Wana jf niko dodoma hapa kuhudhuria vikao vya bunge kama Kuna mwana jf yyte wa jukwaa hili basi tuonane tujuane kidogo kwa Sasa Niko hapa Pestana pub mpaka usiku mkubwa so ukija hapa ni inbox
Habari zenu,
Nilileta habari ya kutafuta mume soma; Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa Napenda kuwashukuru wale wote milojitokeza kwa nia nzuri au mbaya na kubwa namshukuru Mungu wangu kwa...
Habari zenu humu ndani, natumai wote ni wazima. Mimi ni kijana mwenye miaka 29, nahitaji mke kutoka humu au nje ya humu jf. Nimekuja humu kwa kuwa nina amini hili ni jukwaa la great thinkers hivyo...
Uwe na umri wa miaka 25-30
Elimu:diploma au degree
Makazi:popote Tanzania
Kabila:lolote ISIPOKUWA MMACHAME.
Kazi:kama huna ajira hakuna shida
Mzuri na mwenye umbo zuri.
MIMI NILIVYO...
Mimi ni kijana wa miaka 27 naishi Dar-Es-Salaam kazi yangu MissionTown
Natafuta mpenzi mwanamke hawe na Umri kuanzia miaka 20 mpaka 27 hawe anaishi Dar-Es-Salaam hawe na kazi asiwe na kazi ni...
Habari ?
Najitokeza katika jukwaa hili kutafuta mchumba WA kike , awe na umri kuanzia miaka 18-27.
Mimi Nina miaka 28 na nimejiajiri.
Tahadhari usije kujaribu .
Pia naomba mzingatie umri....
...
Mimi ni binti wa miaka 26.Nina mchumba tuliwekeana ahadi tutaoana, ila naona mda unaeenda na yeye ukimuuliza hajajipanga kimaisha.
Nimechoma kumsubiri natafuta mume wa kunioa.
angalau awe na...
Hii inamhusu yule aliewahi kupost kuwa anatafuta na hatimaye akapata Mke/Mume/Mchumba kupitia jukwaa hili.
Share angalau kwa ufupi changamoto ulizokumbana nazo ktk huo mchakato hadi ukafanikiwa...
Mimi ni mvulana wa miaka 30
Elimu yangu degree
Kazi mjasiliamari
Nakoishi mbeya
Nataka mwanamke wa kumuoa
Awe anasari
Awe na umri kuanzia miaka 24 na kuendelea, awe mfanyakaz au ata asipokuwa...
Nina hitaji mchumba ambaye atakua serious na relationship ili awe mke wangu. Elimu yangu ni bachelor degree shughuli zangu nazifanyia Morogoro na Dar.
Sifa za mke awe na elimu japo form four na...
Habari wana mmu! mimi nikijana wa miaka 29 ifikapo 29 october mwaka huu. Nina elimu ya chuo kikuu nimehitimu mwaka 2017. na sasa nipo katika mchakato wa kuongeza elimu yangu katika fani tofauti...
Mimi ni kijana wa miaka 26 ni muhitimu wa chuo, nimejiajiri natafuta msichana aliyeserious katika mahusiano,
Vigezo. mcha mungu, bila kujali ni msichana au single mother ili mradi awe mcha...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ninaishi dar na shughuli zangu nafanyia dar; ninajitegemea nikimaanisha nimejiajiri na pia nimeajiriwa; elimu niña digrii moja; mengine tutaambiana na ambaye...
Kicha jinajekeza
Mimi ni kijana wa kiume naitaji mchunba wa kike
1.awe nwakimy
2.nyanda za juu kusini
3 .umri miaka 23-26
4.awe hajawai kuzaa au kuilewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naitwa Saida Issa ni mkazi wa dar es salaam nina umri wa miaka32 nahitaji mume wa kunioa awe muislam kwa yeyote atakayekua tayari awasiliane na mimi kwa nambari 0653708874
Tafadhari usika na kichwa cha Habari hapo juu kama kinavyo jieleza.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27. Naishi Dar-Es-Salaam Temeke. Dini yangu ni muislamu. Natafuta mpenzi wa kike.
Hawe na...
Naitwa Walter Frank . Nina miaka 33, Kabila ni Mkara na Mpogoro. Dini yangu ni Mkristo wa Dhehebu la Katoliki. Elimu yangu ni Shahada ya Mawasiliano na sasa naendelea na Shahada yangu ya Uzamili...