadhaa ,mojawapo ya hizo ni kutokana na ushauri,kura, au visheni binafsi ya kiongozi...
Kazi yenu miliyoifanya kama UDASA siku ya Jumamosi ya tarehe 15/01/2011 ni nzuri na inastahili pongezi za kipekee.
Kama mlivyoahidi inatia moyo kuona kuwa mtakuwa na mijadala mingi ya aina hiyo na...
Wana JF wapi ninaweza kupta video ya kongamnao la katiba lililofanyika Jmosi tar 15 Jan 2011 Chuo Kikuu chga DSM na ambayo tutaweza kudownload ili tuweze kuisikiliza kwa kwa utulivu?
Kutokana ma mtafuruku wa Dowans- Waziri Ngereja amabaye ni waziri mhimili alitamka kuwa serikali imeamua kulipa Deni. Kwa tafsiri ni kuwa baraza la mawaziri chini ya mkulu walisharidhia. Halafu...
Katika kongamano lililoisha juzi UDSM mada kuu iligusa maeneo makuu matatu: Haja, Mchakato na Maudhui ya Katiba Mpya. Wajumbe wote walionekana kukubalina hususani na kipengele cha kwanza-Haja...
Tunataka Katiba mpya kwa ajili ya nani?
Lula wa Ndali-Mwananzela
Januari 19, 2011
KAMA jibu lako msomaji ni kuwa katiba mpya ni kwa ajili yetu basi inakupasa uendelee kusoma makala hii kwani...
UPDP kujadili katiba mpya mwezi ujao
Na Rabia Bakari
CHAMA Cha siasa cha UPDP kinatarajia kufanya mkutano wake mkuu wa mwaka mapema mwezi Februari kwa ajili ya kufanya tathmini ya...
e: Kongamano la Katiba na Hoja ya Mnyika
Originally Posted by Didia
Katika kongamano lililoisha juzi UDSM mada kuu iligusa maeneo makuu matatu: Haja, Mchakato na Maudhui ya Katiba...
Uwakilishi bungeni kwa zaidi ya asilimia sabini ni haramu kwa sababu hautokani na wananchi wanaoishi maeneo husika ila wahamiaji kutoka mijini huwanyang'anya wakaazi wa maeneo yale uwakilishi...
Wana JF.
Mlimsikia hoja za huyu 'kambwa mnuka Ufisadi'? Rafiki yangu wa karibu aliniambia alitumwa na mafisadi kuharibu hoja za wasomi. Mnasemaje?
Pia mi niliridhika sana na point za Lwaitama...
Lowassa alitoa tahadhari hiyo jana wakati akifungua studio ya muziki ya FLEM, jijini Dar es Salaam na kuongeza kuwa hivi sasa inaoneka kuwapo kwa mashindano ya kuharibu amani kutokana na...
Bomani ataka mjadala wa Katiba usiwe wa pupa
Imeandikwa na Grace Chilongola, Magu; Tarehe: 10th January 2011 @ 23:50 Imesomwa na watu: 221; Jumla ya maoni: 0...