Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Chukulia mfano suala la sex, ile ni starehe ya wote lakini dunia imekua brainwashed kwa kuaminishwa mwanaume anafanyiwa favor ambayo in return inatakiwa kulipia posho, hii posho ya sex wadada wa...
61 Reactions
356 Replies
8K Views
Kabla ya kuanza kuwalaumu wenzanko jiulize vyema wewe pia ni mtu wa aina gani , Je, wewe ni mtu wa aina gani unapo oneshwa upendo na wewe ni mtu wa aina gani unapo oneshwa chuki Kabla ya kuanza...
7 Reactions
4 Replies
311 Views
Nilikutana nae kwenye semina fulani mjini, tukiwa tumeketi sambamba kwenye chumba cha semina na hatukua tuna fahamiana kabla. Maudhui ya semina husika yalianza kufanya tuanze kuzungumza, kulizana...
6 Reactions
34 Replies
671 Views
1. Asiekunywa pombe (sio mlevi) 2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano) 3. Asiekua na hofu ya Mungu 4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye...
38 Reactions
245 Replies
7K Views
NANI UNAMSHIRIKISHA? MTIHANI WA KWANZA UNAOTAKIWA KUUSHINDA KABLA HUJAANZA KUSHIRIKISHA WATU. Mpaka leo kuna watu wamekata tamaa sio kwamba mambo ni magumu bali ni ugumu uliozidishwa na walio...
1 Reactions
13 Replies
264 Views
Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia" Kwanini?
22 Reactions
61 Replies
2K Views
Je mwanaume asema nini kuhusu utamu wa mwanamke,kwamba mwanamke mtamu ana sifa gani,na je mwanamke anasemaje kuhusu utamu wa mwanaume,kwamba mwanaume mtamu ana sifa hizi,naomba majibu
5 Reactions
95 Replies
3K Views
Habarini wana jamvi ,natumaini mko salama na poa kabisa. Leo nimeona nilete mkasa wangu kwenu, mkasa ambao niliwahi pitia huko nyuma. Iko hivi miaka michache nyuma nilikutana na dada mmoja kwenye...
27 Reactions
98 Replies
7K Views
Kama hujaoa, unaweza kuona suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni uzinzi, lakini baada ya kuoa utagundua kuwa kuoa mke zaidi ya mmoja kuna faida zake. Mke mmoja anaweza kutesa sana, kuumiza, na hata...
12 Reactions
98 Replies
2K Views
Unakuta Mwanaume anaenda na Demu katika Mghahawa halafu anamnunulia huyo Demu Chakula cha Gharama kubwa kisha Mwanamke ndiyo anakula na Yeye anamuangalia tu au anajifanya Kumpigisha Stori na...
35 Reactions
48 Replies
3K Views
Wamama/wababa mnawezaje kuishi na binadamu mzito kiasi hichi? Kila unachomwambia haonyeshi response positive hata siku moja ye kila kitu ni subiri subiri, hataki hata kuulizwa malengo yake yani ye...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndio, napinga!, Ni dhana ya uongo na inakiuka kabisa asili ya maisha ya ndoa! Ndoa ni muunganiko wa mtu mume na mtu mke na kuzaa watoto kisha kuwatunza. Jumuia hii ya familia inahitaji mahitaji...
14 Reactions
244 Replies
5K Views
Ndio hivyo usimuache mke wa ujanani kwako. Karibu kama una swali nitakujibu
2 Reactions
82 Replies
7K Views
Mwanamke mwenye kiwanja ama aliyejenga huyo ni kataa ndoa. Na amejiandalia maisha ya kuwa single muda wote. Ukimuoa ni kama unamsaidia kuimalizia nyumba yake ama kuanzisha ujenzi kwenye kiwanja...
7 Reactions
10 Replies
287 Views
Kuna njemba imepata msala hapa kitaa, muda huu watu wamekusanyika baada ya njemba kutoa taarifa kwa mjumbe. Iko hivi:- Njemba kavusha demu getoni kwake mida ya saa 1.30 jioni ya leo leo...
5 Reactions
20 Replies
795 Views
Wakuu kwema? Kuna jambo limekua likinitafuna kwa miaka mingi saana kuhusu mimi na mama yangu sina hata chembe ya upendo nae ila hela namtumia namsaidia kwa maana ni Maskini samahani kwa kusema...
14 Reactions
47 Replies
2K Views
Ni uongo au kujitoa ufahamu kusema mwanaume hauna akili ya kujua kuwa huyu mwanamke ana red flags za kutosha kukupa mrejesho kuwa hautadumu nae na hatobadilika hata ufanye nini. Mwezi wa kwanza...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wakuu wote wa JF na hongereni kwa shughuli mbalimbali za kujenga taifa. Kilichonileta kwenu asubuhi hii ni kunisaidia mawazo ya hili nalopitia kwa sasa, mimi na mwenza wangu...
13 Reactions
249 Replies
16K Views
Mambo zenu wana jf,poleni kwa jua na karibuni pepsi baridi tupunguze machungu ya dunia,nisiwachoshe kwa maneno mengi ni hivi. Bwana amepata Bibi hapahapa mtandaoni JF na maisha yameendelea kwa...
12 Reactions
584 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…