KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Habari Wana JF Ndani Ya KATIBA PENDEKEZWA Nimeona Sana Sehemu Nyingi Zinazoelezea MASILAHI YA WAKUU NA MIFUKO YAO ... Sasa Me Najiuliza Kitu Kimoja Kwamba Yani Kweli Pamoja Na Nchi Yetu Kuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Akili Ya Kuambiwa Changanya Na Yako THEN Weka Unachokiona LIVE ....(you will get a good answer) Hao Wanaokushawishi Ni Watu Kama Wewe Na Wana Mapungufu Kama Wewe Kwa Sababu Hakuna Aliyekamilika...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
katiba pendekezwa unaipigia kura ya ndiyo au hapana?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
IBARA YA 8 : 2 (h) Aina Zote Za Dhuluma,Vitisho, Ubaguzi, Ukatili, Udhalilishaji, Unyanyasaji, RUSHWA, Uonevu Na Upendeleo Zinaondolewa Nchini. Hii Ni Kitu Ambayo Haitawezekana Kwa 100%...
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Wakuu!leo katika gazeti la mwananchi imeandikwa habari ya zitto kutangaza mali zake zote.Habari hii inasomeka kuwa Zito amesema anamiliki jumla ya 18 millioni,nyumba 2 zenye thamani ya shilingi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
akinukuliwa jana kupitia EATV mwanasiasa machachari wa Tanzania ambae hajapata kutokea mwanasiasa anaeweka maslai ya taifa mbele kama yeye alidai kwamba -Yeye ndo aleanzisha ACT Tangu yupo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
So, have you read the proposed katiba yet? Have you made up your mind? Is it aye or nay? Please share your views on the proposed katiba. If possible please keep political parties out of it (avoid...
0 Reactions
9 Replies
943 Views
Wakuu, Tangu mchakato wa Katiba Mpya uanze kumrkuwa na maswali mengi kuliko majibu! Kwanza Ilani ya Uchaguzi ya CCM, 2005 haikuwa na kipengele cha Katiba Mpya bali ilikuwa na suala la MAHAKAMA YA...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
tuipigie kura ya ndio katika pendekezwa ambayo imesheheni mambo mengi mazuri ikiwemo maadili ya viongozi na miiko yake KATIBA PENDEKEZWA NA MIIKO YA UONGOZI WA UMMA (utii wa miiko ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, Jaji Mark Bomani, ambaye pia ni mtaalam nguli wa Katiba, ameonya kuwa iwapo upigaji wa kura ya maoni ya Katiba inayopendekezwa utalazimishwa kufanyika...
9 Reactions
141 Replies
11K Views
Ndugu Mtanzania mwenzangu kumekuwepo na maoni tofauti katika JF na vyombo vingine vya habari kuanzia print na electronic kuhusu suala la kusogeza mbele kuara ya maoni. Binafsi naona NEC imekidhi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sina Uhakika
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Ndugu zangu wakulima kama mimi, wavuvi na wafugaji na wachimbaji madini, katiba imetutambua nashughuli zetu tuipe kura ya ndio ili tuepuke migogoro ya ardhi ya kila siku haki zetu zinapatikana...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wana JF yapo mambo mengi yanayotokea nchini kwetu, moja ya jambo ambalo watanzania tunatakiwa kufuatilia habari zake kwa umakini mkubwa ni lile linalohusu katiba Inayopendekezwa. Tunahitaji...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
The current debate is about whether or not these “Kadhi” courts should be entrenched in the new constitution of Tanzania. Confrontations rivalry on the mainland (Tanganyika) between the Muslims...
2 Reactions
358 Replies
26K Views
Baada ya malalamiko kuwa eti watanzania hawajaisoma katiba inayopendekezwa hiyo hawataweza fanya uamuzi sahihi....leo NEC wamesogeza mbele siku ya kura ya maoni till then...na huu ndo muda sasa...
0 Reactions
2 Replies
868 Views
Habari Zenu Wana JF. Kwa Wale Walioisoma Hii KATIBA PENDEKEZWA Na Wakaelewa Kabisa Tunaomba UCHAMBUZI Japo Kidogo Kwanzia Sehemu Ya Kwanza Na Sura Zake Hadi Sehemu ya Mwisho Please Alielewa...
0 Reactions
83 Replies
4K Views
Heko NEC kwa kutuongezea muda wa kusoma katiba na kufanya maamuzi sahihi.hakika hapa nawasifu kwa uamuzi wenu wa busara kutuongezea muda wa kuisoma na kuitafakari Katiba Inayopendekezwa pia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…