Ndugu zangu wana Jf Salaam sana.
Ndugu zangu kweli mimi nilikua mkereketwa wa chama cha wanaokataa ndoa ila mwisho wa siku niliona huwezi kuwa rijali na ukakataa kuishi na mwanamke . Nilikusanya...
MADHARA YA KASHFA NA TUHUMA ZA UZUSHI
Madhara ya kashfa ni kwamba unaweza kufukuzwa kazi,kutengwa na familia pamoja na jamii, unaweza kupoteza ajira, unaweza kupoteza uaminifu katika jamii...
Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake...
Salaam wana fikra pevu.
Je, unaweza kueleza ni eneo gani ulikutana na mwenza wako kwa mara ya kwanza, pia je ni kweli kwamba tabia na mwenendo wa mwenza (mke/mume) hutegemea zaidi na sehemu...
Huu uzi naundika mahususi kwa kwasababu ya mdau mmoja ambaye anatupigia sana makelele hapa jukwaani kuhusiana na mwanamke bikira,kwa mtazamo wake anaona mwanamke bikira ndio sababu ya utengamano...
Ukichelewa kuoa au kuolewa ni NGUMU SANA kumpata mwenza mnayeendana.
Huu ni mtazamo tu wakuu japo najua kila mtu anaweza kuwa na namna yake ya kutazama mambo lakini mimi naona kama ni ngumu sana...
Kwanza kabisaa usiamini story zote humu utakuwa mjinga sana humu kuamini kila story na kuanza kumdefine mtu kulingana na story alioleta… visa vingi ni uongo uongo
Hii tabia imekuwa kero sana kwa...
Kama mada inavyojieleza
Kuna rafiki yangu alikatiwa bima ya afya na mke wake sasa wana ugomvi mke anatishia kwenda kuifunga
Jamaa anaulizia utaratibu ukoje ili apambanie haki yake kama mume...
Imeandaliwa na kuandikwa na Dokta Dotto Aliko
🤝Wiki kadhaa ziliyoisha ya tarehe 25/12/2023 Kuna mdada nilikutana naye kwenye Uzinduzi wa siku 16 za uanaharakati dhidi ya UKATILI wa kijinsia...
Last Jumamosi nilipata mualiko kumtembelea Sister Home kwake Mikocheni. Nilienda na Mke Wangu na Mtoto wetu mmoja wa miaka 4.5
Saa nne tulikuwa tumefika home maana tuliambiwa siku hiyo hata...
Ule usiku wa shughuli pale ukumbini huwa tunaona mwaliharusi mrembo hadi unajiulizaaswqli mengi
Huyu mlimbwende katoka wapi huyu?
Wajameni mbona binti mrembo hivi?
Huyu katoka uhabeshi?
Huyu...
Wanandoa wengi wanaendekeza mazoea ya kuzoeana katika ndoa hadi kufikia kunyimana tendo la ndoa lenye uweledi na kufikia ndoa kuvunjika kwa jambo dogo tu.
Mimi ni jambo ambalo na lipa kipaumbele...
UGONJWA WA VIJANA NDO UMAUTI WAO.
Dhana mnayoiendekeza namnaiona ndo pepo yenu tambueni ndo umauti wenu pia maana hakuna kizuri kisicho kuwa na kasoro.
Yes nawakumbusha Vijana 👇
Mashangazi...
Habari , Hope mko poa
Twende directly kwenye Mada. Hivi wanawake Especially Mlioolewa Mnaweza Vipi Kuishi na Mwanaume anayependa Kununa nuna ?
Binafsi Nimechoka sasa Mume wangu ni ile aina...
Habari za weekend wakuu, i hope mu wazima wa afya.
Kama heading inavyosomeka, ni ipi hasa sababu ya msingi zaidi ya watu waliojipata kiuchumi kuachana???
Japo hata wale ambao bado hawapo vizuri...
Maexpert wa kiume nawapa mchongo ambao wanaume wenye hekima tu ndio wanaielewa hii code
Mosi, mwanamke wako hatakiwi kujua hisia zako za ukweli kabisa,yes you heard me!
Fanya utakavyo fanya na...
Tulitishwa Sana kuoa kabila za mkoa wa Tanga (hususani Wadigo na Wabondei) kuwa tunakaribisha umaskini, Leo hii mwaka wa 7 nipo na mke wangu Ashura, ananipa yote kwa mapenzi na mahaba.
Napewa...
Inashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti
Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha...
Nilimkuta anaandaa mahindi, kipindi ambacho kulikuwa na balaa la wadudu na ukame hivyo uvunaji haukuwepo kabisa au ilikuwa duni mno. Katika kuchangamsha tu genge nikamsifu kidogo kwa kumwambia...