Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari wakuu, Nimeamka leo nakuta mpenzi wangu kaweka WhatsApp wimbo wa Mboso uitwao Over akisindikiza na maneno na dhihaka za emoj za kuonesha anamwambia mtu ambae sio mimi. Kuna haja ya kuhoji?
15 Reactions
57 Replies
2K Views
Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wake zetu wanaliwa nje ya ndoa. Hii tukubali au tukatae, ni ukweli usiopingika. Wake zetu ama watatembea nje ya ndoa kwa kutaka kuonja utamu wa nje, ama ni kwa...
30 Reactions
128 Replies
9K Views
Wakuu salama? Kuna chimbo jipya(mchepuko) nimelipata hapa Dodoma.so katika story za hapa na hapa akanitumia huu ujumbe hapa chini. Nijuavyo mimi michepuko huwa 8na lengo la kuvuruga tu ndoa za...
8 Reactions
34 Replies
1K Views
Wahuniiiiiii Nimewaita mje Mwenzenu ameyainua matanga, akatafuta kimada nje ya ndoa Kimada ni mtoto wa 2000, basi kila saa anataka attention, anamkausha baba wa watu huku Baba anataka msaada...
2 Reactions
10 Replies
438 Views
Biharusi mtarajiwa: Money Penny njoo Money penny: nimefika mama nini mbaya Biharusi mtarajiwa: nimetambulishwa leo kwa mashemeji zangu wa kiume kwa mara ya kwanza Money penny: enhe Biharusi...
9 Reactions
64 Replies
2K Views
Nimegundua kuna changamoto kubwa sana kwa vijana linapokuja suala la kuchagua mke, vijana wanachagua kiholea holela sana. Future ya mahusiano ni fumbo lakini iyo sio sababu ya kubet kwa mwanamke...
24 Reactions
51 Replies
1K Views
Kufika kileleni kwa baadhi ya wanawake huambatana na kurushwa kwa maji-maji ukeni yakiruka kama bomba kupitia njia ya uke lakini si haja ndogo.Majimaji hutoka karibu na uke, kwenye tezi inayoitwa...
14 Reactions
165 Replies
5K Views
Asee wanaJF people's Power na kazi iendelee kuna mkanganyiko hapa Bora kuoa mwanamke yupi Kati ya hawa 1.Mwanamke mwenye mtoto(karibu la mume wake umeliona🤣) 2.Mwanamke aliyekuzidi umri...
2 Reactions
43 Replies
1K Views
1. Nianze mfukuzia demu 2. Nimtongoze nimshawishi mpaka anikubalie 3. Kisha nianze kuwa natatua shida zake 4. Ni maintain yeye kubaki au kuwa nipambane niendelee kubaki naye atumie pesa zangu...
34 Reactions
94 Replies
3K Views
Habari za asubuhi waungwana...... Wakati mwingine kukaa bila kazi ya kufanya inafanya kichwa kizurure kifikra na kupitia mawazo mbali mbali....... Katika kuzurura huko kimawazo nikajikuta...
3 Reactions
19 Replies
614 Views
Kumetokea nini kwenye jamii ya Sasa mbona kila sehemu NDOA zimekuwa shubili Yani amani hakuna furaha ya MAHUSIANO hakuna tabu tupu shida ni nini?
9 Reactions
73 Replies
2K Views
Hivi wadau nina swali moja. Hivi ule usemi wa kwamba mwanamke akikupenda hakuombi ela ni una ukwel kiasi gani?
2 Reactions
7 Replies
275 Views
Kwanza niwatakie pasaka njema wakristo wote wa jf na duniani kote. Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikijaribu kufuatilia hili swala la wanawake wengi kupenda kutazama porn videos. Uchunguzi wangu...
15 Reactions
93 Replies
17K Views
Miaka kumi na kadhaa huko nyuma kuna katoto ka jirani yetu hapo ka kike kalikuwa katundu katundu balaa, Muda wote kanashindia chupi tu, au muda mwingine unaweza kakuta kako uchi kabisa,. Basi...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari za muda huu wazalendo wenzangu poleni na mihangaiko, harakati na purukushani za kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila shaka hiyo sio kauli ngeni miongo mwa wanaojiita wapendanao ni...
5 Reactions
22 Replies
532 Views
Maisha ni safari ndefu yenye kila aina ya changamoto, na hakuna mwanadamu yeyote azaliwaye kwenye sura ya dunia hii bila kuzipitia. Changamoto huja kwa nyuso tofauti-tofauti kwa kila mmoja, na...
4 Reactions
32 Replies
821 Views
Nipo mkoani kwa ajili ya kazi maalum nikaona si vibaya nipange nyumba kabisa kwa sababu kazi hii inaweza kuchukua muda mrefu kumalizika. Kuna mama mmoja ambae wakati nahamia hapa nilimkuta kwa...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Hili swali nimeleta kwenu wana JF Kuna kijeba apa alianza kama utani vile, walikuwa wanachat mda mrefu sana na msichana ambae walianza urafiki Facebook lakini hivi tunavyoongea wameonana tayari...
4 Reactions
60 Replies
2K Views
Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za...
46 Reactions
345 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…