Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mim nkijana wa miaka 25 mkristo, napenda music, kufanya mazoezi elimu yangu degree,...... natafuta mpenzi mwaminifu, mwenye mapenzi ya dhati, mkarimu anayejua nn maana ya mapenzi mungu akijalia...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiriwa natafuta mchumba wa kuoa aliye na umri kuanzia miaka 23 mpaka 26. Aliye interest tuwasiliane kama hii post haikuhusu ipotezee tu.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi nikijana wa miaka 25 nimuajiriwa natafuta mchumba ambaye ana kazi ili tuweze kusaidiana katika Maisha sichagui kabila wala dini awe na umri kuanzia miaka 20 mpaka 24 kama utakua upon tayari...
0 Reactions
1 Replies
823 Views
Mimi mwanaume miaka 32 naishi Dar. Nahitaji mwanamke umri kuanzia 18yrs hadi 40yrs awe mkazi wa Dar. Karibu PM mpenzi
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Mijitu mingine imeona humu ni sehem ya kufanya majaribio yaan hayapo serious
0 Reactions
11 Replies
759 Views
Mimi ni kijana wa kitanzania ninatafuta mchumba, mimi ni mfanyabiashara wa madini nina pesa, nyumba, gari na kila kitu ambacho mtu anapaswa kuwa nacho katika maisha, tatizo tu natafuta mchumba aje...
3 Reactions
95 Replies
6K Views
Naitwa Monilite, Natafuta marafiki wa jinsia zote wa kushauriana mambo tofauti katika maisha ya kila siku Sichagui kabila Umri 26 - 30 Awe anapatikana dar es salaam Alie tayar aje PM
1 Reactions
13 Replies
1K Views
awe mfanyakazi au mjasiriamali, umri kuanzia miaka 35 mpaka 50 sichagui dini wala rangi alie tayari ani PM tutaongea zaidi mimi ni mfanyakazi
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mm ni kijana (kiume) wa kitanzania niko morogoro. Natafuta marafiki wa kike/mchumba. Aliye tayari tutazungumza kupitia 0629160442. Nina miaka32,nahitaji marafiki/mchumba kuanzia 24-30 kwa wanawake tu.
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Mimi mwanaume miaka 32 naishi Dar. Nahitaji mwanamke umri kuanzia 18yrs hadi 40yrs awe mkazi wa Dar. Karibu PM mpenzi
0 Reactions
8 Replies
678 Views
Mimi ni kijana umri 30 nahitaji mwanamke umri 25-30 asie na mtoto kama ana mtoto basi mzazi, mwenza labda asiwe duniani maana akiwa hai atapoteza sifa ya kinyang'anyiro. Karibuni elimu sio lazima
3 Reactions
29 Replies
2K Views
kimsingi nimemisi kitu cha msingi sana,mpaka nahisi akili zimevurugika.nilivyokuwa mikoani nimewahi kumiliki kademu kangu kalembo kalikuwa kananitunza ila kwa sasa kameshaolewa Sasa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama heading hapo juu inavyo sema mimi ni kijana ninae ishi mikoa ya kanda ya ziwa. Nimuaiiliwa serikalini na elimu yangu ni shahada, dini ni mkristo, umbo langu si mnene wala si mwembamba na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi mwanaume miaka 32 naishi Dar. Nahitaji mwanamke umri kuanzia 18yrs hadi 40yrs awe mkazi wa Dar. Karibu PM mpenzi
1 Reactions
56 Replies
3K Views
Habari zenu, Maisha ni safari ndefu sana na inamilima na mabonde. Kwa upande wangu mimi ni mwamamke umri miaka 43 nina watoto. Katika maisha haya nimepitia mambo mengi sana na nimejifunza mengi...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Hi! I'm a lady of 28 years, I'm here to look for a husband. I'm masters degree holder, TPA worker , polite and humble lady. I'm virgin. I like children, reading, visiting sick people in...
8 Reactions
182 Replies
15K Views
Salut a tout le monde!! Aged 35, tall, average weight, christian, graduate, employed etc. Uwe: max 30, graduate(preferred), tall (not less 170cm), average weight, no kid(s), stable income etc...
0 Reactions
2 Replies
595 Views
Habari wana jf, Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, Mimi ni kijana wa kiume nafanya kazi ktk private sector. Kipato changu na maisha yangu ni vya kawaida. Kwa sasa naitaji Mchumba wa kujenga...
1 Reactions
6 Replies
935 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…