Habarini za jioni wadau
Nina mpenzi wangu, ninampenda sana naye ananipenda. Kwa muda mrefu hatukuwahi kukutana kimwili kwa sababu yuko mbali nami masomoni nje ya nchi. Tunawasiliana vizuri tu, na...
Haya majanga sasa.
Ni yuleyule binti tuliyekua tukiishi nae mtaani hapa na baadae akapata bahati ya kwenda nje ya nchi.
Msichana mstaarabu kwa muonekano, mpole, mwenye haiba na aibu tele...
WaJF naomba ushauri wenu nifanye je ?
Mchumba nampenda sana na nataka kuoa ila hiyo mahari niliyotajiwa imeniumiza kichwa kabisa.
Wazazi wake wanataka mahari 5mil.mi ntatoa wapi ?
Hii ni...
WanaJF ndugu yenu nilikuwa na tabia ya kuchepuka na nikawa na wapenzi wa 4 wote marafiki pasipo wao kujijua kwa muda mmoja,
Bahati mbaya tangu mwezi jana walianza kushtukia na hatimaye leo...
NI siku nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku.
Mimi nitakuwa mchoyo wa shukurani kama...
Jana bwana nilikua na shemeji yenu tumekaaa mahali tunaangalia world cup ile mechi ya saa nne basi bwana nikahisi kuanza kuboreka nikachukua headfon nikawa nasikiliza mziki yeye akiwa busy na...
Habari wana MMU,.
Ninafahamiana na madaktari wengi ambao nimepata kufanya kazi nao nyakati tofauti tofauti katika maisha yangu.
Wengi wao nilipotaka kupata historia zao katika mahusiano na...
Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
Mweneznu hapa nipo hoi kwa chekooo! Mbavu zaniumaje sasa! Nimepewa yanayojiri bongo sinammbavu mie!
Kuna ndugu yangu mmoja, ana on and off bf ambae...
Wasalaam wanafamilia wa MMU...
The women of my dream,my one i wish to be with the rest of my life...the one I had history with....she is back...surprisingly!!..she need me back....
Siku za nyuma...
Unashindwa kusema HAPANA kwa watu wengine kwasababu unawajali sana
Unaweza kulia ukiwa mwenyewe na hauwashiriki wengine mambo yako, kwasababu unahofu watakuonaje
Huwa unafikiri kila mtu...
As heading inavojieleza mwenzenu nashindwa kuyaelewa mapenzi, hivi bora nifurahi kwa muda fulani na nikose amani maishani mwotee ama vice versa is true?
Kwa sababu mpenzi wangu tunatofautiana...
As heading inavojieleza mwenzenu nashindwa kuyaelewa mapenzi. hivi bora nifurahi kwa muda fulani na nikose amani maishani mwotee ama vice versa is true? kwa sababu mpenzi wangu tunatofautiana...
Nimepanda lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati karibu na Ohio st. Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu kwa sauti ya maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua...
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Wazazi wamekua wakijitahidi kulea mabinti zao vyema japo Lipo wimbi kubwa sana la wanawake kubweteka na kua malimbukeni kupita kiasi, hali hii imesababisha...
Ifikie mahali sasa watu waende na wakati,mwanaume akitongozwa na mwanamke anaona kama vile mkosi,wakati mwingine anahisi au huyu mwanamke jini,au katumwa,au ana ngoma anataka kuniambukiza,au...
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu.
Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake...
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa).
Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke...
Heshima kwenu wakuu,
Mimi humu ni msomaji tu kwa muda sasa[emoji1787][emoji1787]Sijui na utu uzima au ni vipi
Katika pita pita zangu nimegundua wanawake warembo/wasomi/wenye pesa wanateswa sana...
Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa, unaweza kulala mwili tu lakini akili na moyo zikakesha zikitafuta utulivu na usipatikane
Unaweza kuongea pekee yako na...