Natamani kupata mwanamke wa kufunga nae ndoa mwaka huu, umri wangu ni miaka 38, sijawai kuoa wala kuzaa na mwanamke yoyote nilikuwa masomoni Ujerumani.
Mwanamke awe na umri wowote, dini yoyote...
kama kichwa cha habari kinavojieleza,niko serious natafuta binti wa kuoa,umri wangu ni 35yrs.
vigezo;
-awe tayari kuchek afya
-umri chini ya wangu
-kabila lolote
-anajitambua kuwa anahitaji kuolewa
Mimi kijana nimejitokeza kutafuta mwanamke ambaye tutaweza kuwa kwenye mahusiano yatakayopelekea ndoa
Kuhusu mimi
Umri 25 years.
Elimu Diploma.
Kazi: Nurse
Nahitaji mke awe na sifa zafuatazo...
Kwa heshima ya kipekee na ndani ya moyo wangu,
Kwa mara nyingine Leo napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa waanzilishi wa JF. Kwangu mimi imenitendea mambo mengi kupitia watu wake.
Mbali na...
HABARI!
Jamani ndugu zangu, natafuta mpenzi wa kike
Mimi ni kijana wa Kitanzania umri miaka 21,
Nahitaji mpenzi awe amenizidi miaka 3-5, lakini sio kigezo cha muhimu sana, Ata akiwa wa umri...
SIFA ZA MWANAMKE NITAKAYE MUOA 2018 MIMi Deo KISANDU.
1.Asiwe mtoto au ndugu wa Rais au Makamu wa Rais au Waziri mkuu au Katibu Mkuu Kiongozi au Waziri au Viongozi wa CCM au CHADEMA.
2. Asiwe...
Rejea kichwa cha habari hapo juu,,natafuta mke wa kuoa..mm nina miaka 40,,mke mtarajiwa awe na miaka kuanzia 20 had 35,awe kipotabo kidogo awae na kamzigo kidogo awe maji ya kunde mnakaribishwa..
Habari zenu wana bodi!
Poleni na mihangaiko yenu ya maisha mimi nina 30yrs nimeajiriwa. Natafuta mke mwenye nidhamu na mwenye hofu ya mungu pia awe 20yrs mpaka 28yrs pia asiwe bonge sana kikubwa...
Hello my felloe JF Members,
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35,elimu ya shahada ya kwanza,na mwajiriwa,Career-wise iam doing ok, but i think it's about time to meet with my future wife
I would...
Habari zenu wana bodi!
Poleni na mihangaiko yenu ya maisha mimi nina 30yrs nimeajiriwa. Natafuta mke mwenye nidhamu na mwenye hofu ya mungu pia awe 20yrs mpaka 28yrs pia asiwe bonge sana kikubwa...
Asaalaam alaykum naitwa Nasry natokea morogoro mjin natafuta mchumba ambaye in sha Allah atakuja kuwa mke awe muislamu anaejua dini japo kwa uchache sichagui rangi wala kabila..shukran