Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Amani ya Mola iwe juu yenu wote. Naomba kurudia tangazo langu tena la uhitaji wa dhati wa mwanamke wa kumuoa..Pasi na masikhara wala maigizo naomba kuwasilisha tena ombi langu la kumptafuta...
3 Reactions
71 Replies
6K Views
Kuna hali hua inanitokea na hii ni tangu nakua nimegundua hili, Inapotokea ninapo onana na jinsia ya kike kwa mara ya kwanza alafu akanivutia sana, sasa kadri ninavyozidi kumuona na hata pengine...
0 Reactions
3 Replies
900 Views
Habari wanajopo. Mm ni kijana wa umri wa miaka 30,nilioa msichana wa miaka 25 na nimezaa nae mtoto 1. Tatizo kubwa la msichana huyu nadhani ni kutokana na umri wake yaani sio mtu wa malengo...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Habarini wakuu... Tatizo la kukosa mtoto na kutoshika kwa mimba limekua sugu miongoni mwa kina Dada wengi ( haswa wale waliowahi kutoa mimba ....ingawa si wote) Kama kuna mtu mwenye tatizo hili...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na...
23 Reactions
262 Replies
27K Views
Well mimi ni mwanaume Umri 28 Mfanyakazi Kampuni binafsi Makazi Dar-Mbezi kimara Elimu Bachelor degree (Bsc) Mrefu wastani Maji ya kunde Natafuta msichana mwenye Sifa zifuatazo: Mcheshi Mcha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello wana Jf Jina. Ben Carson Umri. 35 Elimu. Bachelor degree Dini. Mkristu Kazi. Mwajiriwa Urefu. 160cm Naishi...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wanaume? Mimi nina miaka 23, nipo DSM. Nafanya kazi katika kampuni moja ipo hapa hapa DSM. Kwa sasa nahitaji mwanaume wa kuishi nae sio wa kuspend nae.Mimi na mkristo, nita penda kama...
5 Reactions
122 Replies
18K Views
Natafuta mwanaume wa kula nae uzee miaka 38 na kuendelea, vijana vijana hawa sina muda wa kupeana stress so usijisumbue. Usiwe umepeana talaka na mkeo. Au mmefarakana kwa njia yoyote labda awe...
9 Reactions
180 Replies
15K Views
Ujue madhaifu ya umpendae chumbani! Tusikurupuke tu na kupalamiana.
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimestukia kwamba mahitaji ya mke au mume ni mengi kila uchao. Maana post za kutafuta mchumba, mke/mume ni nyingi online. Hivi ni kweli kwamba hao waombao kupata mwenza humu JF hufanikiwa...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Nahitaji MTU wakuongea nae na Ku share nae hisia zangu ,na wakati mwingine kwenda nae shopping au matembezini hasa siku za weekend
2 Reactions
2 Replies
1K Views
habari za mida wadau! 2 weeks ago niliandika juu ya hitaji langu la kupata mwenzangu wa kula nae maisha nikaweka na wajihi wake anatakiwa awe sasa kibembe kimenikuta juu ya kutafutwa na mke wa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna makundi mawili Ya wanawake na makundi mawili Ya wanaume Makundi Ya wanaume 1.aina Ya kwanza Ya mwanaume ni yule mwenye homoni tupu za kiume Hawa tabia zao huwa na mfume dume,na mara nyingi...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Katika dunia hii iliyojaa rabsha,karaha na madhila lukuki, Mwenyezi MUNGU alituruzuku Mahaba ili yatuliwaze. Ewe binti mrembo,uliyeumbwa ukaumbika,mkazi wa dar es salaam,ningependa Kuwa nawe...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Umri Wangu Miaka 23 Makazi Dar es Salaam.. Other Details Utazifahamu Once Tutakapo Wasiliana.Ukipendezewa Zaidi Kunifahamu PM Ipowazi Tutazungumza Kinagaubaga.
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Wasifu Mimi nikijana wa miaka 25-30 (Dume/rijali) Mkazi wa Dar es salaam Elimu ni shahada ya usimamizi wa fedha na biashara Natafuta mwenza wa kujifunza nae mambo mbali mbali ya mahusiano kama...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Guys Kama kuna mwanamke ana group la damu lenye -veRh naomb ani pm.tupo wachache.
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Habari zenu comrades.. Mimi ni kijana mwenye miaka 25 ni mwajiliwa serikalini,natafuta mke awe na miaka kuanzia 18 hadi 28 ,nipo serious mwanye kuhitaje naomba aje PM sichagui Dini wala kabila
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za majukumu wakubwa.. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu.. Sifa awe anaishi Dar au Zanzibar,.. Urafiki wetu utakuwa wa kufa na kuzikana (sizungumzii mapenzi). Kwa alie tayari...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…