Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

UKIMPATA WA HIVI HUYO NI MALI SAFI KAKA ANGU MWEMA, ukimpata mwanamke anayejimudu, aliyefanikiwa kimaisha au ana muonekano mzuri na asiwe mpumbavu wa huo uzuri wake au mafanikio yake hayo basi...
6 Reactions
14 Replies
736 Views
Habari za Leo wana Jf wenzangu, Mimi sio mgeni humu. ndani,Nina ID ninayoitumia tangu mwaka 2013 ila kutokana na kitu ninachotaka kukiandika humu basi nimelazimika kufungua ID mpya kabisa...
34 Reactions
334 Replies
66K Views
Currently I have been busy with my male best friend (mdogo wake boss ) .we talk a lot , we meet a lot , Yani we love each other sana ila as best friends tu . Yani he is always there for me and am...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Huo ndiyo ukweli ukubali ama uukatae! Janamke au Janaume ambalo hulijui umekutana nalo tu huko kwenye Viwanja vya starehe,tambua limekuachia Mikosi ambayo itakuandama mwaka mzima ! Kibaya zaidi...
22 Reactions
102 Replies
3K Views
Mtu akikupenda swala la kuonana naye na kuwasiliana hamtabembelezani kabisa ila rafiki ukimpenda mtu asiyekupenda mnaweza kukaa mtaa moja au sehemu moja, swala la kuonana mtihani kila siku pruu...
7 Reactions
13 Replies
616 Views
Wakuu jana nimefika hapa kwa dada yangu ambaye ameolewa nikitokea kwetu huko mikoani. Kusema kweli ujio wangu uliwafurahisha hasa shemeji yangu ambaye kila siku alikuwa analalamika kwa Nini...
33 Reactions
59 Replies
2K Views
Salaam wakuu Mada yahusika Mara nyingi tumesikia kwamba wadada wengi wanaovaa cheni mguuni/ kuku ni kiashiria kwamba wanaliwa nyuma a.k.a tiGo a.k.a Kusukumwa tope Sasa katika mjadala flani...
0 Reactions
13 Replies
10K Views
Wakulu Nyie ambao mko na interest ya kuoa ni Bora kuoa single mother kuliko Hawa ambao Bado hawana watoto au mtoto hata mmjo.. Kuoa single mother inakupa uhakika kuwa shamba mbalo unaenda...
8 Reactions
37 Replies
623 Views
uzi huu nikwaajili ya watu wote yani wale waliopo kwenye ndoa na hata wale ambao bado hawajaingia kwenye ndoa hebu zingatieni vitu hivi ili kuifanya ndoa yako kuwa bora na yenye furaha zaidi, ndoa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika harakati za maisha tunakutana na watu wa kila namna, ni bahati sana kukutana na rafiki wa ukweli ambae yupo tayari kujitoa kwa hali na mali. Kama ni mpenzi wa miziki ya Hip hop utasikia...
5 Reactions
13 Replies
646 Views
Huo ndo ukweli. Alaf ukiwakuta huko nje vijiweni na umu jf wanavotunisha vifua waonekane wake zao wanawasujudia kumbe wao ndo wanawasujudia wake zao 😂 wanawaogopa wake zao mpaka wanatia huruma...
6 Reactions
26 Replies
874 Views
My Friends, ladies and gentlemen, Heri ya mwaka mpya 2025. Kama hoja ilivyo wazi hapo mezani, nini mawaidha yako mwaka huu mpya wa 2025, kwa vijana graduates wa kike na wa kiume wa umri ambao...
6 Reactions
74 Replies
2K Views
Wakuu . Ukiachana na kuwa Tanzania Elimu yetu imekaa kimkakati Sana. Ila bado watoto wetu wanaharibikia mshuleni huko. Hapa nitatoa hints kadhaa kuhusu hili swala. Nina ndugu yangu yeye Ana...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Nimeitoa mtandaoni ila inaweza kukusaidia............ Ni ndefu kiasi............... Kwa kiasi chake naweza kusema kuwa hakuna umuhimu wa ndoa katika karne hii Kwa sababu; 1. Thamani ya mwanamke...
14 Reactions
30 Replies
2K Views
" Wanawake hawako na wewe kwa kukupenda . 100% , 90, wapo na wewe kwa kile ulichonacho. Ninapoanzisha mahusiano na mwanamke, kabla hata ya kumkiss kuna fomu maalamu nampa asaini ili kuonesha kuwa...
18 Reactions
43 Replies
5K Views
Mwaka 2002 nikiwa nyumbani kwa mzee wangu fulani niliemtembelea nilipata bahati ya kutazama albamu ya picha zake. Mnakumbuka enzi hizo hakuna social media hata Tv bado sio sana kwahiyo mgeni...
13 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu mu hali gani? Nashukuru mie mzima wa afya. Kuna kisa nimekuwa nacho kwa muda mrefu, sikuwahi kushare humu. Niliandika kiufupi tu ila naona ni vizuri nikashare kwa ukubwa ili tupate...
104 Reactions
282 Replies
22K Views
Binafsi hii ni moja ya red flag kubwa sana ambayo inaniogopesha toka kwa mwanamke, hii ni kwangu mimi lakini sijajua kwa wanaume wenzangu wanachukuliaje jambo hili. Just imagine mwanamke amechora...
9 Reactions
29 Replies
847 Views
katika harakati za mahusiano, uchumba na pengine ndoa, kuna visa na mikasa mbalimbali hutokea, mingine ya kufedhehesha na ya aibu, ya kutia moyo, nguvu na ya kukatisha tamaa... Ni mkasa au kisa...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Nafurahishwa na michangoLeo nmekuja na maada mpya (tajwa hapo juu) NINGEPENDA KUSIKIA MENGI ZAIDI HASA KUTOKA KWA WANAUME. Vp kwa mara yako ya KWANZA KUSHIRIKI *Mechi* ULIHISI KITU GANI TOFAUTI na...
1 Reactions
61 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…