Kuna mwanamke mmoja tunafanya naye kazi, kwa bahati nzuri nimetokea kumpenda mwanadada huyo. Ila kuna kitu nimekiona cha tofauti kwa mwanadada huyu, yaani tabia yake na hali zipo tofauti na...
Ndugu zangu mimi kuna jambo huwa silielewi kabisa kuhusu wanawake/ mwanamke: "ukiwakataa huwa wanakuwa na chuki kali sana dhidi yako haijalishi mpo katika mazingira (hata kazini/biashara) gani."...
Ladha ilikuwa tofauti na siku zote! Kumbe ile tamu ilikuwa ya mama mkwe[emoji848][emoji40]
Mavi ya kale hayanuki! Hii ni story yangu mwenyewe! With time passed kuna vitu havina madhara tena hata...
Natumaini wana JF mpo salama kwa uwezo wa Mwenenyezi Mungu
Kama heading inavosomeka, Mimi ktk suala la mapenzi huwa na ujinga wa vitu viwili kwa mwanamke wakati wa faragha.
1;Napenda natural...
Ukiwa umeoa / nyumbani una familia hakikisha kila unaporudi home unarudi na mfuko umejaa vitu vya sokoni.
Ukijenga huo utamaduni itakuongezea heshima kwenye nyumba yako hata kabla haujaingia...
Natumaini mko poa,
Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivyo awali.
Maisha...
Wakuu habari zenu, natumai mu wazima wa afya. Changamoto yangu iko hivi niko 20s lakini sijawahi kupata mwanamke seriously wote wanautoto mwingi sana...
Wakuu
Hakuna aliye mkamilifu chini ya jua. Mara nyingi muumba atakujalia kipawa au karama hiki akakunyima ile hiyo ndio hali halisi.
Wengine wameenda mbali zaidi kudai hata malaika sio...
Nakumbuka hapo zamani niliwahi kuwa na rafiki yangu mpole sana, aliwahi kumfumania mazingira ya nyumbani dada yake na njemba nyingine kwenye nyumba ambayo haijakamilika (pagala), baada ya siku 4...
Nakwenda kwenye maada
Siku ya ijumaa mke wangu alitoroka na kisa cha kutoroka ni wiki mbili zilizopita mama mkwe aliniomba aondoke sehemu na mke wangu na mimi kulingana na mipango ya hapa kwangu...
Ikitokea mwanamke/mwanaume mlikuwa mna date kwa mda TU ukamchoka ila unamlia timing ya kuachana naye, ghafla siku Moja anakutumia sms "KUANZIA LEO TUACHANE " Utamjibu Nini, au kama iliwahi...
Haya ni mabadiriko ya maisha yangu baada ya kuoa.
POSITIVE.
1. Kabla ya kuoa nilikuwa naweza lala bila kula au nikala mkate na juisi tu nikalala ila sasa nikitoka kazini na njaa nakuta mke wangu...
Habari wana JF.....
Hopefully it was a lovely weekend na all your Loved ones na wale woote wa karibu wapo salama salimini.
Topic ya leo yahusu pale Mwanamke unapo jiona kua ni Mzuri na ni...
Habari za muda huu wanajf poleni kwa majukumu na itoshe kusema kwamba ndio maisha hayo::
Sasa niende kwenye mada, kuna suala moja ambalo wengi hawalijui na itakuwa vizuri kueleweshana hapa ili...
Mara nyingi unakuta maisha ya wengi ya hawa maanko na mashangazi ni full usanii na janjajanja za mjini.
Wanatafuta fursa ya kujineemesha kwa fursa yoyote itakayotokea hata kama ni kifo cha mwana...
Anasema Kuna ka demu alikatongoza kakakubali
Sasa kakaa nako mwezi kaja kugundua kana bwana wake wa boda boda
Na hakakumuambia akikauliza kana leta Kona Kona wewe apo unaona Nini mdau mm...
1.RAFIKI YANGU,ULIMI WA SUMU
Ni Mkonze wilayani Nzega ni miaka zaidi ya 30 iliyopita.
Mimi nilikuwa na rafiki yangu ambae tulianza kidato cha kwanza pamoja,yupo hai hadi sasa na tunaendeleza...
Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa. Kuna mwanaume niliwahi kuzaa naye kabla ya kuachana, na baadaye...
Nimezunguka hii nchi ila hiyo mikoa imenitetemesha. Mbeya wanayo ya asili, Mtwara wanayatengeneza mtoto anapo zaliwa, yanakuwa yanabinuka juu juu, malainii viuno wanavirekebisha na shanga, pia...