Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Assalaam alaykum. Wakuu hiki kitendo kimeniuma sana, kuna huyu dada alipost huko fb anatafuta kazi za mgahawani, kuuza duka, saluni na ishu za pesa, alikuwa ameweka namba za simu, dhehebu lake na...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimeshangazwa na baba mkwe wangu kuniangalia kwa ukali kila ninapo kutana nae iwe nyumbani kwangu au kwake. Nimeoa binti yake na mahali nimelipa lakini mpaka leo sijajua kwanini hunionyesha sura...
21 Reactions
107 Replies
12K Views
Nilimuoa mke wangu miaka 30 iliyopita. Alikuja na Watoto wake wawili wa ndoa yake ya awali. Niliwapenda sana na nikawakubali na kuwafanya kama watoto wangu kwani sikubahatika kuwa Na Mtoto Wangu...
45 Reactions
135 Replies
9K Views
Wengi wataona kama ni ujinga lakini hii kitu itakusaidia Sana kupata amani na furaha ya moyo wako. Wanaume wengi mnaumizwa na wanawake kwa sababu ya ufinyu wa marafiki wa kike katika mzunguko...
22 Reactions
81 Replies
7K Views
Nyie Nyie Nyie, Ndo upate mwanaume akugande kama Rajab [emoji1787][emoji1787] Abadili jina kuwa Robert kwa ajili yako. Kuna watu wanapendwa jamani. Wanaume igeni mfano kutoka kwake.
13 Reactions
184 Replies
10K Views
Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali. Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna...
16 Reactions
88 Replies
6K Views
Sasaivi hakuna tena umuhimu wa ndoa kama hapo zamani kwasababu zifuatazo: 1. Sasa hivi wanawake wanataka haki sawa na wanaume yaani 50/50 2. Wanawake wengi wanaingia kwenye ndoa kusaka pesa za...
3 Reactions
7 Replies
985 Views
Kuna dem mmoja tuliwahi meet safarini tukabadilishana namba. Sasa tunaishi mikoa tofauti na hatukuonana tena ikabaki kuwasiliana mara mojamoja maana nilishaanza mpotezea baada ya kujua kaolewa na...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Wazee salama ngoja niende moja kwa moja kwenye point nimegundua njia rahisi za kuwapata hawa viumbe pasua kichwa , njia hii inahitaji akili kidogo tu na njia yenyewe ni kuacha kuwashobokea au...
14 Reactions
136 Replies
12K Views
Kuna Hii Mentality kwenye Jamii, kwamba Mwanaume Masikini ndio mwenye Mapenzi ya Dhati sanaaa, kwamba anapomtongoza mwanamke, Eti wewe Mwanamke unapaswa kumkubalia na kumpenda tu sababu ana Penzi...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
NI BORA UOLEWE MKE WA WAPILI NA MWANAUME MWEREVU KULIKO UJITIE KUOLEWA MKE MMOJA NA MWANAUME ASIYEJIELEWA! Anaandika, Robert Heriel. Angalizo; Ujumbe huu utawahusu binti zangu tuu, na wanawake...
10 Reactions
73 Replies
7K Views
Wakuu habari zenu!! Mimi ni member mwenzenu wa mda mrefu ingawa ni msomaji Zaid,,, kwanza Niwaombe radhi kwa uhandishi mbovu ufuatao Pia huwa ninatatizo la kuchanganya R kwenye L,,,,( Mnivumilie)...
15 Reactions
123 Replies
18K Views
Wakuu , nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote walionitia moyo kwa kunishauri katika changamoto hii niliyopitia nawashukuru wale wote pia mlionipondea na kunilaumu. Kwa kweli niseme hili...
21 Reactions
71 Replies
3K Views
Kweli dunia imechoka. Hapa ninapoishi kuna apartments tano zote ndani ya gate moja lakini kila moja ikijitegemea kwa kila kitu. Hivyo kutokana na kila moja kujitegemea hakuna muingiliano jambo...
40 Reactions
228 Replies
31K Views
Nimekata tamaa; Nimepigika, nimeteswa, nimedharauriwa, nimeumizwa , sasa Basi ! Ndugu zangu wana MMU kama ambavyo nimetanguliza hapo awali sina namna tena. Dunia kwangu imekuwa chungu mno. Sioni...
35 Reactions
162 Replies
13K Views
Hivi wanawake mna shida gani lakini. Leo nimeenda kula chakula kwa dada mmoja hivi yupo mwembechai msikitini, tunajuana fika na nimemsaidia pesa nyingi tu zaidi ya elfu 30 tena bure kabisa japo...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Stori iko hivi, weekend moja jamaa yangu wa karibu sana akanialika kwenye mazungumzo ya faragha kipindi tuko chuo. Alitaka kunitambulisha kwa mpenzi wake ambaye wamekubaliana kuanza mchakato wa...
8 Reactions
61 Replies
8K Views
Ndugu zangu wana JF nina shida ambayo nashindwa kuitatua. Kuna msichana mmoja nilikuwa nina mahusiano nae ya kimapenzi ila tulikuja kuachana baada ya kuona tumeshindwana kitabia. Sasa baada ya...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Habarini, Jana nilipita pita Facebook nikaona video moja toka kwenye ukurasa wa alli mastory mdada alijirekodi video akiuliza, akiwapa nafasi wanaume wachague chochote (zingatia neno chochote)...
10 Reactions
103 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu nyote. Mi nashindwa kuelewa kabisa hawa waubavu wetu, huyu girl jana tu ameniambia mi Niki nakupenda sana yaani niko tayari hata kubadili dini ili tu niolewe na...
3 Reactions
147 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…