KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Hivi mnawajua waliopo kwenye hili jopo ni akina nani? haya ndio matatizo ya kutokuwa na open Government website ya Wizara ya Sheria haisemi kitu (infact iko down)
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Gazeti la RAI - NGUVU YA HOJA -linalomilikiwa na ROSTAM AZIZ mmoja wa makada wa CCM ambaye jina lake limekuwa likihusishwa na ufisadi mkubwa mkubwa tu hapa nchini limedai kwenye makala yake ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Haya ndo mapendekezo yangu kwa katiba mpya 1. Ardhi iwe ni suala la kikatiba kama ilivyoshauriwa na Tume ya Issa Shivji mwaka 1992 2. Kuwe na serikali 3 kama ilivyoshauriwa na Tume ya Jaji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna thread moja tuliletewa humu inahusu maoni ya Januuary Makamba aliyotoa kwenye facebook moja akiponda kuwa hakuna haja ya mabadiliko ya Katiba. Sasa juzi Kikwete katoa hutoba kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Slaa: JK anamiliki Dowans • Asema hana nia ya kuunda Katiba mpya na Mwandishi wetu KATIBU Mkuu wa Chama cha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa kuikubali hoja ya katiba mpya kiulaini hivi,...si bure lazima "kutaingizwa" mapendekezo ya raisi kuongoza kwa vipindi vitatu ili agombee tena 2015! Kama sio hilo,basi kuna kitu anataka ndani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wanazuoni naomba mchango wenu. pamoja na nia yao pengine nzuri, sina uhakika ,CUF wameonyesha speed kubwa sana ya kudai katiba mara tu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu. pamoja na yote...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wana Jf, nimekuwa nafuatilia michango mbalimbali juu ya katiba mpya. Ili kuleta uelewa kwa kada mbali mbali binafsi nimeridhika na kituo cha Startv kwani wameona umuhimu kwa kuandaa kipindi kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WATANZANIA MCHAKATO MZIMA WA KATIBA MPYA NI HAKI YETU NA WALA SI MILIKI YA RAIS Heri ya Mwaka Mpya 2011 kila mmoja wetu!! Ndugu zangu Wana-JF na Watanzania kwa ujumla wetu, tusisahau mambo ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika ibara ya kwanza ya katiba sifuri ya CUF inasema itavunja Muungano wa Tanzania unaoundwa kati ya Tanganyika na Zanzibar na kuunda Serikali ya Shirikisho litakalokuwa chini ya rais mmoja...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Mabitoozzzzz....Failure Group
0 Reactions
0 Replies
796 Views
eti jaman naye c ana haki kama mtanzania eh ehe eh.......
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama Tulivyosikia Mwenendo wa Mapambano ya Katiba kwa Ajili ya TAIFA Letu. Kinachofuata Sasa ni Utaratibu Jinsi ya Kuundwa kwa Hii Tume. Kama Kawaida ya CCM, Hawata Toa Utaratibu Ili Wananchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Source: Mwananchi Newspaper Kikwete: Ni mwaka wa Katiba mpya Rais Jakaya Kikwete ametangaza kuanza mchakato wa kuandikwa kwa Katiba Mpya. Katika salamu zake za mwaka mpya kwa Taifa jana, Rais...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kutokana na kiburi alicho alichoonesha kwa wananchi, Werema asubiri wa2 wenye akili zao wafanyie kazi Katiba Mpya na yeye abaki na viraka vyake. Jk anajionea wenyewe udhaifu wa wateule wake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Najaribu kujiuliza hivi mchakato wa kupata katiba mpya si lazima utaanza kwa kupata maoni ya watanzania ili kujua kama kweli wanahitaji katiba mpya? Kama kutatakiwa kupata maoni ya watanzania...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
CCM na CHADEMA wasidhubu kuitana faragha na KUJITOLEA maamuzi namna gani MADAI YA WANANCHI JUU YA KATIBA MPYA ifanyike, kwa kuwa kisheria katika sheria za MIKATABA moja kwa moja wanapoteza UHALALI...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hakika, Tumeyapokea maneno ya JK kuhusu dhamira yake ya kuleta mchakato wa mabadiliko ya Katiba kwa tahadhari, isiwe tena ghiliba za kisiasa kama ilivyokwishatokea ktk utekelezaji wa tume za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za Asubuhi wanajamii! Jaji Augustino Ramadhani amelitumikia taifa kwa nafasi hiyo kwa miaka mitatu tu! Mabo ambayo najiuliza ni je, Kikwete alipomteua mwaka 2007 hakujua kwamba amebakiza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Zanzibar kutoka nchi, Mkoa, hadi Jimbo! Rais kuwa Gavana. Ni mapendekezo ya Azimio la Katiba ya CUF Na: Malik Nabwa Kimya kingi kina mshindo mkubwa! Na ukweli ukidhihiri uongo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…