Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Mimi ni Mwanamke Muumini wa Dini ya Kiislam (ISLAM-UNYEYEKEVU-MUISLAM) ni muajiriwa umri wangu miaka 30, sijawahi kuolewa na sina mtoto. Nahitaji...
14 Reactions
58 Replies
7K Views
Habari zenu ndugu Jamii Forum, Nia ya kuandika uzi huu hapa, ni kutoa attention juu ya mada ya hapo juu, haja yangu kupata mke wa maisha ambae atakua ni mbora wa maisha yangu, kwa mawasiliano...
1 Reactions
58 Replies
2K Views
Kwema? Nina uhitaji wa kupata mke wa kufanya nae maisha, nahitaji awe na sifa zifuatazo. 1.Asizidi miaka 30 2.Awe na uelewa muhimu wa maisha. 3.Napenda awe na muonekano mzuri, japo ni jambo la...
0 Reactions
1 Replies
732 Views
Dear future husband nakusubir kwa hamu kubwa iliyo kifani tuanzishe safari ya upendo wa agape pamoja [emoji173] moyo wangu unaniambia upo sehemu fulani lkn kutokana na hali nilionayo sahv ya...
19 Reactions
69 Replies
4K Views
Habarini mimi kadefeghee member wa hi platform ila piaa n introvert kiasii..maishaa ya kukaa kipekeee yamenishindaa. Natafutaa marafiki wa kuweza kushare nao mawazo n kujuana especially siku za...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
1. Kama wewe ni mwanamke. 2. Umri wako ni miaka 18 - 26 3. Una shughuli yoyote halali ya kukuingizia kipato. 4. Una elimu angalau ya kidato cha nne. 5. Unaishi Dar es salaam Basi njoo PM...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana. Mimi ni mume mwenye watoto kadhaa. Nahitaji mwanamke aliye tayari kuwa mke wa pili. Awe na umri kuanzia miaka 30 hadi 40. Naamini humu wapo wanawake wanaohitaji stara...
0 Reactions
6 Replies
847 Views
Naomba nichukue fursa hii kutafuta mwanamke ambaye hakika tutafunga nae ndoa sifa mtoto wakike ni lazima awe 1)MUISLAMU 2)Awe ana shughuli zake binafsi 3)Awe na upendo wa dhati 4) Suala la umri...
4 Reactions
8 Replies
694 Views
Hamjamboni wanajukwaa la Love Connect? Hope mnaendelea vizuri na majukumu yenu.Moja kwa Moja a ha niende kwenye mada husika. Mimi Ni mkenya na ninaishi jijini Nakuru sehemu nakofanyia...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Waungwana natafuta mchumba umri kuanzia miaka 25-29, Elimu kuanzia darasa la saba hata form 4, awe mjasiriamali ama mfanyabiashara ndogondogo ni sawa, kuhusu kabila ni lazima awe mnyiramba, mimi...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari Wana JF. Naitwa parson, Nina umri wa miaka 35, pombe na sigara situmii, Kazi mjasiriamali (mdogomdogo) mwenye malengo makubwa. Sifa ya mke nimtakaye. Umri kuanzia 30-36 Kabila -lolote...
0 Reactions
9 Replies
949 Views
I am 28 yr guy from dsm working as businessman I like public transportation(i dont have a car lol)and wandering around cities. I do believe that ‘love conquers all,’ but that’s because I’m a...
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Hello everyone, I am looking for a wife material, mrembo, anayevutia hasa..its my hope that I will meet you here..kama tukimatch vizuri tutafunga ndoa kubwa mwaka huu huu...maana ndoa yangu...
8 Reactions
93 Replies
7K Views
Hello members?, I'm 28. I'm looking for a partner/ girlfriend. I'm looking to be in an emotionally committed relationship. I'm not looking for “the one” or marriage, but I also am not looking for...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Awe na miaka 28...36 Mkaz wa Dar Christian Urefu asifike fut 6 Mengine tutawasiliana pm. Mimi nna miaka 28 ni diploma holder. Nimejiajiri ni mbena wa Iringa. Naishi Dar Mbezi.
11 Reactions
64 Replies
5K Views
Jambo! Natumaini wote mko salama na Mungu anawapenda sana. Natafuta rafiki mzuri wa kike maybe ndio atakuwa wangu wa milele nina 40 yrs, niko Arusha kwa sasa napambana nina mtoto mmoja ana miaka...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Habar wanajf..., Nahitaji mke wa kuoa ambaye yupo dar.. Sifa zangu ; -Umri 28 -Elimu: degree -Kazi:Self employed Sifa za mke -awe na umri 22-28 -Awe na kazi rasmi -Awe amemaliza kula ujana Karbu...
0 Reactions
6 Replies
847 Views
Mimi ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, ni mjasiriamali mdogo, sina mtoto na sijawahi kuoa, nipo Dar dini ni mkristo. Muonekano wangu ni mrefu kiasi, mwembamba kiasi na mweupe kiasi...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…