Mimi siyo mdau sana wa kuanzisha nyuzi kuhusu member humu ndani lakini leo nimejikuta tu ninyooshe mkono wangu kumtakia heri member financial services. Leo nilikuwa napita humu nikakutana na uzi...
Vigezo gani huwa vinatumika kupanga na kuamua kiasi cha thamani ya mahari ya mwanamke ambacho mwanaume anatakiwa aitoe kwa upande wa familia ya wazazi wa mwanamke?
Habari..
Mpenzi niliye nae nampenda sana, ni mama kijacho Kwa sasa. Tangu nimeanza kuwa karibu nae zaidi nagundua ana vijitabia ambavyo sio vizuri Kwa upande wangu. Anaonekana ni mbinafsi sana...
Hii ndo kauli ntamwambia mwanangu. Ntahakikisha naharibu na kusambaratisha hisia za kuzingatia dem au boy kutokana na jinsia yake. Ntamwambia asije kumpa mtu moyo wake hata siku moja. Ntamwambia...
Ndugu yangu leo nimeamua kukuletea mbinu nne za kumpata mwanamke yeyote unayempenda bila hata kumtamkia kama unampenda.
twenzetu!!
1. Mpe hela
2. Mpe tena hela
3. Endelea kumpa hela
4. Endekeza...
Wakuuu hivi binti ananionaje? Kwamba ameniona mie zuzu? Au yaani aisee kila siku matusi na vipigo kutoka kwa mke wangu bila sababu yoyote ile na pia maneno ya kashfa kila siku eti kwamba mimi ni...
Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.
Kama...
1st Portion:
Nimepitia nyumba kadhaa za kupanga, visa na Mikasa ni mingi, ila kuna hii moja sitoweza kuisahau kirahisi. Hii nyumba ipo (ilikuwa) maeneo Fulani, jijini Dar Es Salaam.
Baada ya...
Wasalaam
Kuna jambo linamiumiza kichwa nimeshindwa hata kulala usiku huu nikaona niwashirikishe humu
Historia ya Charles David
Mtoto huyu ambae nimepata kufahamiana na mama yake kwa zaidi ya...
Basi kwasababu siku na uwezo wa kutimiza hiyo milion 3
Nika pambana nikaipata milion Tatu Baada ya miaka miwili ya kusave fedha nikapata wazo niende Sasa kutoa mahari lakini wakati Niko njiani...
Wanaume wanalalamika wake zao wanachepuka,wanawake nao wanalalamika wanaume wanachepuka,kama hiyo haitoshi wake wanataka kuliwa kwa mpalange na wanaume wanataka kula kwa mpalange,hivi mkichepuka...
Napitia kipindi kigumu sana kwenye mahusiano aisee mimi ni kijana 25+nimekuwa nikitamani sana kuwa kwenye mahusiano ofcourse nilikuwa nipo na mahusiano na mdada mmoja but atukudumu sana sababu ni...
Nimeona nije kuwaomba ushauri hapa maana wakati flani unaona ni bora upate mawazo mtambuka toka kwa wadau wengine. Na hii inatokana na kuwa watu wana fikra mchanyato na ni wazi kuwa kweli ya leo...
Habari zenu Wana Jf naomba nieleze kwa ufupi ...Mimi ni binti WA kike ila Kuna mkaka nilikiwa nae kwenye mahusiano nikiwa sekondari ila nlimuacha baada ya kugundua alinificha kuwa alikuwa na mtoto...
Kwa nini wanawake wanapenda kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na wanaume wenye hela?
Ni muhimu kutambua kwamba si kila mwanamke anapenda kuanzisha mahusiano na wanaume wenye hela, na kila mwanamke...
Kwema Wakuu!
Wanawake wanapitia Kipindi kigumu Sana katika zama hizi.
Ukiachana na ambao walisoma na wakapata bahati ya kuajiriwa, waliobaki wanapitia ubatizo wa Moto Mkali Sana.
Hakuna kwenye...
Wanawake wa Sasa Wana shida ? X-wangu watatu Sasa hawaolewi walileta swaga za kuweka masharti magumu nikazengua Sasa wanateseka wamezeeka kabisa mmoja yupo35 Kama yupo 50
Mwingine yupo 33 Kama 45...