Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo:
19 to 32 years
Mweupe na beautiful
Mrefu kiasi
Sio mnene wala mwembamba sana
Mwenye dimpoz
Awe tayari...
πππππππππ πΌππππΌπ ππΌππππ
Alipoulizwa kama aliweka mali zake chini ya uthibiti wa mama yake kwaajili ya Ndoa:
Hakimi alisema:
"Hapana! Hii haina uhusiano wowote na ndoa, kwa sababu kama...
Hakuna mwanamke wa kisukuma asiye na chale mwilini.
Familia za kisukuma kupeana connection za waganga konki ni jambo ka kawaida, usishangae siku mkeo anapigiwa simu na mama yake kuwa aombe ruhusa...
Ukiangalia historia ya maisha ya watu wengine waliotangulia utabaini kwamba maisha ya mwanaume siku zote huwa magumu sana.Mwanaume anaweza kuonewa huruma nyakati nne ,moja akiwa mgonjwa sana,mbili...
Bwana Yesu apewe sifa.
Kuna sehem nimesoma kua kama mwanamke ameshatumika sana na wanaume. Ikitokea ameolewa basi hataweza tulia kwenye ndoa yake kabisa.
Mshkaji anasema sababu ni wanaume ambao...
Natumaini mkopoa
Natamani kujua namna malezi ya watoto wenu yalivoleta changes kwenye maisha ya wazazi wengi
Nitaanza na mm story yangu ya kweli lakin nilisimuliwa na mamayangu pia Kwa kias baba...
Nimemfumania zaidi ya mara 3 na kumsamehe. Tuna mtoto mmoja, lakini bado hataki nimuoe.
Nina miaka 37 na niko kwenye mahusiano na huyu dada kwa miaka 12 sasa. Yeye ana miaka 35, ni mwanamke...
Kudos wanajf wote, nayaandika haya yote hapa kwenu nikiamin great thinkers na watu wenye ushauri mzuri mpo hapa, utani pia na kukosolewa naruhusu.
Naomba mnivumilie stori ni ndefu kidogo ila...
Heshima kwenu
Haya ni maneno yako yaliyopangwa vizuri kwa kutumia mtindo ule ule:
Dogo, wasikusome! Hii dunia ya sasa usikariri. Manjegeka ni mengi, na mambo mabaya ni kibao. Mwanamke akisha...
Fundi wa Ving'amuzi alienda kurekebisha dishi la Azam kwenye Nyumba ya Wasomali , Baada ya kufika kwenye nyumba ile alimkuta Binti wa mwenye nyumba akiwa mwenyewe .
Yule binti alikuwa na miaka 20...
HESHIMA KWENU
kupitia maisha ya kila siku ni kweli kuwa jina hali define hatima wala halileti hela.
ila kwenye dini zote tunasisitizwa IMANI MOVES MLIMA , tunaweza kuinvest majina kwa watoto...
Uliwezaje kumwongoza kijana balehe kimalezi kwenye umri wa upumbavu (foolish age)?
Umri una changamoto sana huu maana kijana ameanza kuutambua ulimwengu na mema yake.
Kipindi hiki kiburi...
Habari zenu?
Niende kwenye mada!
Ni furaha kwangu pale ninapokutana na mwanaume mwenye mienendo ya kiume. Kwakweli inachukua muda kukutana na mwanaume haswa. Kwakweli wanaume wengi tumepoteza...
Baada ya kukaa mda MREFU Sina mahusiano nikaamua ngoja nitest skills zangu wazee
Nikamtokea Binti mzuri mtoto wa 2000 akakubari ila nilipomsoma nikaja gundua ni mtu wa tamaa sana
He only check...
Jamani wadau, naomba mnisaidie kitu. nina manzi wangu kimahusiano, ila kila akinipigia simu napata hasira, tunalumbana lumbana sana lawama kwa sana
Shida inakuwa nini....?
Habari wakuu!
Ipo hivi, nipo kwenye mahsiano na mwanamke aliyeachwa kwa kosa la usalit katika mahsiano yake ya mwanzo.
Alimsalit mtu wake akaja kwang, jamaa alipogundua akaachane nae. Jamaa...
Habari wadau..mi ni mgeni humu naomba nipokelewe..
Mi ni kijana wa makamo,Nina tatizo Moja kubwa na linanitesa sana..
Kwenye mahusiano natokea kupendwa sana na mabinti,lakini wanataka sex TU...
Akitoka ananiacha na watoto na mfanyakazi wa ndani, Naakirudi nashindwa kumkemea, sana sana naishiakumpa pole na pilika. Hauwezi kunishauri kitu nikakuelewa namuelewa sana.
Juzi wakati natoa...
Sometimes unajiuliza maisha yana maana gani?
Aisee waliosema "It takes courage to love" hawakukosea.
Nilikutana na huyu binti mzuri sana, zaidi ya sana mahala fulani hapa dar. Kuna kitu...