Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni miaka minne toka nimemuweka ndani zamani alikua mtiifu tuu vizuri ila kuanzia mwaka huuu mwanzoni nimeanza kuona dalili ambazo sio nzuri. Kwanza nilishawai...
34 Reactions
152 Replies
5K Views
Wakuu habari ninaomba mawazo na mchango nini nifanye nimegundua mke wangu ananiroga na hii akishirikiana na wazazi wake. Nimegunduaje nilidukua simu yake na kuona taarifa zote pale alipotoka...
16 Reactions
106 Replies
3K Views
Mimi niliolewa mwaka 2017,nilikaa na mume wangu kwa upendo na amani, ila mimi nilimtangulia mwanaume nilikuwa na mtoto mmoja ambae nilizaa na mwanaume mwingine kabla ya kuolewa na mume wangu yeye...
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Habarini Duhh ninamachache tuu yakusema Mimi ni baba wa watoto wawili mapacha. Siku kama ya leo mwaka uliopita katika pitapita zangu nililokota bidada single Maza , kiukwelii sijawahi mtongoza...
2 Reactions
6 Replies
336 Views
Na mitaani naona vimekuwa vikiongezeka maradufu matumizi yake ni gani ? USSR
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu nimeota nafanya mapenzi. Na huyo mtu naefanya nae alipaka asali kwenye naniliu yake akawa analazimisha mimi et nilambe. Naniliu yake. Wakuu hi inamaana gani. Alafu huyo demu alikua mkali...
30 Reactions
191 Replies
4K Views
Wake za watu wanagawa Sana kiukweli, hivyo jitahidini kupima DNA la sivyo mtawalelea Wahuni mimba na watoto.
0 Reactions
2 Replies
162 Views
Kila kitu kipo kwa sababu, watu wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa sababu mbalimbali zinazoeleweka kabisa kama kujenga familia nk. Sasa kwa nyinyi mlio single Nipe Sababu ya msingi kabisa kwa...
12 Reactions
223 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 nimekuwa muhanga wa picha za ngono kwa miaka mingi huku nikiwa sina mahusiano mengine maana zimeniathiri kiasi kwamba wasichana wote nawaona wa kawaida tu hata kutongoza...
8 Reactions
92 Replies
13K Views
Wakuu kama mnakumbuka juzi niliwaeleza kuhusu yule singe mother alieniletea shobo nikaamua kumchombeza akaniomba laki kwa kisingizio kwamba anadaiwa. (Sikumpa) Jana pia kanicheki mchana kuhusu...
25 Reactions
167 Replies
10K Views
Kuna dem alikuwa ananikubali mbaya na kazi zake anafanyia jirani na napoishi nikamuaproach dem akakubali na ni pisi kali sio poa, mwanzo alikuwa anapenda sana kuniita ofisini kila saa mara njoo...
8 Reactions
135 Replies
12K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 kiukweli toka nimekuwa mtu mzima mpaka leo sijawahi kudumu kwenye mahusiano japo kwa miezi miwili mi mara nyingi ni mwezi mmoja then nakula kibuti cha haja hichi kitendo...
3 Reactions
85 Replies
8K Views
Mwezi mmoja uliopita nliachwa na ex wangu for none reson but wiki iliopita nliamua kumtafuta shost yake kupitia simu ili kumuuliza kisa na mkasa mpaka mimi kuachwa na rafiki yake akasema ajui...
2 Reactions
58 Replies
39K Views
Habari za muda huu wana JF. Huwa nina kawaida ya kwenda zoez kila asubuhi kuna uwanja wa shule somewhere huwa tunajumuika watu kibao kuweka viungo vya mwili sawa hapa hapa dar. Sasa kuna mtoto...
7 Reactions
123 Replies
8K Views
Habari zenu wana MMU. Akili za wanawake sometime zinachekesha sana. Iko hv kuna mtoto mmoja wa kisingida mweusi huyo ana kiuno kama nyigu na mshepu mmoja matata sana tako kama kajambia amila yuko...
10 Reactions
117 Replies
7K Views
Wakuu najua mpo wazima wacha niende kwenye point moja kwa moja. Kuna group moja huko watsup la kuhusu mambo ya kijamii na kula bata na 90% wanawake ndio wengi bac kuna siku tulikutana member kwa...
18 Reactions
153 Replies
6K Views
Yani hapa naongea kwa jazba sana iko hv, hapa nilipopanga somewhere in Kijitonyama kuna wanawake wengi sana ila asilimia kubwa ni wake za watu sema ndio hivo pia uwalu walu mwingi ukiwa mjanja...
31 Reactions
210 Replies
20K Views
Nimeenda kwenye barua ya posa. Aliyoleta ni bahasha yenye barua ya 1. Kuomba kumposa binti. 2. Kitambaa cheupe kina fedha ndani na kimefungwa na pin nne Katika pembe zake nne. 3. Msumari...
0 Reactions
4 Replies
438 Views
Kabla sijaoa niliachana na wanawake kadhaa,ambao tulipendana sana nao,na niliumia sana moyoni.Wa kwanza ni Tana,ama nilimpenda sana lakini wakati huo kipato changu hakikuwa kikubwa,akachukuliwa na...
2 Reactions
1 Replies
308 Views
Wazungu wanaita hii hali "post nut clarity" yaani fahamu kukurudia baada ya hamu yako ya kujamiiana kufunga Kama ulikuwa huoni hilo komwe la huyo mwanamke hapa sasa ndio utaona, kama ulikuwa...
2 Reactions
5 Replies
348 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…