***SORY MADAM***(1)
AGE 18+
Ni siku ya jumamosi kama kawaida wanafunzi waote wa shule tunayosoma tunakwenda viwanjani kucheza michezo mbali mbali kama mpira wa miguu na michezo mingine ambayo...
Nisiwachoshe sana, kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana, ila yeye hakunipenda alimpenda mshikaji mwingine, lakini kwa sababu nilihofia kumpoteza binti mrembo kama yule niliendelea kubembeleza...
NINGEPENDA KUKUSHUKURU MPENZI MSOMAJI, ULIYE KUWA NAMI KATIKA SIMULIZI YA KWANZA YA SORRY MDAM.
KARIBU TENA KWENYE SIMULIZI HII MPYA YA SORRY MDAMA (Destination of my
Enemies).
MUNGU ATUONGOZE...
Wanaume wenzangu hivi Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia ata papuchi?
Na kwa mademu je ulishawahi kuhongwa bila kutoa Papuchi?
Binafsi tayari na sio mara moja ila now ukiniomba...
Ikifika hatua mwanamke wako akasema havutiwi tena nawe, hiyo ndio kengele kamili inayokujulisha kuwa penzi limeisha na hakuna chochote unaweza kufanya kurekebisha uhusiano huo usife.
Utakua...
We talk about Gift.
au Talanta kila Mtu anayo ya kwake...
Kwahiyo unatakiwa ujue Elimu sio Ufunguo wa Maisha, Kwa sasa ukija duniani na jambo la kifundishwa darasani hupati kazi, wasomi wa...
Hi
Ninyi wanawake ndio sababu ya vijana kupenda kulelewa na mashangazi.
Mtoto wa kike unapata wapi ujasiri wa kumlea mwanaume wakati wewe umeeumbwa kutunzwa na mwanaume kaaumbiwa kutafuta pesa...
Kuna jambo nilichart na mchepuko Sasa naona kuniambia scenario nzima jinsi,nilivyokuwa nafanya hiyo charting na sms nilizifuta.
Sasa ninaomba kufahamishwa ni kwa namna gani naweza kuondokana na...
habar
nawatafuta ndugu zangu hao hapo juu..hawa ni wadogo zangu tumeshare baba. baba yetu anaitwa Godwel Mking'i kwa sasa ni marehem.kwa mujibu wa taarifa toka kwa mama,baada ya kuzaliwa mimi...
Naomba nianze kwa kujieleza,
Nitaelezea changamoto katika mahusiano ninayoyapitia, hasa upande wa tofauti ya umri. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1993.
Mahusiano yangu ya kwanza yalikuwa na...
Hbr za mchana wana jukwaa wenzangu??.Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vizuri.Km kichwa kinavyojieleza naomba nitiririke km ifuatavyo;
1. UCHAFU: Hapa nazungumzia uchafu wa kuanzia yeye...
Habari za usiku.
Nilidhani changamoto ya single mothers ni hukuhuku kwetu nchi za matopeni.
Lakini kumbe nilikuwa nakosea. Hata ulaya kwa wazungu nao wanatoa maneno ya karaha, kejeli, dhihaka...
Ndugu yangu ni mtumishi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na ameiwa na mke wa kabila la Wahaya. Katika hali hii, kuna changamoto nyingi zinazojitokeza, hasa katika uhusiano wa kifamilia. Mke wa...
Ivi najiulizaga kama mimi ndo nimeumbwa tofauti na wanaume wenzangu sijuagi kabisa
Mimi siwezagi kutoka na demu ambaye sio mke wangu au mpenzi wangu
Na nikitoka na mwanamke fulani ni lazima...
Habari wakuu
Kuna dada mmoja nilisoma naye zamani, miaka mingi kidogo iliyopita. Katika mazingira ya shule tulikuwa tukionyeshana hisia kwa mbali ingawa mpaka tunamaliza hatujawahi kuwa wapenzi...
1. Tafuta upenyo, utoke nduki (hata kama u mtupu) ndo pona yako.
2. Usifikirie mali zako ulizoacha eneo la tukio (nguo, simu, begi)
3.Hakikisha umekimbilia sehemu ya siri sana, mfano; Mafia...
Kwema Wakuu!
Kijana ambaye upo 17-25 hawa wanawake wanaokusumbua Muda huu na kukatalia kuwa hawakutaki. Baada ya Miaka kumi ijayo utakapopata Mkeo utagundua kuwa wanawake waliokukatalia hawakuwa...
TOLEO LA 01: HAWA NDIO WANAWAKE
Anaandika, Robert Heriel.
Kuwaelewa wanawake ni moja ya kazi ngumu Kama wengi wasemavyo, Hii ni kutokana na wao kutofautiana wao Kwa wao Kwa kiasi kikubwa licha...
WATUMISHI WA MUNGU ACHENI HUU UPUMBAVU NA UKENGEUFU!🔥🔥🔥
Mitume,manabii,wachungaji hili linawahusu.Mnakosea sana kuwatumia wanawake vibaya kinyume na maandiko.
Nabii Musa pamoja na miujiza yote...
Katika mahusiano yangu nimegundua kuna changamoto fulani inayojitokeza mara kwa mara.
Mabinti wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu maumivu wakati wa faragha, wakidai kwamba nina maumbile makubwa...