1. Akiwa mpweke
Akiwa na kiu ya kuliwazwa kwenye upweke wake haangalii huyu ni mume wa mtu, mchumba wa mtu, mzazi wa mtu. Yeye anachotaka upweke wake uishe
2. Akiwa desparate (mwenye kiu ya...
Mimi ni kijana wa miaka 27, nafanya kazi. Nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahari zaidi ya milioni na nusu.
Amekuja mkoa ninaofanya kazi, lakini vituko...
Salamu sana wana jamii wote.
Napenda kutoa shukrani zangu kwa wana familiya hii wote kutokana na kuitikia ombi langu la kunichangia nauli ya kwenda Mbeya kumuona mzazi mwenzangu aliyekuwa...
Sema kweli napenda flat girls,girl hata awe na figure kama wowowo kupita kiasi sivutiwi.
Oops ! Unakuta girls ana boobs za wastan,wowowo ya kawaida au hana,au ana kiwowowo cha kubinua tu,skinny...
Wakuu,
Nimeamua kufanya utafiti kwa Dar japo si rasmi kuhusu kwanini mabinti wengi tena wenye age ndogo ni masingle mother. Katika utafiti wangu nimegundua kuwa asilimia kubwa ya mabinti wa Dar...
Habari za mchana wapendwa,
Leo nasukumwa kusema haya. Nimekuwa nikiwatazama watu wa jinsia tofauti kwa mtizamo wangu na mwishowe kumuweka huyo mtu kwenye kundi ninaloona anafaa. Hii...
Ukweli ni kwamba mwanamke unae-date nae kuna uwezekano mkubwa kajiweka tu kwako kwa sababu anahitaji pesa. Ni masikini, hana kazi(kama anayo kipato chake akitoshelezi lifestyle anayoitamani) na...
Habari za asubuhi wakuu.
Wanaume matatizo yanayotukabili mbele ya wanawake nimeona niandike walau tusaidiane kwa sababu sisi ni dhaifu kwa wanawake hilo halina ubishi na huwezi ishi bila mwanamke...
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili...
Safari hii nataka ni date na mume wa mtu for benefit,yaani anifungulie biashara,nilisha date na mume wa mtu alikua ananizagamua tu na kunipa chips kuku na viela vidogo!! Vidogo!! Sasa...
Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na...
Nilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo ……………… na mwanamke , ikabidi nipande boda faster nikamfumanie cha kushangaza sijamkuta nampigia namwambia nipo ………….. hapa...
Ndugu zangu salaam
Mke wangu anajumla ya mzunguko wa siku 25 . mwezi uliopita aliona siku zake tarehe 11/08 /2024 na nilikutana nae kimwili kwenye siku zake za hatari kwanzia tarehe 8/08 mpaka...
Kuna watu unaweza kuwa karibu nao lakini wasitambue umuhimu wako. Wanaweza kuwa ndugu, jamaa au marafiki. Na unapoamua kuachana nao na kuishi maisha yako,wanakuona kama umewatenga.
Binafsi...
Hivi inakuwaje familia fulani unakuta mwanamke ndiyo msemaji wa mwisho? Ama mwanamke unakuta eti anamzidi kila kitu mwanamme wake?!
Binafsi kwa maoni yangu ni USHAMBA KUKUBALI KUONGOZWA NA...
Mapenzi Yana wigo mpana mno ambao mtu anapaswa kuangalia kwa jicho Pana na akili pembuzi kabla ya kuingia,
Namaanisha kwamba ni lazima kuchunguza kina Cha maji kabla ya kuzama, Sasa basi...
Hey
Weekend kwangu ipo poa sana. Natumaini hata yako imetulia, kinyume na hapo jipe moyo, siku hazifanani na pia hazigandi...
Leo shangazi nimeona niongee hili suala kidogo la kudate na mwanaume...