Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kwanza kabisa namshukuru mh rais wetu. Anaupiga mwingi kinyama. Katika pita pita maishani nimezalisha wanake wa 4. Katika hao watatu hawa kila muda nikijisikia kutaka kulamba naomba napangiwa...
34 Reactions
203 Replies
8K Views
Hello Wana JF... Leo nimenijikuta nawakumbuka mademu wangu kabla sijaoa na mbwebwe zao za hapa na pale ila ujana una mambo sana namshukuru Mungu sikuukwaa maana... [emoji16] Hawa ni top 3...
5 Reactions
12 Replies
642 Views
Heri ya jumapili wakuu Sijui niko nyuma ya ulimwengu au ndio uzee unanisumbua. Hivi mpenzi wako wa kike anapokuita we mwanaume wake "MUBABA" anakua na maana gani? Maana kuna kibinti hivi vya mwaka...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Habarini Utakuta ukimuuliza mdada kwanini hadi umri huo alio nao hajaolewa na yupo single, atakwambia hajaona mwanaume serious, baadhi ni kweli hawajapata wanaume serious, ila wadada wengine ni...
6 Reactions
16 Replies
612 Views
Wakuu, Many of us have at least once enjoyed the best out of love life... I have had my best moments as well!! I am just wondering how can one prepare for a life after the person you have loved...
13 Reactions
247 Replies
14K Views
Dada: money penny nisaidie Money penny: ndio boss Dada: nimekutana na kaka mmoja, juzi ijumaa, tukaanza kuchat akasema anatafuta mke wa kuoa Money penny: ndio boss Dada: tumeongea kwa simu...
3 Reactions
49 Replies
939 Views
Mteja; Money Penny Money Penny: ndio boss Mteja; sijapenda kabisa tabia yenu wanawake hasa huyu wangu Money penny: nini tena jamaan Mteja: huyu mwanamke nilienda sijapenda kabisa anachofanya...
14 Reactions
60 Replies
2K Views
Mwanaume ambae una mamlaka na hela yako utakua na mamlaka na maisha yako pia. Wanawake watakuita mbahili kwa sababu umekataa kuwamwagia hela lakini nakuambia ukweli, wanawake hao hao wanawaheshimu...
66 Reactions
184 Replies
4K Views
Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukulia je?
18 Reactions
372 Replies
21K Views
Wakuu tumegeane maujuzi hapa maana mara nyingi unakuta watu hawa wana wenzi wao au inakuwa ni geresha tu ya kuwababaisha walimwengu huku nje lakin huko ndani wanalala vitanda tofauti?
2 Reactions
14 Replies
343 Views
Haya twende kazi bila kurefusha story kichwa cha habari kinajieleza. Unajiapiza nitaenda baa kunywa bia mbili tu, sitaki demu kabisa, tena unachagua sehemu hisiyo na mademu. Ile unamalizia bia...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna hii tabia ya hawa wanawake wa hapa kwetu Tanzania kupenda kuomba omba sana. Mfano nimeamka tu asubuhi ya leo nimekutana na vijimeseji vya kuombwa mara elfu 15 mara elfu 10,na cha...
12 Reactions
84 Replies
2K Views
Ni kauli ya boss wangu miaka 5 nyuma kipindi namsaidia kwenye kijiwe chake Cha kutibu watu huku na yeye anapambana kwenye ajira ya serekali na kijiwe chake .Nikiwa kama mtu wa Maabara na muda...
8 Reactions
28 Replies
1K Views
Wiki iliyopita nlikua kwenye sherehe ya harusi. Well wanaooana wote nawafahamu. Bi harusi nilimfahamu kupitia bwana harusi. Bwana harusi nlimfahamu kupitia mzee wangu. I was very happy kwa bi...
38 Reactions
80 Replies
10K Views
Hivi ni kweli mapenzi mengi hayana furaha kwa sababu ya pesa?
3 Reactions
6 Replies
209 Views
Kuna baadhi ya wanawake wenye tabia ya kutothamini jasho wala kuhurumia nguvu za waume zao. Watanzania walio wengi kipato chetu ni cha kuunga unga ili kipato chako kikuwezeshe kutimiza mahitaji...
22 Reactions
43 Replies
1K Views
Marriage is the world's biggest joke,a tool through which women enslave men.what is the point of living with someone who will offer nothing else but sex,you provide a lot of under the umbrella...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kenya tunaambiwa Tanzania ina wanawake wazuri wa kuoa. Nikifwatilia mada humu waTanzania wanapitia yaleyale tunayoyapitia na wanawake Kenya. Maybe Rwanda and Ethiopia is the place to go
5 Reactions
10 Replies
308 Views
Baada ya yule alieamua kuolewa na nani na mimba kambebea,mtoto kamzalia,mwingine huyu kaamua kuolewa na mwanasesere wake alishonwa Kwa matambaa,huyu alishonewa na mamake zamani,kama muonavyo hapo...
3 Reactions
12 Replies
542 Views
Hello habari zenu kuna dada anatafuta mchumba HIV positive Sifa zake Muislam very religious Umri 23 Mahali alipo mtwara Vigezo vyake Awe muislam Asizidi miaka 40+ Kama utakua interested...
12 Reactions
70 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…