Kuna msemo unaosema ''maji yakizoleka hayamwagiki''! Mimi ni muhanga wa hiyo methali, huwa najuta sana kwanini nilikuwa na mahusiano na bwana yule ila ni too late. Sasa kwenye familia kuna mabinti...
Ni mtangazaji wa shirika moja la habari duniani.
Wengi mnamfahamu sitaki kumtaja labda amtaje. That woman ni mzuri, ana adabu na heshima ni mchamungu ila hana hata boyfriend.
Msiniulize...
Mhmmhmhmhmhmhmhmh kwa namba yangu kama kuna kaukweli fulani.
Vipi wewe??? Je tunatakiwa kuzaa watoto wengi kama Kila mmoja na karama yake??? Unasemaje katika hili!?!!
Wewe ni mtoto wa ngapi...
Hello members!
Habari za Kazi na majukumu mengine!!!! Poleni na mihangaiko na misukosuko ya wiki nzima. Ni matumaini yangu mu wazima kabisa wapendwa.
Okay, Kama una date na binti wa umri wa...
Wengi tulikuwa tunatamani kuoa, tukiamini baada ya kuoa maisha yatakuwa full starehe na hakutakuwa na migogoro.
Wapo waliofanikiwa kwa kupata watu sahihi, mpaka wakikaribia kuzeeka sura zao...
Guys hi kitu inaitwa solitude (upweke) ni kibaya sana, it's healthy but harmful as well.
This year sababu ya upweke nljikuta nmeingia in a very toxic relationship, huwa inanitesa sana...
DADA HUYU YAMEMKUTA😂😂😂
Tukumbushie kidogo miaka ya nyuma. Mwanamke mmoja nchini nigeria alilalamika mtandaoni baaada ya kutembea zaidi ya km 250 kumfata mwanaume aliyekuwa anachart nae mtandaoni...
Mwezi watano katika mihangaiko yangu nikakutana na mdada mmoja nikamwelewa tukayajenga mwisho tukakubaliana kuishi pamoja.
Alinieleza changamoto zinazomkabili huku akiwa na mimba ya miezi 2...
Je Wajua?
KISANGATI - Ni mtu mwenye tabia ya kutopenda kutumia na kutoa kilicho Chake Kwa wengine (Kwa mujibu wa BAKITA)
Wakuu ni mwaka mmoja na zaidi Sasa sijafanya Uzinzi/Uasherati na bado...
Habari wakuu.
Nilileta andiko hapa la mchizi wangu wa Italy kufuma meseji kwenye simu yake akichati kimahaba na mwanaume mwingine.
Jamaa baada ya kukaa kikao cha familia ili ipatikane suruhu...
Hivi kwanini wanaume mnapenda kutupigia video call za kushtukiza?
Na ukipokea utasikia is that your real hair ?( hapo umevaa wigi, utasema hawajui kutofautisha Au Ndio kunikejeli)
Yani it’s best...
I SAID I LOVE YOU BUT I LIED
(Wikiendi njema mpenzi, Take care)
You are the candle, love's the flame
A fire that burns through wind and rain
Shine your light on this heart of mine
'Til the end...
Hayati Lemutuz alisisitiza sana vijana kumudu kuwa na sehemu anapopaita kwake hata kama amepanga. Hata kama ni chumba kimoja hakikisha unamudu kulipa kodi ya pango. Hiki kiwe kipaumbele cha kwanza...
Nikiwa home nachota maji au nafua,
Nikiwa kibanda umiza,
Nikiwa kazini balaa
Nikiwa barabarani
Kila ninapokutana au kupishana na dadaz wengi kunakua na sauti nahisikia... ndani yao zikisema...
Haijalishi wewe ni nani, hakuna upendo wa bure kwa mwanaume. Upendo pekee wa bure utaupata kutoka kwa mama yako na dada zako, zaidi ya hao hakuna mwanamke mwingine atakupenda bure.
Unatakiwa...
Dah inasikitisha sana bwana faruq kutoka Muleba alikuwa akihojiwa leo asubuhi katika channel ya crouds kiukweli ni kuwa wanawake wa kileo wana roho mbaya sana😢
======
Faruku Muhamadi
"Nilipata...
Acha ujinga wewe
Hizo pesa unataka kuspend weekend hii kwa kumtumia girlfriend wako ili uumtoe outing, mtumie mama yako. Siku zote kumbuka;
"Asante mwanangu Mungu akubariki."
—Mama
Ni bora...