Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia...
13 Reactions
119 Replies
3K Views
KWANINI UNAINGIA KATIKA NDOA? NDOA: Ni makubaliano ya muingiliano utakaohusisha hisia, Muingiliano utakao husisha miili ya watu wawili walioamua kuanzisha Familia ya Baba na Mama.. Kwa...
1 Reactions
0 Replies
202 Views
UCHAMBUZI wa KUSTAWISHA JAMII. Baada ya kufanya tafiti, upembuzi na ulinganifu nikaja na jibu kwamba MWANAMKE ambae hajui Mapishi/Mapochopocho/ kukaangiza basi huyo Mwanamke hakufai kimbia. Ndio...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
SHHH NISIKILIZE Ni kweli wewe ni rafiki yangu kama unavyosema, Pia ni kweli kabisa maneno unayoniambia ya jinsi ambavyo walikua wananizungumzia vibaya,wakati sikuepo.! Ila kinachonipa ukakasi...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Mwanaume mmoja alikuwa anampenda sana mkewe. Walikuwa wamejaaliwa watoto watatu waliokuwa wachangamfu na walifurahia sana maisha. Yule mwanaume alikuwa analipwa mshahara wa wastani ambao...
3 Reactions
3 Replies
663 Views
Salamu ndugu zangu Huu ukweli ni mchungu sana na unachoma kama miale ya moto ila lazima usemwe ili ujue kama mwanaume utaamua kunyoa au kufuga nywele Ukweli hakuna mwanamke aliyeajiriwa mwenye...
57 Reactions
417 Replies
28K Views
"Kwa nia njema kabisa ya kuitunza amani ya moyo, usitafute kujua kila kitu" Ni jambo jema kujua ukweli wa mambo kwa marefu na mapana, lakin kuna baadhi ya mambo acha yakupite Tu ili kutunza amani...
27 Reactions
56 Replies
2K Views
wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao...
2 Reactions
46 Replies
1K Views
Jamani hivi kwa nini ndoa za siku hizi hazidumu?
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Watoto wana vituko sana mda mwingine unaweza piga uue mfano huyu wangu aliondoka na rimoti mpaka shuleni tafuta limot tafuta haionekani kaja toka shule kakuta watu wanatafuta rimot ndio anasema...
2 Reactions
9 Replies
537 Views
Friendship meaning Communication/Sharing pasipo stori hakuna urafiki mtakuwa mnasomana tu, sijui hili jambo ni kwa wanawake wote au laa unajaribu kumfanya mpenzi wako kama rafiki yako. Una-share...
1 Reactions
11 Replies
403 Views
Soma kwa makini sana, Mtu ameshuhudiwa kumjua Mungu amekubali ameokoka na anawake wawili au watatu wote amewatolea mahari, kwao anatambulika na wake nao wamekubali kuokoka, wote wake zake na...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu poleni na majukumu ya kujenga nchi.. Nimekuja kwenu kama mwana Jamii Forums nikiwa na uzoefu wa takriban miaka 10 na huu mtandao wetu pendwa unatusaidia kwenye mambo mbalimbali kwenye...
23 Reactions
242 Replies
14K Views
Habarini za Wakati huu Ndugu zangu wanajamvi letu pendwa. Ni siku nyingine tena na fursa nyingine ya kupambana iki kuhakikisha mkono unaenda kinywani. Katika jamii zetu ambazo zimedumu toka enzi...
7 Reactions
40 Replies
4K Views
Mimi ni kijana ambaye tayari nina miaka 30, nilifunga ndoa yangu mwaka 2019. Ndoa yangu imekuwa ya furaha kwa miezi 6 pekee baaada ya hapo mambo yaliharibika na sijui ni kwanini. Nakumbuka siku...
36 Reactions
148 Replies
15K Views
Huyu ni binti ambae nilianza kuwasiliana nae kama mwezi hivi umepita na sikutaka mambo ya kuonekana nina uchu kwa kumtongoza haraka haraka mana tulikutana kwenye event flani ndo tukapeana namba za...
1 Reactions
7 Replies
754 Views
Natafuta mchumba. Mwenye miaka 25-35 Mwenye umbo na haiba ya kike. Aliye tayari kuanza maisha na mimi anifikie inbox. Karibu sana
3 Reactions
2 Replies
271 Views
Sina maana hiyo mmayofikiria nyie, nimelazimika kufanya hivyo ili kuendana na mabadiliko ya tabia nchi. Bujibuji Simba Nyamaume Yas GENTAMYCINE Yas Chaliifrancisco Yas Scars Yas Greatest Of All...
6 Reactions
9 Replies
419 Views
Wakongwe mtego kama huu unachomokaje?
1 Reactions
3 Replies
393 Views
Habari wanajukwaa. Huwa sipendi kuweka mambo yangu ya mahusiano wazi lakini hili limekuwa gumu nisaidieni Kama nilivyoandika hapo juu: Yangu nikiwa ndogo wanawake wadogo Kwa wakubwa wamekuwa...
11 Reactions
103 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…