HII STORY INAKUFUNDISHA NINI
MWANAUME mmoja alikuwa anampenda sana mkewe. Walikuwa wamejaaliwa watoto watatu waliokuwa wachangamfu na walifurahia sana maisha.
Yule mwanaume alikuwa analipwa...
Nahitaji ushauri kuhusu jinsi ya kuishi na mpenzi aliye mbali (distance love). Kiukweli, naona kama tunadanganyana tu. Kila mara ni "nakupenda, nakupenda," lakini mimi ninahisi hali ni tofauti...
Wanawake mliokuwa kwenye ndo muheshimu waume zenu maana wamewapa heshima kubwa ya kuwaoa na kuwaweka ndani, wanawalisha na kuwavisha punguzeni midomo, gubu, dharau, jeuri, na baadhi yenu ku-cheat...
Chumba chako ni chako na mume wako tu. Haipendezi chumba cha wanandoa kuingiwa kiholela na watu ambao washavunja ungo iwe mschana wa kazi, wakwe, mawifi, mashemeji, majirani au yeyote yule...
1. Don't give her free attention Low-value,
insecure men are always trying to buy a woman's attention and validation by showering her with free attention, compliments, favors and constant...
Morning,
Natumai tuko salama wote wanajamvi. Nina kitu naomba kueleweshwa hivi, hizi pete za uchumba na ndoa ukishavalishwa ndio unatakiwa kuvaa kila siku? Yaani unalala nazo? Unaenda nazo kuoga...
Habari wana JF?
Leo nazungumza na wadada wanaotamani kuolewa. Kumiliki mwanaume. Kama hauna mpango huo, basi endelea na threads nyingine.
Haijalishi mdada ni mrembo kiasi gani, una tabia...
Basi bwana by the time nipo form three nilikuwa napenda sana mademu si unajua kubaleh. Lakini kwa upande flani walikuwa kama hawaniewi flan hivi basi bhana nikawaga na force hivyo hivyo mpaka...
Kichwa cha habari chahusika.
Ni msichana niliyekua namzimia sana sana tangu tupo chuo nampiga verse anakataa katu katu ila kidume sikukata tamaa. Msichana huyu alikua mkali sana yani hadi...
Mapenzi bwana yanamambo ya ajabu sana.
Ndani ya Mangesani, Bagamoyo kumetokea tukio la kimapenzi la ajabu sana na la kuhuzunisha sana na limewafanya watu wengi washikwe na duwaa.
Tukio lenyewe...
Lengo la ushauri huu ni kuvuka mwaka bila kua na UTI sugu, gono, kaswende au UKIMWI ambao umenusurika nao kwa sehemu kubwa sana ya mwaka huu2024, na mwaka wenyewe unaelekea kuisha hivi karibuni...
Ndugu zangu salaam
Tulisha ongea na kuandika sana kuhusu single maza na maoni yalitolewa mengi sana ,ila kuna watu hawataki kusikia kabisa sasa jibu rahisi kama unataka kuoa single maza (...
Aisee hizi familia za kishua bwana sijui wanajikuta nani sijui wanajikuta nani aisee hii familia Wana hela kweli kweli na familia ya kiarabu na familia ya kikristo hawa sijui waarabu gani hawa...
Kaka Magical power, nina mwanaume ambaye hata kale kamoja tu huwa ni shida inasimama vizuri tu ile tu unaishikashika sababu nimefundwa lazima niishe kwa mkono wangu ndipo niiweke ukiichezea tu...
Habari za weekend wakuu?
Napenda kujua,je umeshawahi kufumaniwa?Ilikuchukua muda gani kwa tukio lile kufitika kichwani mwako?
Binafsi ilinitokea siku za karibuni,sielewi ni nani alimtonya...
Daa watu wengine sijui wameumbwa vp jamani leo hii kiukweli nimejikuta nimechukia sana aisee tupo kwenye ibada wakati mchungaji anatoa mahubiri kuna watu huku nahisi hawa ni gen z back bencha...
Don’t always think a woman will leave you because you don’t have money.
A reasonable woman won't leave you because you don't have money. A woman will actually leave you:
1) when you refuse to...
Wakuu
Mwenyekiti wa kijiji cha Mloda kata ya Mlowa barabarani, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Adam Philemon amesema miongoni mwa malalamiko yaliyokithiri katika kijiji hicho ni wanaume...
Habariii wana jukwaa
Kichwa cha habari kinajieleza hapo juu mnamo mwaka huu mwezi wa 9 nilifanikiwa kumuoa mwanamke ambaye nilikua nae kwenye kipindi cha uchumba kwa miaka zaidi ya mitatu. Na ni...