Yani nimepita mtandaoni nimeona mjadala wa watoto wanaodaiwa walikua wanafunzi wa shule fulani picha zao cha uchi zimevuja mtandaoni. Nimewaza sana hali ya wazazi wao sijui ikoje kwa sasa, imagine...
Kati ya jambo baya mwanaume unaweza fanya mi kutangaza habari za mwanamke ulisex nae au ulinae kwenye mahusiano hata kama unadhani ni wakupita tu au kukuondolea hisia na kuachana nae.
Jamaa...
Ni kweli.
Mwanamke yeyote ambaye ni feminine haombagi hela kwa mwanaume.
Hela zinakuja tu zenyewe.
Kama unataka kujua inakuwaje nicheki inbox.
Angalizo:
Nyie wanaume mnaomiliki wanawake...
Heri ya mwaka wanajf
Kwa wakazi wa Arusha tunajua vilivyo huu mji ulivyobarikiwa na pisi kali za kila aina hadi sio poa
Sasa tuingie kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nina...
Wakuu habari za jumapili,
Nilikuwa ninaomba ushauri kidogo.
nyinyi mahusiano yenu mnayaendeshaje sababu mimi kila mwanamke ninaedate nae huwa lazima aniambie mambo ya kujiongeza sijui mimi ni...
Hey folks,
Mimi ni mwanaume mpole, mwenye hisia sana na ninaejali kupitiliza. Nimekuwa na tabia hii huwa nakereka sana na tabia ya mpenzi kurudia kosa moja mara kwa mara hali hii hupelekea...
Nina rafiki yangu tunapendana na ana mpenzi. alinisimulia kitu fulani amabcho hata mimi nimeexpirience. Ni kawaida mpenzi au mume wako anapotoka kazini au katika sehemu yoyote mwanamke unapaswa...
Kwa mimi nimeshawahi kukatisha safari baada ya kuona hili gari hili sitoboi nalo Kigoma, safari lazima iishie njiani tu maana sio kwa ma mushkeli haya.
Nilipata mpenzi huko nyuma tukapendana...
Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu.
Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa...
Hii Story nimeipata mahali Baada ya kusoma mpaka Mwisho Kuna kitu nimejifunza Kwa Hawa Mapaster au wachungaji....soma tudiscuss Kwa Kina
PART 1
TABIA ZA MUME WANGU ZILINICHOSHA
ANAANZA...
Wakuu wangu habari za wakati huu..
Naombeni msaada wa haya madude. Hapa chini
Nataka niwe na kunywa chai ya star anise na nimeenda sokoni kununua star anise. Cha kushangaza wakati na peruzi...
Niwatakie weekend njema! Najua hizi ndio zile tarehe pendwa... Tarehe za kuitwa majina yote matamu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nina hakika wengi wetu tumeshawahi kuchoma udi ama kuvukiza...
Mapenzi yanaumiza sana especially unapopenda pale usipopendwa.
Just imagine upo kwenye mahusiano mapenzi yamenoga ajabu simu,meseji kila dakika. Kila siku mtoto anakuja kuifinyia kwa ndani miuno...
Wakuu kwema
Moja kwa moja kwenye mada.
Ikiwa kumpa ngono haimfanyi mwanaume kukuoa, wala kumzalia mwana pia haimfanyi mwanaume kukuoa je, nini hasa itapelekea mwanaume ulie nae akupe heshima ya...
Nawaambia vijana. katika kitu ambacho hutakiwi kabisa kukiwaza kwasasa nikuishi na mwanamke kabla yandoa
Hii mitindo yamaisha imekua changamoto sana hasa kwanyakati hizi.
Tafuta hela tafuta...
Heri ya X-mass in advance
Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali...
Nianze Kwa kumshukuru mungu Kwa kutupa afya na kherii tele. Mimi ni kijana mwenye umri26 Kuna Binti nilikua na urafiki wa mda mrefu sana hata zaidi ya mwaka na nusu tulikua tunasaidiane kwenye...