Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta msichana Age 23-26 ambaye nitaweza kua nae katika mahusiano na badae ndoa niko dodoma akiwa maeneo hayo ni vizuri zaidi njoo PM tuyajenge Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
912 Views
Nipo mwanza, nilikutana na demu toka moshi, kama kawaida mtoto wa mjini nilimtokea akatiki nikiwa na lengo LA kubomoa na kuacha, kumbe mtoto kaelewa mikito kaning'ang'ania humwambii kitu kuhusu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hiyo ni kauli yangu kwenda kwa binti fulani ambaye by the time alinikataa na kuniona si kitu. Leo hii baada ya miaka mitano anakuja tena kwa speed ya rocket," eti Uno mi nakupenda for really"...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Nipo Mwanza nimejiajiri, natafuta msichana tupunguziane ukali wa maisha umri miaka 18-24 Dini yeoyote awa anajishughulisha na chochote kitakachotuwezesha tuwe tunasaidiana katika maisha. Mimi ni...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kumradhi!!!!! Siku zote huwa natamani kuwa na mwanamke/Msichana mwenye elimu ya juu Degree/PHD au msichana wa kishua,mwanamke mwenye pesa kama zote kama Mrembo wa Ben Pol. The dreams comes true.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba nikiri kwamba mi ni kijana wa miaka 29,sijaoa nahitaji mwanamke mwenye kuhitaji kuolewa,kama atakuwa muislamu itafaa zaid,sichagui kabila,umri niutakao asizid miaka 35,huduma zote za msing...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta mwanaume umri kuanzia miaka 30 Awe na kazi Awe anamcha MUNGU Asiwe mswahili swahili Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
64 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28 natafuta mpenzi alie siliasi katika mahusiano ili baadae tukijilizisha wote wawili tufunge ndoa nipo atakae...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Mi ni mwanamume wa miaka 26 nahitaji,mchumba wa miaka 18-24, awe mcha mungu,mkristo asiwe mchagaa,mzaramo,mnyamwezi,muhaya ila tofauti na hao nawapenda wote awe na mapenzi ya dhati,awe...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Mu wazima nyote? Niende straight to point: Awe na miaka kuanzia 18-25, sitojali dini,rangi wala kabila. NB: Nataka wa kuzaa nae tu sina time na kuoa. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Anahtajika mdada aliye mpweke kwa ajili ya kampani...awe mchangamfu, mwenye nafasi na muda wa kusafiri hapa na pale... hakuna masharti mengine yoyote...Karibu
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Nina umri wa miaka 27, nipo dar, nina elimu ya chuo ngazi ya bachelor, natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo, awe muislam awe muaminifu awe na umri wa miaka 18-27 awe anaishi dar awe na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari jf member,maelezo yanajitosheleza,pia na mengine mengi ni pm nitakusaidiaa tiba asili zaidi natoa hakuna utapel wala ujanja nipo around handeni tanga karibuni
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30. Nimemaliza elimu ya chuo kikuu miaka Saba iliyopita, kwa sasa nimejiajiri na nina biashara zangu. Ninaishi mkoa wa Kilimanjaro. Mwanamke ninayemtaka awe, @ umri wowote...
2 Reactions
113 Replies
9K Views
Those who love are best able to understand. Those who understand are best able to love. . Where there is love, there is understanding. Where there is understanding, there is love. . Love needs the...
1 Reactions
4 Replies
974 Views
Hey, Natafuta mke alietayali kutengeneza familia mwaka huu 2019 kuanzia leo jan 26-hadi mungu atakapotuita. SIFA ZAKE 1. awe mkweli 2. asiwe mzuri sana 3.awe maji ya kunde/ mweupe kias 4.kama...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi kazi ya six pack kwenye mwili wa binadamu hasa mwanaume ni ipi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Niaje?? E bwana weee wife kasafiri ana kama wiki na nusu hivii tangu asafiri sasa mzee baba anataka papuch yake mpaka shidaaa!! Naweza kutembea barabarani ukiona mwanamke kakaa vibayaa basi tayari...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Asallam aliykum wadau wana JF leo nawaletea huu UZI zipo kauli au hulka ya baadhi ya watu wakidai ya kuwa ni udhaifu hasa kwa mwanaume kutongoza msichana kutoka ktk mitandao ya kijamii na wapo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…