Habari wanaMMU.
Nililete kwenu hili ili nipate pia maoni/maono yenu.
Mara nyingi nimeweza kufuatilia visa vya kusalitiana kwa wanandoa/wapenzi nimegundua wanawake wengi wenye mahusiano na...
Wakuu ngoja niende kwenye pointi.
Last week nilipata safari ya kikazi huko mkoani, nipo kwenye Ofisi mpya kidogo kwangu. Sasa kama kawaida nimefika up country siku mbili Tatu nikapata mwenyeji...
Habari zenu wanajamii forum
Kuna dada nilikuwa naongea naye hapa mwanza ,katika mazungumzo yetu akasema yeye anapenda wanaume wapole kuliko wanaume waoongea sana nikamuuliza kwanini unawapenda...
Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaani wapole sana tufanye nini ili angalau muwe kawaida.
Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mna mahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya...
Je, kwa nini wasichana wa siku hizi wamekuwa wavivu sana kunyoa nywele za sehemu zao za siri?
Tatizo liko wapi wakuu? Au nyembe bei ghari?
Kwa sababu Kati ya wanawake 10 niliowala tangu mwezi wa...
Siku hizi si jambo geni tena au la kushangaza kwa sisi Wanaume wengi ambao huwa tunaenda ' Kubanduana ' na Wapenzi wetu kukuta wakiwa hawajanyoa kabisa ' Nywele ' zao za Sirini / Makao Makuu yao...
Wajameni habari zenu?
Kuna suala linanitatiza sana kuhusu tabia ya hawa dada zetu wanaokua single muda mrefu bila kuwa na wanaume, mostly hawapendi kabisa kunyoa nywele za sehemu zao za siri...
Mwanaume "mwenye kila kitu" kuna mtihani kidogo kumjua mwanamke mwenye mapenzi ya kweli. Wanawake wengi mapenzi kwa vitendo ni feeling experession na availability yake kwako, mbali na hayo basi ni...
Nimefika kwenye kimgahawa kimoja, nikaenda kwenye matunda nikakuta mdada ameshika sahani ya chakula.
Chakula kilikua kiugali kidogo kama vitonge vitatu, na vinyama huku akisusubiri matunda.
Kwa...
Jumapili Moja mida ya jioni nipo zangu home sielewi,’mwanangu’ mmoja akanicheki “oyaa Satoh upo wapi now?” Nikamjibu nipo home nimechill nacheki game ya Simba. Hiyo siku ilikuwa Simba inacheza na...
kunaye mtu mmoja alikua na mpenzi wake, mapenzi shatashata huku bibie akikataa wanaume waliokua wanakimbizana kuleta posa kwao kwa kisingizio ana mtu wake, kama uzuri amejaaliwa binti huyu, ni...
Leo, nitawasimulia hadithi ambayo hamkuwahi kuhadithia. Kama ilikuwa ni siri basi nimeshindwa kuitunza🙏.
************************************
Kumi na moja jioni majira, ilionekana...
Habari wadau, nikiwa nipo mbioni kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa yangu leo hii nimeona nitoe ujumbe mfupi tu kwa wanaume kama mimi maana watoto wa kiume kwao sio rahisi kuiweza ndoa.
1...
Baada ya stori mbili tatu ukaombwa namba na umetoa mwenyewe bila kushikiwa kisu, manati wala bunduki, lakini cha ajabu ni wiki ya pili sasa simu hujawahi kupokea hata siku moja na ikipigwa inaita...
Haya mtu akiizika hiyo maiti atanufaika na nini? Au kuna faida za kishirikina anazitafuta? Maiti ya kazi gani? Ni upendo ama mnatafuta uhalali wa kurithi mali za marehemu?
Mzazi atakayemlea...
Mnipe mawazo mazuri maana nipo njia panda.
Katika maisha yangu ya ujana nilijipangia mikakati inatayosapoti mimi kutoka kwenye maisha ya hali ya chini.
Kabla sijaoa nilipanga
1. Nilipanga...
Ukijua mpenzi wako anatoa harufu kali na mbaya ukeni kwake ila unampenda, utatumia akili gani kubwa kumwambia ili akuelewe na asiumie ili ajirekebishe?
Huku Zanzibar ninapoishi na yalipo makazi...
VIGEZO NA SIFA ZA MWANAMKE WA KUOA KWA 2024 - 2050
Anàandika, Robert Heriel.
Mtibeli
Pasipo kupoteza muda. Ikiwa wewe ni mwanaume unatafuta mke wa kuoa ili ujenge naye familia basi vigezo na...
Huyu Binti ni mrembo, ana asili ya uarabu.
Nilimpata ugenini mkoani nilipoenda kwa ajili ya mambo yangu.
Binti anafanya kazi office flani hapo mjini.
Niliuliza wenyeji pindi nilipojiridhisha...
Wanaume Wanaokwenda Njia Yao Wenyewe (MGTOW )ni jamii ya mtandaoni yenye msimamo dhidi ya wanawake na yenye mtazamo wa chuki dhidi ya wanawake, ikihamasisha wanaume kujitenga na wanawake na jamii...