Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Umri wng miak 30 natafuta msichana kuanzia umri 18-25 awe mke wng sibagui dini
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu.. Napenda kuweka wazi kwamba nahitaji mwanamke wa kuanza naye maisha siyo kupotezeana muda kwani kama ni muda nimeshapoteza sana. Naomba awe na sifa zifuatazo: Sibagui. Dini...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu..... Nahitaji marafiki wa kuchart,nina stress mno,nahisi kwa kufanya hivyo kutanipunguzia mawazo... Mimi ni msichana nina 25 yrs...naishi Dar es salaam... Jinsia yeyote sibagui....njoo...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Hi, I'm up looking for a life partner who will be my future wife. I’m 27 years old guy from Dar es Salaam looking for someone who is between 20-25 years. She must be christian, with college...
1 Reactions
0 Replies
649 Views
Am a man aged 32, single and a civil servant. Education: degree holder.Tribe: sukuma. Color: black but not typical black. Height: neither short nor tall. Mwanamke anaehitajika: Mrefu wa wastani...
3 Reactions
130 Replies
7K Views
Habari za leo JF, Naitwa Stella najitokeza mbele yenu leo kutafuta mchumba na baadae Mungu akipenda basi awe mume wangu wa maisha. Kuhusu Mimi na Ninayemhitaji Ninafanya kazi kwenye moja ya...
11 Reactions
57 Replies
8K Views
Looking for a girlfriend aged 20-25yrs,, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,, natafuta rafiki wa kike,, kwa aliye tayari anicheki kwa simu Namba 0744554155.. Dini Yeyote, elimu Yeyote..
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 mwajiriwa wa serikalini natafuta binti mwenye umri wa miaka 23 -26 kwa lengo la kuanzisha familia aliye serious. Tuwasiliane pm tafadhali!
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Dini yyte... Awe kwenye miaka 20-25... Ready to settle down
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Mimi ni kijana nipo naishi dar natafuta marafiki wa kuchat nao na ku share mambo mbalimbali ya kimaisha. Mwenye kuwa interested anipm
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Good day, habari zenu wana Jamii Forums. For a time now nimekuwa Single but Now its a perfect time kuwa na mtu ambaye tutatengeza Family. I'm very serious on this na kama kweli unatafuta mwenza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Asalam aleykum wana jF natafuta mchumba wa kumuoa sifa (1) awe anajua ugumu wa maisha (2)awe na elimu yoyote tu (3)kabila awe mmakonde,mmwera,mzaramo,myao,mmakua,yatapewa kipaumbele au kifupi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa single kwa muda sasa,mimi ni ME natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana nae mawazo, dini yoyote na umr wowote kikubwa ajitambue.. Naishi DSM, kwa ambay yuko tyr anakaribishwa PM.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
  • Closed
Umri ndo huu umefika, sikutaka kukurupuka kuja hapa kuandika maana kuna kuna wengi wenye kutafuta waume niliona isiwe shida ya nami kuandika niliwafuata baadhi ya wale niloona wana vigezo...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Toka nijiunge humu galz wahumu siyo wakuoa wala kuolewa wamekaa kimajungu na kingono ngono muda wote wanawaza kugegedwa tu na wote wapo jukwaa hili la mapenzi siwaoni hata majukwaa ya muhimu wao...
2 Reactions
101 Replies
7K Views
Jamani wana jF natafta mchumba mwenye kujua nini maana ya mapenzi maana tangu nimeyajua mapenzi bado sijapataga mtu alie tulia kwni wote ninaowapata wengi huwa waongo sana leo atakuahidi hivi...
1 Reactions
8 Replies
944 Views
Mimi ni msichana miaka 26 naishi na VVU ukiniona huwezi kujua mpaka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda...
21 Reactions
32 Replies
4K Views
I'm Edith, nina miaka 26. I have a degree Natafuta mume WA kunioa. Mwanaume WA until miaka 35-40. Aliyeko serious ani pm.
8 Reactions
65 Replies
5K Views
Nalipanda hili jukwaa tena kwa heshima zote na taadhima, ni wengi wameleta maombi yao humu ya kutafuta mwenzi wa maisha na wamefanikiwa, Na mm sio ajabu nikirudia ombi langu humu, natafuta mke...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…