Julie Soweto, wakili katika timu ya wanasheria wa kiongozi wa Azimio Raila Odinga, amedai kuwa kura 4,463 zilitolewa kutoka kwa mteja wake na kuongezwa kwa Rais mteule William Ruto katika Kaunti...
Kwa mnaofuatilia mnakumbuka wale makamishna 4 wa IEBC walivyotoka saa ya mwisho matokeo yakitaka kutangazwa na kusema hawayatambui
Jaji anawauliza mawakili wa Odinga kwa nini muda wote walikuwepo...
Seneta mteule wa Busia Okiya Omtatah Jumatano alidai kuwa kuna zaidi ya kura 500,000 ambazo hazijaelezewa katika takwimu zilizotangazwa na Tume ya uchaguzi baada ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9...
Mahakama ya Juu ilisema Alhamisi kwamba IEBC ilitii maagizo ya kuagiza tume hiyo kuruhusu timu ya mlalamishi wa urais Raila Odinga kupata seva zake.
Hii ilikuwa baada ya Philip Murgor, wakili...
Wakati wa kusikilizwa kwa kesi ya malalamiko ya uchaguzi wa urais siku ya Jumatano, Orengo aliibua kitendawili cha kihisabati kwa jinsi idadi ya jumla ya wapigakura ilivyorekodiwa na kutangazwa...
Watu wawili wanaoshukiwa kuwa majambazi walifariki katika ajali mbaya ya barabarani eneo la Tiwi Sokoni kaunti ya Kwale Jumatano jioni.
.inaarifiwa kuwa wawili hao walifariki papo hapo baada ya...
Nasubiri Barua Yangu ya Kufukuzwa Kazi,' Justina Azungumza Huku Wajackoyah Akizindua Maafisa Wapya wa Chama
Chama chaRoots Cha Kenya, kinachoongozwa na Prof. George Wajackoyah kimeteua maafisa...
CHAMA cha Jubilee kimemwandikia Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati kikiomba kupata baadhi ya vifaa vilivyotumiwa katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9 kwa madhumuni...
Nimesikia hbr kutoka kwa majirani wenzetu kenya kuwa vijana wawili kutoka Venezuela wamekamtwa kwa kuingia kwenye saver za tume ya uchaguzi IEBC na kuiba kura za odinga HAYO wamelezwa na mawakili...
Wabunge walitaka huduma za Urembo na "Massage" zijumuishwe kwenye Vifurushi vya Bima za Matibabu yao ambapo Tume ya Huduma za Bunge (PSC) imekataa na kuwataka kutumia fedha zao wenyewe kupata...
Githu Muigai: Waangalizi wote walirudi na hitimisho moja. Huu ulikuwa uchaguzi wa wazi na wazi.
Githu Muigai: Ningekuhimiza uwaulize mawakili ikiwa wanafurahia uchaguzi wao wenyewe. Ikiwa...
Dunia nzima na culture zote watu wanaofanana muenekano hupendeleana na kumtenga yule anayeonekana tofauti, siyo sawa lkn ni kawaida, ukienda China ukiwa siyo Mchina watakutenga, Uarabuni ukiwa...
Mahakama ya Juu imeamuru Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) iruhusu Azimio la Umoja kufikia seva zinazotumiwa kutuma matokeo katika Kituo cha Kitaifa cha Kujumlisha Kura ikiwa ni pamoja na...
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Fred Matiang’i amesema wananchi wamepewa miezi 18 kubadili Namba za zamani na kuweka mpya ambapo magari Milioni 4.8 yaliyosajiliwa yataingia kwenye utaratibu...
Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!
Mungu wa mbinguni awabariki.
Updates...
Baadhi ya wanasiasa wa Azimio la Umoja one Kenya wanataka Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, kujiuzulu baada ya kutokubaliana na Matokeo ya Urais, huu ndio mchakato...
Hoja hizo zilizotajwa na Martha Koome, zitaamua Uhalali au Ubatili wa Matokeo ya Urais ni:-
1. Iwapo Teknolojia iliyotumiwa na Tume ya Uchaguzi (IEBC) kwenye Uchaguzi Mkuu ilifikia viwango vya...
Huyu jamaa kwa sasa usingizi wake ni mbaya, siku zote aliyemadarakani ndie hulalamikiwa Kwa kuiba kura lakini Kwa Kenya imekuwa tofauti aliyepo madarakani ndie analalamika kuibiwa. Kama ruto...
Uyu mtu pesa anayo ngapi?
Kwenye ngome za Rao alihakikisha wasimamizi ni wafuasi wake na aliwaachia ukwasi wa kutosha
Chebukati akamwambisha bilions of money
Sasa amegeukia majaji amepatia...