BARAZA la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam, limempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa uamuzi wake wa kukubali kuandikwa upya kwa katiba ya Tanzania, huku wakilaani nguvu kubwa iliyotumika kumshinikiza...
wadau nafikiri tujifunze yanayoendelea kule sudan kwani ndugu zetu wa kule jumapili hii watapiga kura kuhusu sudan kusini kuwa nchi,natamani na sisi tujitenge kutoka tanzania bara ili nasi...
Tume ya Katiba mbinu kuteka mjadala-Lissu
Na Reuben Kagaruki
MBUNGE wa Singida Magharibi, Bw. Tindu Lissu, amesema Tume ya Maalumu ya Katiba itakayoundwa na Rais Jakaya Kikwete, ni mbinu...
Kutokana na Taratibu Zinazo Tegemea Kuunda Tume ya Katiba, Zanzibar Wasipewe Effluence Kubwa Kama Bara. Jambo la Kwanza Zanzibar Wanaserikali Yao Wenyewe na Katiba Yao:
EISA Zanzibar...
Lowassa, Mzindakaya wazungumzia Katiba
Imeandikwa na Theopista Nsanzugwanko; Tarehe: 4th January 2011 @ 23:59
WATANZANIA wanapaswa kupata elimu ya angalau mwaka mmoja juu ya Katiba, kabla ya...
Bil185 kwa dowans ni uhujumu wa uchumi wetu.Kupandisha bei ya umeme inamaanisha maisha ya watu wakawaida yanakua magumu kutokana na uzalishaji wa bidhaa moja kua na gharama kubwa,hivyo kusababisha...
Habari wana JF.
Kila mwananchi kwa sasa kilio ni katiba mpya, mbali na Tume kuundwa tutawezeja kuhakikisha kila mwananchi anaifahamu katiba ya zamani na kufanya maamuzi ya msingi. Siyo sisi...
"Hali hiyo siyo ilijitokeza tu Sumbawanga... najua tulimkwaza Mhashamu Baba Askofu (Damian Kyaruzi), tumekejeli imani ya dini yake, tunaomba radhi, mimi naomba radhi kwa niaba ya CCM na Serikali...
ILI MCHAKATO WA UUNDAJI WA KATIBA UENDE, JE HAMUONI IPO HAJA YA:
1. ELIMU KUSAMBAZWA JUU YA MAANA YA KATIBA, KAZI YA KATIBA NA MAMBO MUHIMU YA KINCHI AMBAYO KATIBA INATAKIWA KU-REFLECT?
2...
Nashindwa kuelewa kama ulikuwa udhaifu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania kuruhusu zanzibar kurekebisha katiba yao kabla Yakurekebishwa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania??Kwani...
Hongera JK kwa uamuzi wako mgumu, mimi binasi sikutengemea kama ungetamka mambo hayo magumu kwa mustakabali wa taifa letu kwa sababu kuu kwamba katiba haikuwa ilani kuu ya chama chako.
Lakini...
Nimesoma kwenye Guardian ya leo (pg 3). Mbunge Nimrod anasema hakuna haja ya katiba mpya na kutaka kutengeneza mpya ni sawa na kutaka kupindua nchi. Anaendelea kusema " Rais, Wabunge na Viongozi...
wana jf tuna jukumu la kukimbia wakati wengine wanatembea haya rasimu sifuri hii tuwape jopo la wanasheria wa chadema waweke sawa then turuke nayo kwa kasi mpya na ari mpya.
Vuteni subira Katiba mpya- Msekwa
Na Gladness Mboma
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Bw. Pius Msekwa amewataka mwananchi mwenye mawazo Katiba kuwa na subira...
HOJA YA KATIBA:JK amvuruga Mnyika
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika
Mussa Mkama
KAULI ya Rais Jakaya Kikwete kwamba anaanza mchakato wa kuandikwa upya Katiba ya Tanzania, imefilisi hoja binafsi ya...
Jamani wana jf nimesikia tetesi kuwa mch. Mtikila amemuandikia jk barua akiomba kuwemo kwenye tume ya kukusanya maoni kutoka kwa wananchi. Sijui imekaaje hii
naomba michango wana jf the great...
Pamoja na rais Kikwete kukubali sera ya katiba mpya lakini ataendelea kuwa bata kwa mujibu wa mwanasheria mkuu (AG) Fredrich Warema.
Warema wiki jana alisema kuwa wote wanaojadili katiba mpya...
jana mchana nilikuwa ninaendesha gari yangu nikapita meneo ya mvumi misheni kule kule mjia ya kwenda kwa mzee malecela aka tinga tinga. nikiwa ninapumzika kidogo na kunywa soda ndani ya hoteli...
Jamani nimejaribu kutafakari nimeona ili ccm wasiachie moja kwa moja madaraka ni lazima kwenyehiyo katiba mpya tunayoililia wataweka kipengele cha serikali ya umoja wa kitaifa ilimradi tu...