salama na amani iwe kwenu LC
Kutafuta na kuchagua mwenza si kazi ndogo kama wengi wanavyochukulia kwa kuwa naamini inawezekana ikawa muendelezo wa furaha yangu ambayo nimeihangaikia kwa miaka...
Habari zenu wanajukwaa? Ninatatizo kuhusiana na kupokea taarifa ya ujumbe wa message kutoka JF lakini ninapofunguwa ili nisome sioni ujumbe wowote.
Msaada tafadhali juu ya hili tatizo
Habari marafiki naitaji mpenzi atakayekuja kuwa mama Watoto Wangu miaka siyo kigezo heshima Na ukweli ndicho cha muhimu mm nafanya kazi nimejiajiri naomba nayy awe amejiajiri au kaajiriwa asante...
Habari zenu mabinti wa jf:-
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu:
Kipato,umri,rangi,umbo n.k vyote hivyo sitazingatia, cha mhimu awe mwanamke tu!
Kwa yeyote ambaye ataguswa moyoni na ujumbe huu...
There is this girl I met at my working place in the mid last year, we exchanged contact that day, and one thing led to the other and we started dating. We are really into each other and I can...
Asalaam Aleykum!
Wakuu sipendi kuwachosha maana sisi watu wazima hatunaga habari za nikilala nakuota au nikinywa maji nakuona kwenye kikombe.
Jamani kwakifupi ujana wangu nimeutumia vizuri...
Mm ni mwanaume wa over 40 yrs. Nipo dar, natafuta mama aliyefiwa na mume anayehitaji kuliwazwa kisaikolojia na kimapenzi, pia sihitaji pesa zake, mimi ninazo zangu. Mwenye nia aje PM.
mambo naitwa moses mkristo naishi dsm,nna miaka 33,elimu yangu kidato cha sita ,sijabahatika kupata watoto,dini yangu mnyakyusa,urefu wangu 5.8 ft,mwili wastan,rangi maji ya kunde ,bado...
Nahitaji mke awe Daktari wa tiba au awe na PhD. umri wake uwe kuanzia miaka 28-39 mweupe au maji ya kunde mrefu asiwe mfupi. umri wangu ni 38, ni mweupe. ambaye atakuwa interested aniandikie...
Sio rahisi sana kuandika hapa,ila tunaandika kwa Imani tu kuwa Mungu atafanya coz mume/mke anapatikana popote:
In short natafuta mume umri wangu 27,mkristo,ni single mom(swali la baba ake yupo...
Natafuta mke au mpenzi wa aliyenizidi umri umri wangu miaka 27 naishi morogoro mjini.
SIFA ZAKE:
- Awe na umri wa miaka 30 na kuendelea
- Awe mwenye mapenzi ya kweli kwangu
- Awe mwenye...
habari za jioni wana love connect
ninahakika humu hakuna mabinti wanaohitaji kupata wenza,maana vijana wengi wanajitokeza na kutoa detail zao,lakini hakuna mrejesho kwamba wamefanikiwa,nauliza...
Assalam alaykum wana JF naitwa Nasry natokea Morogoro natafuta mchumba ambaye kwa uwezo wa mungu atakuja kuwa MKE In Sha Allah sifa nazozihitaji
1)awe muislamu
2)anaejistir kwa mavazi kuanzia...
SIFA ZANGU
- Miaka 35
- Mkristo
- Nimejiajiri na nina elimu ya kidato cha nne
- Sijawahi oa na sina mtoto
SIFA ZAKE
- awe tayari kupima afya.
- Mkristo na asiwe na mtoto
-Elimu yoyote na kabila...
natafuta marafiki wa kike tu. Wa kubadilishana mawazo....!
STRICTLY SINA MPANGO WA KUOA AMA KUWA IN RELATION..
NI PM KAMA UPO READY
Sent using Jamii Forums mobile app
Assalam alaykum wana JF naitw
a Nasry natokea Morogoro natafuta mchumba ambaye kwa uwezo wa mungu atakuja kuwa MKE In Sha Allah sifa nazozihitaji
1)awe muislamu
2)anaejistir kwa mavazi kuanzia...