Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habarini wana JF, Kutokana na maisha kwenda kasi hatuna budi kuwa na ubavu wa kushoto wa kusaidiana maisha ya hapa na pale. Natafuta mwanamke mwenye sifa hizi: Awe na umri 28-32. Asiwe na mtoto...
0 Reactions
6 Replies
665 Views
Kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyojieleza, natafuta mwanamke aliezalishwa tayari (singe mother) niwe nae katika mahusiano na kama Mungu akipenda NDOA itafuata Zingatia vigezo ( awe ana mtoto...
6 Reactions
9 Replies
559 Views
Husika na kichwa cha habar hapo juu. Mimi ni mfanyakazi katika taasis binafsi, umri miaka 36, natafuta mpenzi wa kufanya nae maisha awe dini yeyote umri 23 mpaka 45.
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Awe mwembamba au wa kawaida sawa mweusi mweupe sawa awe simple tuu, miaka kuanzia 18 Hadi 22
1 Reactions
8 Replies
655 Views
Sifa zangu; mweupe, mrefu, mwil wa kawaida, miak 26, nimeajiliw serikalini Diploma Sifa zake Akiwa muislam itapendeza zaid Elimu yoyote Asizid miak 29 Asiwe mnene kupitiliza Seriously PM
0 Reactions
3 Replies
606 Views
Hello! Mimi Ni kijana mtanzania Elimu shahada ya kwanza katika sayansi (Kemia) umri Miaka 28 nimejiajiri. NATAFUTA mwanamke ambae atakua mchumba na Kisha kuwa mke.. dini awe mkristo na mcha...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Nahitaji mwanamke wa kuoa, awe muislamu na umri kuanzia 19 Hadi 24. Aliye serious anitafute: 0678625773
0 Reactions
2 Replies
454 Views
NB Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu. Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza (life partner). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu. Sifa zake : Ajira: Ni...
28 Reactions
462 Replies
12K Views
Naitwa X, ninahitaji mchumba wa kuoa. Nina bachelor degree, sijaajiriwa bado ila nafanya biashara. Mimi ni Mkristo kwa imani,nina miaka 29. Vigezo vya mtu ninayemhitaji Elimu: kidato cha 4 hadi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naitwa Alex, Elimu yangu ni Degree pia ni mwajiriwa natafuta Mchumba yaani mwanamke wa kuoa. SIFA Awe na elimu kuanzia Diploma na kuendelea. Awe mweupe au maji ya kunde. Asiye kunywa pombe. Awe...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello members! I am a 34-year-old Christian woman with one child, looking for a serious man to start a family with. I am employed in the private sector. If you meet the following criteria - 34...
19 Reactions
120 Replies
7K Views
Napenda sana kujiconnect na watu wapya, hivyo natafuta marafiki wawe wa kike au kiume its okay, tubadilishane mawazo na kushare life experience, then as u know anything can happen anytime...
9 Reactions
131 Replies
6K Views
Habari wana JF? Natafuta mume awe na sifa: -Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki) -Umri 35-45 -Amejiajiri/Kuajiriwa -Elimu angalau degree moja na kuendelea -Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na...
21 Reactions
82 Replies
5K Views
Nahitaji mke wa kuoa awe mkristo umri kuanzia 23 - 33 Awe tayari kuwa mke wa mtu na mwaminifu
4 Reactions
0 Replies
564 Views
Sina nengi zaidi ya hilo mika yangu 38 masawali na majibu njoo pm .kigezo namba moja hekima na ufahamu kuhusu ndoa
5 Reactions
116 Replies
3K Views
Habari wana JF! Mimi sio mgeni humu jukwaani ila nimekuja na ID mpya kwasababu ID yangu inafahamika na watu kadhaa. Ninatafuta mke mwenye sifa zifuatazo. UMRI: Miaka 18-26 ELIMU: Kuanzia kidato...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana JF, Natafuta mwanamke ambaye yupo tayari ku settle na kuwa mke wangu halali na kujenga familia pamoja. Sifa za huyo mwanamke ziwe kama ifuatavyo: Mwenye hofu ya Mungu Anayejielewa na...
10 Reactions
75 Replies
4K Views
Nimefikia maamuzi ya kuongeza mke wa pili kwakuwa mimi ni muislamu na dini inaruhusu, hivyo naomba kwa yeyote aliye tayari ani PM tuwasiliane. Mie ni mtumishi serikalini ningependa mwanamke awe...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 27, natafte mwanamke ambaye ni mcha Mungu seriously na ameokoka, akiwa wa miaka 20-24 itapendeza sana. Kwa sasa nipo ruvuma ila nyumbani ni moshi. Naomba...
2 Reactions
0 Replies
391 Views
Anahitajika mdada kuanzia 24-30 kama yupo tayari kuanza maisha ya ndoa nipo Dodoma. Kazi yangu ni fundi wa ujenzi elimu yangu kidato cha nne, umri miaka 32. Awe tayari tu kuolewa. Rangi, kabila...
11 Reactions
56 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…