Usikimbilie kuanzisha mahusiano mapya baada ya kuumizwa na mtu uliyempenda sana uliyemwamini sana, uliyemsaidia sana na uliyemvumilia sana na bila huruma akaamua kuondoka ama kukuumiza wakati...
Neno Marekani mtaliona sana tu, hadi nikirudi nyumbani. Ila leo niwape story kwa ufupi ili mjue safari zinaanzaje.
Kwanza mjue mimi ni kiumbe wa kutoka mkoani huko, sio Mdaslamu. Na nilikuwa...
Wakuu nilikuwa na msichana fulani niliyeishi naye miaka takribani mitatu ila bahati mbaya hatukupata baraka za kuwa na watoto na kibaya zaidi tukaja kuachana kwa mambo fulani fulani ambayo sioni...
Kama kichwa cha hapo imeandika, mimi sijawahi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi sita nitaeleza kwa visa vya wanawake watatu.
Wa kwanza nilidumu nae kwa mwezi mmoja, wakaenda kwao likizo baada ya...
Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?
Nikamuuliza mbona sijafanya kitu...
BARUA YA MAREHEMU MAMA KWA MWANAE - SIKU TATU BAADA YA KUZIKWA!!!
Mwanangu Mpendwa,
Nataka ujue kwamba nilikufa kama mwanamke masikini wakati nina Mtoto kama wewe.
Mwanangu, nilitaka...
Naomba niwashauri wanaume wenzangu, mwaka mpya huu wa 2025 unataka kufanikiwa chagua mdada mmoja bonge mzuri anayejitambua jiweke hapo tulia utafanya maendeleo haraka sana.
Wadada mabonge wanajua...
Wanandoa wa kidigitali..
Mwanamke mwenye mdomo,..mwanamke anakupandishia[emoji23], jaman hizi ndoa za sasahivi zinaficha mengi..
Ndoa haswa za karne hii ya mwanamke ambaye ana digrii ama...
1. Ongea kidogo na usikilize zaidi. Na unapokuwa na jambo la kusema, limaanisha na watu watakuwa na shauku ya kukusikia ukizungumza.
2. Usibishane kamwe na watu kwenye masuala kama vile dini...
Wakuu
Mficha maradhi kifo humuumbua,kiukweli mimi niko addicted na hii michirizi ya vyupi za wanawake,kila nikikutana na mwanamke lazima kwanza niangalie kama hiyo kitu inaonekana.
Kuna mwingine...
MKURUGENZI WA MNH: UGOMVI NA MWENZA WAKO UNAWEZA KUPUNGUZA KINGA YA MWILI
Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Mohammed Janabi, ametoa ufafanuzi wa kitaalamu kuhusu athari...
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Tumekua na mahusiano ambayo...
Kuwa peke yako kuna nguvu; inakufanya utambue kwamba unajihitaji zaidi.
Kadiri unavyojijua mwenyewe, ndivyo unavyohitaji idhini ya wengine kidogo sana.
Mpaka utakapokuwa huru kuwa peke yako...
Wakuu hivi kuna ukweli kwamba ukifanya ngono na baadhi ya wanawake au ukifanya ngono na hawa dada poa unaweza kupata laana na nuksi ambao inaweza kupelekea mambo yako yako kwenda mlama? Sasa...
Kuna ukweli wowote kuwa kuna baadhi ya wanawake ukilala nao unapata mikosi?
Kumekuepo na story nyingi mtaani hasa kwa vijana na wazee kuwa kulala na kila mwanamke unaweza pata mikosi.
Kuna...
Huyu demu nimemtongoza hata wiki mbili hakuna tayari matatizo Yake yote ya kifedha amenipa Mimi Leo hili Kesho kile Sasa nimechoka nimeona nimuambie ukweli
Wakuu habari.
Leo nawelatea njia ya kutufanya tusiwe watumiaji wa AZUMA.
Kabla ya kufanya mapenzi mkiwa kwenye maandaandalizi pitisha kidole kwenye uke then kinuse.
Ukikuta kinatoa harufu kali...