Haya haya habarini, kwa Dar nimeapa kwa nafsi yangu kuwa sitolala na mwanamke wa uswahilini hata akinipa bure. Never hata awe na sura nzuri na umbo kiasi gani, japokuwa ni wachache ndo wana sifa...
Wanajukwaa salamu kwenu.
Mimi ni kijana wa kipemba, nimependana na kijana mwenzangu binti wa kipemba. Nimeenda kwao nimemposa ila leo nimepata majibu kuwa nimekataliwa kwa sababu sijakulia pemba...
Asiyekujua hana mpango na wewe labda tu awe kibaka wa kukwapua mmekutana njiani ila wenye njama mbaya na wewe ni wale wanaokufahamu vizuri .
Wanaokuombea mabaya wanakujua vizuri ni ngumu mtu...
Kuna vitu tulipaswa tusivione wala kuvijua kabisa kwa usalama wetu kwa bahati mbaya au nzuri likaja jitu linaloitwa mtandao(INTERNET) lijuzi la kila kitu kuanzia mazuri mpaka mabaya ingekuwa zama...
Katika mahusiano, mwanaume amebebeshwa mzigo mkubwa wa majukumu na matarajio, ambayo kwa kiasi kikubwa yamejengwa na miiko ya kijamii na tamaduni zetu. Kwa mfano, jamii inamtegemea mwanaume...
Baada ya kuona hapati mume, akaamua kuingia mtaani na kutafuta wa kwake, na kuanza kumng'arisha ili waendane.
Kama wadada zetu wote wangekuwa hivi, kusingekuwa na tatizo la singo maza.
Haya kazi...
Eti wife wangu anaweza piga na kuimba kwa mluzi tu na msg ya nyimbo naipata kiasi fulani hivi!
Hivi hii imekaaje?
Mbona mimi siwezi,na nikijaribu siwezi kabisa!!
Baada ya kuhamishiwa mkoani dar kikazi siku moja nikiwa kwenye gari yangu nikavutiwa na binti mmoja kituoni alipokuwa amesimama nikampa lift kuanzia hapo tukazoeana na mwisho akapajua home...
📖Mhadhara (60)✍️
Kama unahonga wewe honga lakini usidhani kwamba unapendwa sana kuliko wenzako. Usifikiri kuwa wewe uliyehonga Jiko la Gesi ni mjanja sana kuliko aliyehonga Kitanda. Au wewe...
Tupo katika msimu wa baridi kali, jana nilikuwa Dodoma kikazi, nikamaliza mambo yangu muda ukiwa umesonga sana nikaona busara ni kulala ili asubuhi na mapema nianze safari kurejea mkoani kwetu...
Wanaume heshima kwenu.
WANAUME NI KUSANUANA,UKIENDEKEZA GENYE ZAKO UMELIWA.
Haihitaji Utafiti lakini kwa uzoefu wangu katika kipengele hiki sasa hivi kila binti ama mwanamke ni mrahisi ajabu...
Wakuu,
Wazoefu wa hizi mambo na wenye details zote tuambizane hapa jinsi ya kumtambua mwanamke ambae anashiriki anal sex mana nasikia ni tatizo kuna wadada wanashiriki kwa mabwana zao wanaact...
Kuna Binti, nilimpenda sana, ana Miaka 26, na Watoto watatu. Alileta sarakasi za Kila aiana mi nikachemka, Dem anawatoto watatu nilimpenda hivyo, hivyo.
Nilivyoona anazingua nikampiga Chini...
Wengi wame na bado wana umizwa na suala zima la mahusiano,,,hivyo basi yahitaji neema ya mnyaaz'mngu ufanikiwe kusamehe na kusahau ili maisha yaendelee .........haijalishi umo ndoani au umo...
Muogope sana mtu ambaye bajeti zake za kuishi tu ni kubwa zaidi ya uwezo wake kujimudu yaani yupo radhi aishi kwa madeni ili nje aonekane tajiri.
Muogope sana mtu ambaye yuko tayari kumiliki simu...
Unakuta mtu ananunua chakula kwa pesa aliyoitafuta kwa shida halafu anaweka pilipili kwenye mboga kiasi kwamba jicho linakuwa nyanya, jekunduuuu! Muda huo anakula huku ametumbua macho na kuachama...
Kwenye harakati za maisha ya mahusiano kuna watu tunaona mambo ambayo huwa yanatustaajabisha sana, vile hatusimulii hadharani tu.
Niliwahi kupekua mkoba wa manz angu mmoja nikakuta pingu...
Habari zenu wakuu,
Kuna jambo moja nataka kushare na nyie, nilikuwa katika mahusiano na mwanamke mmoja tukafanikiwa kupata mtoto mmoja tuishi pamoja toka 2021 tumekuja kutengana mwezi wa sita...