YEAH ,mifumo ya dunia haikupi favour wewe mwanaume, huna haki wala mamlaka.
Kila siku Natafuta Ajira hua anasema hapa jukwaani kwamba dunia sio rafiki kwa mwanaume hua mnabisha
Mfano mzuri...
Umemuaga mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda.
Wakati bado upo uvunguni ka...
Nawahusia vijana kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika ndoa na ukweli ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kujaa viburi na kutokuwaeshimu wanaume wao.
KIJANA KAA MBALI NA BINTI...
Uhai na utu wa mtu kwasasa vinachukuliwa kama mchezo mchezo tu.
Yaani mume anafikia hatua ya kutaka kuua kisa mke kagawa jeans ya mtumba ambayo mume haivai , yaani Bora nguo iozee ndani kuliko...
Kwema team MMU?
Marafiki ni watu muhimu na wenye manufaa makubwa kwetu, japokuwa wakati mwingine anaweza kuwa kichomi akavuruga maisha yako?
Mimi na rafiki yangu mmoja urafiki ulikufa sababu...
Sasa kwanini umsumbue binti wa watu na hela hautoi
Mapenzi gani unataka kwa mwanamke akikuomba hela unakimbia simu?
Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu
Alisikika mama mmoja hospital...
Habarini nyote ndugu zanguni
Niseme machache kuhusu hizi aina mbili za Wanawake.
A. Kibonge
Anatakiwa awe msafi sana, awe na sauti ya mahaba, afanye vizuri mbuzi kagoma kwa kadri ya ufundi wa...
Wadau jamani tukiacha matani ni wapi mty aende akatolewe jini mahaba anasumbua sana kiasi cha kuua hata walio karibu na huyu dada mpaka nasasa amekuwa anaadhiri sana maisha yake.
Ikiwemo uchumba...
Wazeee tuache utani mimi nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa Dodoma jina naweka kapuni.
Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sana wakuu namkubali mbaya.
Wacha nijitoze...
Wahenga wanashauri oa mke mwenye akili, sasa akili ya mtu unaweza ipima kutokana na vitu mtu anafanya au anapenda kufanya.
Unaweza tumia JF kujua huyu mtu anapenda nini na baada ya hapo ndio...
Habari za saivi wana-JF,
Mapenzi yana mambo mengi sana
Wengine wanafuraha na wanaenjoy mapenzi na mahaba.
Wengine hatujui siku wala saa tutaachwa.
Wengine mnatumiana / mnanuliana zawadi...
Kwanini Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Makalio makubwa? Unashangaa kwa nini wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa? Mbali na urembo wao wa uso, nywele nzuri, tabia, na jinsi...
Tafiti zinaonesha kuwa ni 2% tu ya waliopata wenza wa ndoto zao. 98% mmoja au wote 2 wanaishi na "ili mradi ni mke/mume", baada ya kukosa kwa sababu mbalimbali ywale waliowatarajia akilini mwao ...
Wanaume hatuoneshi mapenzi Kwa maneno au Kwa kujionesha Kwa watu
Tunaonesha mapenzi Kwa vitendo na kuwajibika hapo mke na watoto watajua kweli anawapenda Kwa dhati
Sio kutaja " I love you" mara...
Kwa wale tuliosoma majohe praimari,
High libido ina maanisha hali yakuwa una uhitaji usio wa kawaida wa kufanya sex mara kwa mara.
Kwa upande mwingine ukiwa na mwenza wa namna hii, unaweza...
Kuna muda ukweli usemwe. Ndoa sio tena swala valid kwa miaka hii. Kama issue ya malezi ya watoto ni bora kutafuta njia nyingine ila sio ndoa.
Hebu fikiria wake za watu wanaliwa ofisini, beach...
Kuna hii tabia ya wanaume kuwashika wanawake makalio na matiti kwenye sehemu za misongamano, hasa Kariakoo, ambako muda wote kuna msongamano wa watu. Mh Chalamila, RC wa Dar es Salaam...
Sikuhizi wanaume mnalia hivi
Nakupa mapenzi
Nakupa vichenji
Nini haupati,
Vikoba nimekulipia
Dah, ila wanaume mnajua kulia? Mpaka mnaenda studio mnaimba kabisa
Akina mama wapunguzieni adhabu...