Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mtindo wangu wa maisha na kuvaa kwangu navaa kama kijana na mambo yangu ni ya vijana lakini watu wananiona kama mzee. Kuna wazee wamenizidi umri lakini wananiamkia na kunipigia magoti na Mimi...
17 Reactions
71 Replies
2K Views
Naomba ushauri wako kati ya hawa wanawake wawili yupi anaweza kuwa sahihi kwangu? MWANAMKE WA KWANZA Ana elimu ya darasa la saba lakini ni mjanja sana maana hata text za kiingereza anajua kusoma...
17 Reactions
85 Replies
3K Views
1. Mke anayekaa nyumbani: Huyu anajitolea muda wake wote kuhudumia familia, kulea watoto, na kuhakikisha nyumba iko sawa kila siku. 2. Mke mwajiriwa: Huyu anafanya kazi na anaingiza kipato cha...
1 Reactions
34 Replies
597 Views
Ndugu zangu salaam sana.. Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito. Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale...
4 Reactions
24 Replies
666 Views
mpo mnafanya mapenzi unamuona mwanamke analia sana au mwanaume wako kaza sura mwenyewe unazani kanogewa kumbe anaumia kuona analipa kisasi cha kuambukizwa ukimwi kwa mtu asiye na hatia. # TAKE...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Copy & paste from Christian Bwaya from X social media!. Mwanamume unaamini mwanamke akisoma anakuwa tatizo kwenye mahusiano, ‘hatawaliki’ na ataishia kuwa msimbe. Kwa nini sasa unasomesha watoto...
1 Reactions
0 Replies
75 Views
Muhimu: Tatizo hili lipo hata wakiwepo wazazi wote au baba pekee lakini kwa kwa single moms ni kiwango kikubwa zaidi na haimaanishi ni wote Ni tofauti na zamani, haikuwa shida sana kwa kina mama...
1 Reactions
6 Replies
284 Views
Hali zenu? Wakuu, siku ya jumatano majira ya saa 1 jioni nikiwa nimefika nyumbani kutoka mihangaikoni, kulitokea kutokuelewana na wife,nikajikuta napandwa na hasira nikamshika nikachomoa mkanda...
45 Reactions
251 Replies
8K Views
1. Regardless of her age, a woman will always have a playful and fun-loving side. 2. She feels joyful when she receives attention but becomes sad when ignored. 3. Trying to control her will...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Mke wa Mwanamuziki maarufu duniani Neyo awaleta Wanawake Wawili warembo ambao Kazi Yao itakua ni kujamiana na mume wake kipindi ambapo atakua ameenda kujifungua au katika kipindi chote ambacho...
30 Reactions
122 Replies
6K Views
Siku ya kwanza unamuomba mtoke chakula cha jioni ili kufahamiana (dinner date), anakuomba nauli na hela ya kusuka, mara hana viatu, nusu saa kabla amekuomba umnunulie salio. Achana na hayo...
99 Reactions
444 Replies
12K Views
Jambo hili huwa lenye kuacha Watu wengi sana mdomo wazi kwa kile huitwa wanawake hawajui wanataka nini. mada ya leo kwanini mwanaume mwema sana, muaminifu,hana michepuko, anajali sana,ni...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwema wakuu Kuna kisa cha kweli kabisa kilichonitokea April 2023 yaani hii siku bana sitoka niisahau mpaka nife. Ipo hivi nilikua nina kidemu changu kinasoma Ushirika Moshi mwaka wa pili sasa...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Hellow JF, Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu JF, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha? Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia...
19 Reactions
347 Replies
21K Views
'KUKOJOA' kwa wanawake ni jambo adimu sana duniani! Nani anabisha?! Unaweza kudhani ni jambo rahisi lakini sivyo. Tafiti mbalimbali zimebainisha kwamba ni wasichana/wanawake wachache sana hufikia...
9 Reactions
73 Replies
32K Views
Nimefanya mambo fulani ambayo yameniletea aibu na bado najisikia hatia na kukosa kujiamini. How do i move on... Vitu kama ulevi wa kupindukia, kutukana watu, kupoteza pesa nyingi nk.
8 Reactions
44 Replies
2K Views
Hope Jumapili iko njema kwa wote,. Kwa ambao hamko sawa nawaombea mrejee kwenye hali zenu za kawaida.. Iko hivi, imi hua nakutana na hii kitu sijui niiwekaje,. Yaani unakuta maybe mtu ana shida...
18 Reactions
126 Replies
4K Views
Wa kwanza ni The Main Guy – Yule ambaye anampenda na kuvutiwa naye. Huyo mara nyingi hajali sana kuhusu yeye. Kisha kuna wa pili, The Backup Guy – Kawaida ni mwanaume mzuri anayemtaka. Ni mzuri...
31 Reactions
103 Replies
3K Views
Wakuu haya makabila ya wamakonde na wamwera yana kasoro yoyote? Ilikuwa hivi huyu Dada nimuite Hawa, ni junior kazini...ni binti wa kati ya miaka 32 na 36 na anawatoto watatu. Mumewe anamatatizo...
4 Reactions
15 Replies
745 Views
Kujiongezea sifa usiyokuwa nayo ili upendwe ni hatari inayomaliza vijana wengi Mahusiano ni mfumo wa kihisia hivyo ili uwe ndani ya mfumo lazima uwe na hisia ila ni hatari kubwa sana kulazimisha...
4 Reactions
9 Replies
452 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…