Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

1;Huwezi kumshawishi demu mzuri akupe namba yake ya simu!ukiambiwa tu hapana na wewe unaridhika tu na kutoa mimacho tu! 2;Ukimwona mwanamke mzuri unashindwa kumsalimia unabaki unamponda tu...
8 Reactions
40 Replies
10K Views
Mathalani kujiua kwa kunywa sumu au kumdhuru mwingine kwa sumu, kujinyonga, kumdunga mtu au kujidunga kisu mwenyewe kwajili tu ya mapenzi. Kumpiga mtu rungu au kumpiga mwingine kwa kitu kizito...
1 Reactions
7 Replies
377 Views
Nimekutana na huyu bibie mwez wa 2 mwanzoni kufika mwez wa 3 kaniambia kuwa ana ujauzito wangu tar 17 mwez wa 10 ndiyo siku aliyojifungua Sasa wakuu m nataka tu kujua kwa huo kwel miez 9 ya...
5 Reactions
46 Replies
1K Views
Kama ilivyo kawaida, Watoto wengi wanakuwa upande wa mama kwajili ya huruma aliyoumbiwa kwa asili, Kitu hiki kimekuwa kikiwapa wanawake nguvu na influence kubwa sana juu ya watoto, Lakini...
5 Reactions
18 Replies
409 Views
Emotional needs and relationship dynamics evolve over time, though individual experiences may vary widely. In their 20s and early 30's, women may value independence and personal space, focusing...
2 Reactions
0 Replies
193 Views
Kuna mambo yanafanyika ila athari zake huja huonekana baada ya muda mrefu sana..Ukifatilia asilimia kubwa watoto wanakuwa na migogoro na baba zao kuliko mama zao. Yaani ukisikia mtoto ana bifu na...
13 Reactions
75 Replies
5K Views
Kumekuwa na kasumba ya wanaume wa umri mkubwa kuruka na mabinti wadogo umri wa binti zao kingono. Jamii kwasasa imeikubali hii tabia na kuifanya kuwa ni sehemu ya maisha ya kawaida wakati si sawa...
16 Reactions
116 Replies
4K Views
Kwanza kabisa nitume salamu za pole kwa ndugu yetu, mwamba kabisa, mzee wa ndinga, bwana Mad Max kwa yaliyomkuta baada ya kuzinguana na aliekuwa demu wake (kiukweli hakuwa wako, ulikua unatoka na...
12 Reactions
72 Replies
2K Views
Wakuu kwema,, Baada ya takribani miezi 7 ya kuwa singleโ€ฆ na kutokumpenda mwanaume yoyote sasa nahisi Kama nataka ku fall kwa strangerโ€ฆ Napofanya kazi amekuja boss mpya sio boss wangu mimi ni...
15 Reactions
174 Replies
4K Views
Jitahidi saana maisha haya kuficha aibu za watu, ikitokea umekutana na mke wa mtu au mmama wa mtaani kwako gesti au sehemu usioitarajia tunza hiyo Siri ucmwambie mtu yeyote huo ndio utu Umekutana...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Tuongee serious, suala la kupata mwanamke wa kuwanae kwenye mahusiano kwa upande wangu limekua gumu sana hasa baada ya kuvunja uhusiano na mtu. Sio kwamba domo zege sijui kutongoza ninauwezo wa...
25 Reactions
104 Replies
4K Views
Wakuu nashindwa kumuuelewa mke wangu, siku hizi anafanya mazoezi Sana mazoezi kama vile push up, kukimbia na karate. Wakati mwingine amekuwa na tabia ya kunikaba na kunirushia makonde kama...
13 Reactions
22 Replies
886 Views
Leo wacha tuamke na hii, Mwanamke akikupenda, atapambana kwa nguvu zote ili akupate, wanambinu kali ya kumpata mwanaume kuliko hata wanaume walivyo na uwezo wa kutongoza Mwanamke...
5 Reactions
9 Replies
678 Views
Wana Jf Habari Zenu, Binafsi Yangu Kwenye Mahusiano Matamanio Na Mapenzi Yangu Huwa Nahitaji Sana Kuwa Na Wale Wanawake Wafupi Wafupi. Mtaani Huku Wanawaita Mbili Kimo But Upatikanaji Wao Ni...
1 Reactions
5 Replies
259 Views
Kukurukakara zimepotea kabisaa. hakuna vionjo vipya wala vya zamani tena, hakuna amsha amsha, na kabisaa hakuna maajabu kunako 6kwa6. Cha kushangaza zaidi ni kwamba, wahusika huenda ndio kwanza...
10 Reactions
56 Replies
2K Views
Unakuta mtu kazaliwa na wazazi wastaarabu na wenye dini lakini baada ya kuyajua ya ke na me(mapenzi) mtu huyo anawakana hadi wazazi kwa tabia mbovu na za kishenzi kwa kisingizio cha usasa Wengi...
19 Reactions
208 Replies
5K Views
Kabla ya salamu wana mmu napenda nifafanue maana ya domozege na domowaleti kwa ufupi domo zege ni mtu amcye anashindwa kueleza hisia zake kwa mtu anayempenda na kubaki anaumia mwenyewe lakini domo...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Wakuu salaam, Kama mada inavyoelezea nimekuwa napatwa na tatizo la kuogopa kutongoza mabinti na kama mnavyojua hapa Dar kuna madem wakali sana ila ukikutana nao road wako faster ni ngumu...
8 Reactions
66 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ