Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nakumbuka nyimbo ya kitambo..Najua una pesa na umedataa namii nachokuomba shuga mami punguza wivu nami...shugaa mamiii mamaa kubwaa shuga mamiii mamaaa kubwaaa Dah, Beatrice nakukumbuka sana...
2 Reactions
11 Replies
428 Views
Watu waongeaji si rahisi sana kukudhuru tofauti na wakimya Mifano halisi 1. Binti mkimya/msiri Nilikutana na binti mkimya nikajua bwana nimepata maana wanaume hatupendi wanawake waongeaji sana...
7 Reactions
4 Replies
474 Views
Wadau habari zenu, Msichana mmoja nilie zaa nae mwaka 2011 katika mazingira ambayo nayajutia hadi Leo, amekuja nyumbani kwangu siku ya jumapili mchana kweupe na kumbwaga mtoto mlangoni na kutoa...
1 Reactions
79 Replies
8K Views
Vegas Gamblers girlfriend leaves him over gambling addiction so he makes new one out of money.
3 Reactions
4 Replies
881 Views
Happy birthday to Maria Happy birthday dear Mariaaaaa Happy birthday to meeeeeee Karibuni kuimba na kusherekea nami wapendwa:msela::msela::msela::msela::msela:
12 Reactions
136 Replies
20K Views
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa. Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
35 Reactions
649 Replies
23K Views
Ndugu zangu Japo wapo wanawake wanao danga kwa tamaa zao binafsi ila wimbi kubwa la wanawake na mabinti wadogo wadangaji linalojitokeza ni kwasababu ya kukosa hela ya kununua Taulo za kike (ped)...
6 Reactions
17 Replies
673 Views
Habari za usiku wana JF, Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia. Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka...
27 Reactions
177 Replies
12K Views
Habari ya uzima wenu wapendwa,,namshukuru MUNGU kwa kutulinda na kuwa hai mpaka sasa ni kwa kusudi lake. Mimi ni kijana nina umri wa miaka 29,ni mlokole nasali kanisa la T.A.G MAADA: Kuna...
18 Reactions
93 Replies
2K Views
Ugomvi ugomvi piga ngumi piga mateke nikamuotea kofi moja tu Akapiga kelele hatari na kuropoka ,naondoka na wanangu,nikamwambia haondoki mtoto hapa akajibu,thubutu......naondoka nao, kwanza sio...
20 Reactions
80 Replies
2K Views
Sisi wanaume weupe tuna kingeke cha kupendwa sana na warembo!! Mimi kila mwanamke huwa anatamani kuwa na mimi Hivi wakuu wanaume weupe huwa tuna nini?[emoji23][emoji23] Nishaombwa na wanawake...
18 Reactions
172 Replies
10K Views
Wale ambao bado tuko macho mida ya wanga hebu tujuane. Matatizo ya Dunia yananifanya niwe Macho mida ya Wanga!
2 Reactions
68 Replies
616 Views
Wakuu salaam, Kama upo kwenye harakati za kuoa, unapaswa kujua si kila mwanamke asemae yes kwako anafaa kuolewa. Wanawake ni viumbe, wanaoujua sana kuzitumia fursa zilizo mbele yao, hivo...
14 Reactions
38 Replies
726 Views
Nimeishi kwenye jamii za Hawa watu Takriban miaka 8 sasa. Nimefanya nao kazi za Maofsini na za Nje ya ofisi yaani za kijamii na Uchumi. Pamoja na changamoto nilizoona ktk familia zao na mfumo...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Natafuta mchumba. Mwenye miaka 19 to 25 Mwenye umbo na haiba ya kike. Aliye tayari kuanza maisha. Mimi ni mtumishi wa serikali. Elimu degree. Nina miaka 33. Mengine yanazungumzika njoo pm kwa...
8 Reactions
29 Replies
720 Views
Ni swali tu nimeuliza maana mnasema tunawajaza mimate masikioni tu hakuna ashki masikioni USSR
10 Reactions
197 Replies
4K Views
Kijana amepata mke mzuri,na shape mashallah,lakini nimwendo wa makofi,mangumi na mateke,faida ni gani?. Kilele cha udhaifu wa mwanaume yeyote Duniani ni kupiga mke,unabamiza makofi mtoto wa watu...
1 Reactions
5 Replies
218 Views
Hello JF, Kuna imani kuwa baadhi yetu wanawake tunapenda pesa na hatuna mapenzi ya kweli, leo nimeona mahali, ufafanuzi wake, lol. Ni kwamba as a society, tumeweka tabaka wanawake wabaki nyumbani...
4 Reactions
165 Replies
12K Views
Home Arusha, baba Mngoni, Mama Mchaga naitwa Marytina Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu, akarubuniwa na ukazaliwa wewe tena ukazaliwa wa kiume Jana nilienda...
5 Reactions
64 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…