Waungwana sijui ni mizimu ya aina gani nakosa mzuka kumnyandua Mwanamke Ambaye hajavaa Shanga, nachafukwa nikiona demu hajavaa shanga na hana kawaida ya kuvaa shanga.
Naboeka sana na aina hio ya...
Hivi ndivyo mwisho wa wanaume wengi kwenye mahusiano yao hasa wale wanaosikiliza sana machozi ya mwanamke na kuwajali zaidi kuliko kujipa wao kwanza kipaumbele.
Mwanamke ambaye hajatoka kwenye...
Am loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani...
Dunia imeingiwa na changamoto mbali mbali, tamaa imetawala kwenye mahusiano; mdada anaingia kwenye mahusiano kwa maslai fulani.
Bora hawa wamama wa nyumbani hawana shida sana, ila hawa wengine...
Nikiwa O Level advanced level niliambiwa chuoni kuna wanawake wanajiuza
Mbona huku chuo siwaoni?
AU wanakuwa wapi?
Mbona kila nikitongoza nakataliwa?
Mbona mademu wanapenda Hela?
Katika jamii yetu, kuna mtazamo wa kuona mtu asiye na familia kama mtu "asiye na majukumu makubwa." Kwa sababu ya mawazo haya, mara nyingi watu wasio na familia hupokea maombi ya msaada mara kwa...
Leo nimekumbuka kitu changu fulani hivi na kila nimekumbuka nacheka tu, kuna njemba mmoja miaka ya ujana wangu (uhengani) alinipenda akashoboka sijui na jinsi nilivyo chee akaanza usungura...
Kijana wa watu amekukubali vizuri tu. Lakini baada ya muda unaanza kuleta nyodo. Simu ukipokea uko busy, SMS unajibu shortly.
Haya sasa, kijana anaamua kukuchana kuwa umechange hivyo kila...
Weekend hii nilikua Tanga kikazi bahati nzuri nilikutana na msichana mmoja shombeshombe. Mtoto mashaAllah ana kila sifa inayostahili. Urefu wa wastani Mgongo wa maana Hips zilizochomoza kwa...
Wazee wakataandoa,natakanijiunge na nyie endapo nikieleweshwa hili.
Mtazamo wenu ukoje, kwamba mnaishi na mwanamke na kumzalisha lakini hamfungi ndoa kwa maana ya kusign makaratasi kama pingu za...
Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea. Kama akikupa hata elfu kumi ya saluni au nauli ya kurudia ridhika maana naye...
Kijana mmoja ana udugu nami japo kwa mbali, kaniuliza hilo swali, eti aoe mke au atafute mwaname wa kuzaa nae? Nimemjibu anipe wiki ndio ntamjibu, wadau mmeona hilo swali?
Wakuu sitarudia tena kufanya maandalizi ya kulana kwa kuzama chumvini baada ya shemeji yenu kunibana na mapaja kwa dk 4 huku akinishindilia kichwa changu kwa mikono hadi nikakosa pumzi.
Zoezi...
Kuna anko anaenda miaka kama 43 hivi ana familia yake yenye watoto wawili wa kiume.
Mke wake yuko fresh sijawai sikia malalamiko, ni mtiifu, anawajali ndugu wa mme wake, anafua nguo za mmewe japo...
Kuna jamaa yangu mmoja yeye anampenda sana mke wake, kiukweli upendo ule sijawai kuona
Cha kwanza jamaa hana kazi maalumu Kila dili ngumu ye anapiga tu, ila anahakikisha mkewe anapata mahitaji...
Leo mdau wenu Pang Fung Mi nasema kwa uchungu kabisa sababu ya kuwa mwanachama hai na wa kudumu wa muda wote wa Chama cha wakataa Kuoa na kataa kuishi kindoa na Mwanamke.
Wanawake wamejaaliwa...
Ndugu zangu
sio wanaume wote ni waadilifu, vilevile siyo kila Mwanamke huwa mpenda ugomvi.
kuna wanaume hutumia upole, huruma, kujali, kunyenyekea, kusamehe makosa, uvumilivu ambao mwanamke...