Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Jamani nimekoma,niliweka bandiko la kutafuta mchumba humu lkn nlokutana nayo n vituko vitupu,humu wengi wapigaji na wazenguaji..wengine wamekomaa balaa!!‹[emoji3][emoji3][emoji3] yan utoto...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nahitaji mwanamke atakayekuwa tayari kuzaa mtoto/watoto Nimeoa, akitaka kuwa mke wa pili haina shida. Au anaweza kuamua kuwa free, mtoto nitampa huduma na Upendo wa baba Kama inavyotakiwa. Huduma...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Mm ni mwanamume wa miaka 28, natafuta mpenzi, awe anaishi Dar, miaka 18 - 25, awe slim (athlete body like, mweusi, dini yeyote) aliyetari aje PM This is serious
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Natafuta rafiki tutakaeweza badilishana mawazo kuhusu maisha, have fun together and all other stuffs. Age awe 25 na kuendelea. Karibuni PM (kwa walio serious tu).
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Jamani number nilitoa na pichaaa nipoo serous plz nichek tuuu ulie tayarii 0757347649 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanasema Hakuna Mapenzi Bila Pesa Hivi Ni Kweli...?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nina miaka 24 Namaliza chuo mwezi wa 7 (degree ualim) Mnyakyusa Mkrito Pia najishughulisha na biashara Sina mtoto Sifa za MWanaume awe ameajiriwa au amejiajiri Mwenye kujituma na kupenda...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Kuabstain ndo njia pekee salama ya kujiepusha na UKIMWI na virusi vyake, pamoja na magonjwa mengine. Ewe kijana wa kike na wa kiume ambaye hujaoa au kuolewa; majuto ni mjukuu. Usicheze na maisha...
4 Reactions
2 Replies
671 Views
Habari wanajf. Kichwa cha habari kipo wazi hapo.Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 32.Natafuta msichana/mwanamke awe mpenzi na hatimaye awe mke wangu.Awe mrefu kiasi,asiwe kibonge,umri...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wakuu,, Niende mojakwamoja kwenye mada Ni kweli kwamba wanawake ndoto yao kubwa huwa wanawaza kuolewa Yani hilo hata halina mpinzani wanawake siku zote wanawazaga katika fikira zao kuwa...
5 Reactions
98 Replies
7K Views
Jamani najisikia kufanyiwa massage hebu naombeni mnisaidie sehemu gani hapa dar,iwe yenye Bei nafuu tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninajisikia nifanyiwe massage leo naomba mnisaidie sehemu nayoweza kupata huduma Bora na kwa Bei ya kawaida, plz Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Wadau, Niko kwenye mchakato wa kudivorce na nimehamishiwa hapa Dar kikazi, natafuta msaidizi wa kazi za nyumbani aliye makini ambaye anaweza akasaidia pia kazi anazofanya mke akiwa nyumbani...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Habar wakuu , Daah leo nataka tu share faida na hasara na kufanya tendo la ndoa kila sku Binafsi nimekua mfuasi wa daily sex siwez kukosa hata sku moja bila ya sababu zisizoepukika Wazungu...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Nina hitaji mwanaume wakujenga nae maisha mwanaume mwenye miaka kati ya 29-37,dini awe mkristo,awe na kazi au biashara,pia awe ni mtu alie serious kweli,endapo ana watoto asiwe na watoto zaid ya...
3 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari, mm ni mwanaume umri miaka 25 natafuta mpenzi wa like umri 20-24 awe anatokea iringa ili iwe rahisi kuonana., mm nipo Iringa. Namba yangu 0768448352 mengine tutaelekezana inbox Sent using...
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Wazima humu Natafuta mtu wa kunisitiri maana naona hali yangu c hali tena na swala la kuzini silihitaji kabisaaa masikioni mwangu Najikuta napoteza watu wengi ambao wananihitaji kimapenz Ila...
39 Reactions
289 Replies
26K Views
Habari zenu Kijana mwenzenu baada ya kuona umri wazidi kuyoyoma na nguvu bado zipo nimeamua kutafuta ubavu wangu ili tuweze kuyajenga tuwe na familia(maisha yenyewe mafupi haya) Sifa zangu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
nahitaji rafiki wa kike ambaye atakuja kuwa mchumba na hatimaye mke wangu ila atakayeweza kuridhika na huu ukweli wangu wa kimaisha kwa sasa. ni kwamba kwa sasa sina kazi wala pesa kwani nimetoka...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kama Kichwa Cha Habari Kinavyosomeka Hapo Juu ...., Naitaji Mwanamke Ambaye Yupo Serious And Not 4 Joke SIFA ZANGU Nina Miaka 26 Muisilamu Mjasiliamari Elimu: Nimeishia Ngaz cheti SIFA ZA...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…